The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

Kama ni kweli naona anaenda kuiangamiza label yake kwa mikono yake mwenyewe .

Mimi bado siamini hiki kitu labda hadi kitokee. Kuhusu issue ya label labda kama wataacha kuwa professional na kuendekeza mapenzi kitu ambacho si rahisi kwa work ethics za platnumz

Ukiangalia influence ya Power couple yake na Wema kumfikisha hapo alipo utajua kuwa akitengeneza Power couple nyingine inaweza kumtengenezea Biashara pia, kama hiyo "Bad Boy Image" inayohusudiwa zaidi na vijana kwa sasa,

Kuna successful stories pia kama Beyonce na Jay Z, Celine Deone na mume wake, INAWEZEKANA kwao pia mkuu
 
May be ngoja tuone.
 
[emoji817][emoji3581]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…