The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

Status
Not open for further replies.
Yaani 2006 uko cha tatu?
 
The bold & ONTARIO
Hivi vichwa viwili hv hatari sana..
Natamani siku moja mkae pamoja mfanye deal la kibabe aisee maana nyote mpo vz kichwan sio kama mm kula kulaa nasubir Assist pm..
Mkuu kuna kichwa kimoja umekisahau ila sio mshana Jr maana jamaa kakaa kiuchawi tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu kuna kichwa kimoja umekisahau ila sio mshana Jr maana jamaa kakaa kiuchawi tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yule wa kawaida tu..
Mm mbona sioni ukali wake..
In fact mm nimepitia hayo mambo ya kuhusu uchawi na uganga elimu yake..
But ukimsimamisha na mganga mmoja toka kigoma utaona Bado sana..
 
1.Ukipata wasaa naomba uje na MAKALA uelezee ile situation ilitokea katika Gereza la Abu-gharaib baghdad wale wanajesh wa america Kuwatesa na kuwadharirisha uchi na wanaume kuingizwa waya wa umeme kwnye nanhii (dick*) kuvuliwa nguo wale wafungwa wa kivita wa kii iraq mwaka 2004 hivi lakin inaonekana ilikua n maagizo toka DOD(wizara ya Ulinzi america) pia naomba historia Yule dada(mwanajeshi wa america) akapga nao picha kashika mbwa na wale wafungwa uchi.tho i heard b4 iraq alikua Bagram Airbase afghan,






2.Naomba utatuelezea wafungwa wengi walioachiwa pale naskia ndio hawa ISIS ambao kiongoz wake alifungwa pia pale kama Abuobakr al baghdad, Na effect kwa sasa hasa vita za Middle east baada ya kuachiwa wale wafungwa wa gereza la Abu-Gharaib.Ingawa tutaona kumechafukwa nahisi utakua na mengine deep zaidi.
ni hayo tu kaka ngu ingawa uandish wangu majanga remix [emoji3]





3.Mwisho Historia na harakati mpaka mauti ya Mussab Al Zarqawi,He was a Leader of al qaeda in iraq na kufanya ku raise kwa Abubakr Al baghdad.
 
2. Ukakasi unakujaje Mkuu?? Mtumishi yeyote wa serikali anatumikia Taifa... Chuoni nilipewa mchongo flani tu hivi... Hakuna la kuogofya...

Naamka saa 3/4 kwa sababu nachelewa sana kulala 7/8... Naandika
Mkuu Kama mpaka sasa unafanya kazi ya serikali na unaamka hadi saa 4, a hope ni kitengo nyeti sana. jibu lako ni la kironaldo sana.
 
Unaweza kutuelezea hizo attacks kutoka kwa hackers zilivyokuwa na jinsi ulivyozicontain ili utusaidie na ss wengine tusiweze kudukuliwa?
Email yangu ya yahoo hadi sasa sina uwezo wa kuitumia. Hackers washa imiliki, nimewaachia
 
Naomba kupitia uzi huu nijibu seriously kuondoa doubts au wanaodhani tunachangamsha genge...

Mimi na Nifah sio kwamba tu ni wapenzi bali ni wachumba... Soon mtakula pilau la harusi

Mengine nitaeleza kadiri mahojiano yatakavyoendelea
[emoji7] [emoji7] [emoji7] jf connecting people
God bless you
 
Huge IQ.....km ni ujazo basi tunasema ni ule wa kutoshaa..

Mkuu the bold mm nimpe hongera mama yako pa1 na waliomzalisha mana wao kwa pa1 walifanya uka score 10-10 [APGAR].....big up kwao.....la sivyo leo hii tusingefaid makala na fiction tamu tamu km zako.

Pia kwa kiwango cha IQ yako wengi humu watabaki na doubt kubwa san kuhusu real identity yako...especially kazi yako....najua weng wanadhan ww ni usalama wa taifa....km wanavyowaita eti "among of them"....ahahahaa

Kwa mifumo ya nchi nying za kiafrika wanausalama weng pa1 na idara yenyew wanaonekana ni adui wa wananchi....tena ukigundulika ww ni mwanausalama utakimbiwa na kutengwa km ukoma kitu ambacho ni kinyume na tofasiri halisi ya uanausalama

Kiuhalisia kila raia anatakiw awe mwanausalama wa nchi yake...sio lazm ulipwe au uajiriwe ndo uwe mmoja wao....lkn kwa kuwa tulishajengewa personality ya ivo...acha tuu ibaki ivoivo


BTW big up kwa ALL contributions na inspirations thru this interview
 
Kupitia haya maelezo tu nimejifunza kitu ,dah mkuu ni kisa chenye funzo sana , wewe jamaa una nidhamu ya hali ya juu , sio mvivu, na mwenye kujitambua na ndiyo maana Mzee aliona kitu kwako .

Dah pole sana kwa huo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…