The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

Hizi fikra za fulani akifanya kafanya sababu ya flani sijui uwa mnazitoa wapi.
Watu wanapiga pesa tu na wanatimiza malengo
 
Ila wewe jamaa ni mpuuzi sijapata kuona
 
Show mbovu kishenzi,Zuchu akiimba kama anaongea.

Huyu Manara anatia aibu kubusu mwanaume .
Hasira za makolo wenzio unazihamishia mpka huku?
Mbona hajafanya tukio baya kumtoza hela mondi ndio dhambi?

Huna hela mbwa wewe uliangalia kwenye TV acha wivu haji kakuzidi mpka dhambi kuwa na heshima.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini Diamond anamuoa Zuchu

Hamna ndoa hapa (hapo sijamaanisha haiwezekani)

Lakini chukua utabiri wangu Diamond hatokuja kuoa Maishani..sanasana atawachezea na kuwatelekeza wanawake wabaki Single mother... Masharti na vifungu vya mkataba vinam'bana [emoji850]
 
Umezidi kukariii fu** u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…