Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 790
- 1,962
Kwa kifupi walipigika hiyo cease fire ni kujipangaKazi ipo.
Hivi kwanini Israel na U.S waliomba ceasefire haraka baada siku chache tu please kwa anayejua sababu ?
Na kwa nini Israel imekuwa mgumu kukubali ceasefire hapo Gaza pamoja hata akiwa ana bembelezwa ?
Iran ameharibu vibaya sana maeneo mengi Tel Aviv na Haifa japo mamlaka za Israel zimefichaHivi kwanini Israel na U.S waliomba ceasefire haraka baada siku chache tu please kwa anayejua sababu ?
View attachment 3402792
Exclusive: Iran ilishambulia kambi tano za kijeshi za Israeli katika vita yao ya siku 12.
Uchambuzi wa data za rada uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Oregon(Oregon State University ) na kusambazwa na gazeti maarufu la Uingereza The Daily Telegraph, unaonyesha kwamba Iran ilipiga jumla ya makombora sita kwenye kambi tano tofauti za kijeshi za Israeli katika maeneo ya kaskazini, katikati, na kusini mwa nchi hiyo .
Kambi zilizoripotiwa kuwa zimepata mashambulizi ni:
1. Camp Zipporit
2. Irtah
3. Camp Glilot
4. Beit Nehemia
5. Tel Nof
View attachment 3402793
Data hizi hazijawahi kuripotiwa na mamlaka za Israeli kutokana na usiri/udhibiti mkali wa taarifa ndani ya taifa hilo.
Makombora ya Iran kwenye kambi hizo yalisababisha uharibifu mkubwa.
Mfumo wa ulinzi wa Israel unajumuisha Iron Dome, David’s Sling, Arrow, na msaada wa mfumo wa Marekani wa THAAD kutoka eneo la Baharini yaani Red Sea .
IDF imekataa kusema chochote kuhusu habari za kushambuliwa kambi zake hizo
Source: Iran struck five Israeli military bases during 12-day war
Walipigwa kipigo kitakatifu hata Trump mwenyewe hakuamini kilicho kuwa kinawapata Wayahundi ndio maana aliwasihi Wairan na Israel wasitishe mapigano baada ya kuona Israel inalemewa. Tangu vita hivyo visitishwe hata USA haimchukulii Iran poa hata kidogo!!Kwa kifupi walipigika hiyo cease fire ni kujipanga
Kazi ipo.
Hivi kwanini Israel na U.S waliomba ceasefire haraka baada siku chache tu please kwa anayejua sababu ?
Na kwa nini Israel imekuwa mgumu kukubali ceasefire hapo Gaza pamoja hata akiwa ana bembelezwa ?
hakuna cha kujipanga wakirudi wanashenyentwa tu Iran walishajipanga muda mrefu walijua Israel watakuja tuKwa kifupi walipigika hiyo cease fire ni kujipanga
na aliwabonda kweli kweli! Israel wanajifanya wababe sana mpaka wanaomba walishajuwa watafutika kbsiran alikuwa anapiga nyau kimya kimya hadi kaomba poo
Na kweli Ayatolla lifanya hivyo bila ya kusita.Iran ameharibu vibaya sana maeneo mengi Tel Aviv na Haifa japo mamlaka za Israel zimeficha
Ikumbukwe mji wa Haifa umekumbwa na gesi ya Benzene iliyovuja baada ya Iran kupiga zile oil refineries na wakazi wako mbioni kuhamishwa
Benjamin kaona hali tete, kaomba ceasefire kupitia Marekani
Ayatollah hacheki na kima, alisema naigeuza Israel kuwa kifusi
na bado mkuu tutasikia mengiGod Bless Iran
Vilio vimeanza kusikika ugenini
Uongo...wewe ndo hujuiMuwe mnafuatilia taarifa vizuri.
Hakuna mahali popote ambapo imeripotiwa kuwa Israel iliomba ceasefire. Kama unayo weka hapa.
Nchi ya kwanza kuongelea ceasefire ilikuwa Iran kwenye kikao chake na ujumbe wa Ulaya. Iran ilisema kuwa yenyewe ingesimamisha urushaji wa makombora mara moja, kama Israel nayo ingeacha kushambulia. Siku 2 baadaye Trump akaja na mpango wa ceasefire akisema kuwa amewasiliana na Iran na Israel, na kwamva pande zote zimeridhia. Na kuwa ndege za Israel zilizokuwa njiani kwenda kushambulia Iran, Israel imezirudisha.
Sisi kuandika hapa habari zisizo sahihi wala haibadilishi kwa vyovyote uhalisia wa vita. Kama wairan wengi wameuawa na majeshi ya Israel, hata tuandike vipi, haitabadilika wawe wachache. Kama majengo mengi ya Israel yamebomolewa kwa makombora ya Iran, hata tuandike vipi, majengo hayo hayatasimama.
Hata kwenye taarifa hii, ukifungua hiyo link, wanaeleza kuwa precision ya ulinzi wa anga ya Israel ilidungua 84% ya makombora ya Iran, huku Israel yenyewe ikisema ilidungua 87% ya makombora. Kwenye vifo, hata kwenye hii taarifa, wanasema kuwa Israel ilisaidiwa sana na mifumo yake ya usalama ambapo ni watu 28 tu ndio waliouawa, huku Iran ikiripoti kuwa watu 600 walipoteza uhai.
Kwenye hii taarifa bado inaonesha kuwa wakati Iran ilipoteza sehemu kubwa ya miundombinu yake ya kivita na wanavita, Israel iipoteza zaidi majengo, huku miundombinu yake ya kivita na wanavita wakikosa kuguswa.
vilio vitaendelea kutoka mdogo mdogo, walisema missiles za Iran zilizo enda Qatar hakuna zilizopigana bado mkuu tutasikia mengi
Iran hanaga maneno na porojo, missiles ndo lugha pekee anayoongea kwa ufasahaNa kweli Ayatolla lifanya hivyo bila ya kusita.
Nilipo angalia photo vile vile na video clip ndiyo nikajiridhisha kwamba kumbe Israel ni paper tiger lilikuwa ni suala la muda tu kabla hawajapata kiboko yao - wamepata fundisho LA mwaka kutoka Iran hawatarudia tena kuichoza Iran.
..bado hamjasema mtasema tu! waisrael wenyewe wameukubari muziki wa Iran na vyombo vya habari vya kimataifa vinasema Israel inaficha ila ilishenyentwa hasa na yenyewe ndo iliomba po! sasa tukuamini wewe upo mchambawima huko?Muwe mnafuatilia taarifa vizuri.