The last days of Prof. Kighoma Ali Malima, July/August 1995

A
Mzee wangu Mohammed Said,Mwenyezimungu atakulipa kwa hekima,busara na subra ya hali juu sana,maandiko yako yamejaa utajiri wa historia ambayo huwezi kuipata popote,hakika wewe ni mja mwenye akili
Historia ya kutunga? Lengo hasa ni kuwasha moto wa uhasama kati ya Waislamu na Wakristo. Chuki hizi kwa Nyerere hata sijui zinatoka wapi? Amekuja Mwinyi, amekuja Mrisho, WAMEWAFANYIA NINI WAISLAMU? Why do you guys hate Mwl. so much? Pathetic!
 
Historia ya kutunga? Lengo hasa ni kuwasha moto wa uhasama kati ya Waislamu na Wakristo. Chuki hizi kwa Nyerere hata sijui zinatoka wapi? Amekuja Mwinyi, amekuja Mrisho, WAMEWAFANYIA NINI WAISLAMU? Why do you guys hate Mwl. so much? Pathetic!
Shimba...
Kupendwa mtu au kuchukiwa kwake kunakuwa na sababu.
 
Historia ya kutunga? Lengo hasa ni kuwasha moto wa uhasama kati ya Waislamu na Wakristo. Chuki hizi kwa Nyerere hata sijui zinatoka wapi? Amekuja Mwinyi, amekuja Mrisho, WAMEWAFANYIA NINI WAISLAMU? Why do you guys hate Mwl. so much? Pathetic!

Kama Mlango na sababu za kumpenda mtu zipo, jua pia upo mlango na sababu za kumchukia mtu!
Kulazimisha watu wote mfanane mawazo si sahihi!
Christopher Kasanga Tumbo, Christopher Mtikila, Oscar Kambona wote hawa wakimchukia sana Mwl japo hawakuwa Waislam. Jifunze kuto generalize kila jambo!
 
mzee MS pamoja na heshima yangu kwako ila maandiko yako yataleta madhara makubwa sana. Hebu sasa andika au tufanye national reconciliation badala ya kulalamika kwa makundi ili lengo letu kuu la amani liweze kudumu.
ahsanta
 
Hujui unachokiongea. Huyu Taliban nimemfuatilia kwa muda mrefu na nimesoma sana maandishi yake. The constant kokote anakoandika ni chuki kali dhidi ya "mfumo wa kikristo" na Malalamiko yasiyoisha kwa Nyerere na kuonewa kwa Waislamu. Mimi sibagui dini ya mtu na nina marafiki wa kila aina lakini uenezaji huu wa chuki za kidini uliopitiliza unashangaza sana. Ndiyo maana nikamuuliza: Mwinyi na Mrisho wamewafanyia nini Waislamu?

Kumchukia Nyerere ni sawa (siyo babangu na kuna mambo hata mimi sikuyapenda) lakini kila siku kueneza chuki na kujaribu ku-incite religious hatred huku umejificha kwenye uandishi, usomi na uanahistoria siyo ustaarabu. That's what I am saying.

Hata lengo la makala haya si ni kujaribu kusema kwamba pengine Malima aliuawa na muuaji pengine ni Nyerere? Sababu: Mwislamu. Geez! Ifike mahali tukatae upotoshaji huu wa kitoto!

Mchekeeni tu eti Mwanahistoria. Atakakowafikisha wenyewe mtajua. Huyu ni mtu hatari sana!
 
Duh! Kama kweli vile ila ukweli ni kwamba account zilikuwa freezed UK. Jamaa pressure juu na safari ya kurudi kwa Muumba ikafika.
 
Pohamba,
Wapi nime-generalise?
 
Shimba...
Tunaweza tukafanya mjadala wa kistaarabu na kuheshimiana.
Lugha za ''Taliban,'' ''...mchekeeni tu...'' zinavuruga mjadala.

Lete ushahidi kutoka maandishi yangu kwa hizo shutuma.
Nakuongezea nina mengi katika Youtube vilevile.

Lete ushahidi kutoka vyanzo vyote hivyo.
 

Punguza Jazba! uhuru wa kujieleza unakwenda sambamba na ujasiri wa kuvumilia kusikia usiyopenda
Pia punguza kujikweza kuhisi mie sijui ninachokiandika ila wewe unakijua ninachokiandika. Anapojadiliwa Nyerere tambua ni Mtu kama mimi na wewe, anayo mazuri yake na Mabaya yake na njia nzuri ya kumtetea ni kumjibia hoja kama una uwezo huo badala ya kutukana na kukejeli wanaoleta hoja hizo!
 
Maandishi yako yote ambayo nimeshawahi kuyaona japo unajaribu sana kuyapamba na kuyavika vazi la "unofficial history" lakini the common theme ni ile ile: kuonyesha jinsi waislamu walivyoonewa na kuteswa na Nyerere na mfumo wake wa kikristo. Wachache wasioelewa hasa lengo lako ni nini huwa wanakusifia.

Mtu unavumilia mpaka mwishowe unafika mwisho na inabidi useme tu ukweli liwalo na liwe. Yes wewe ni mtu hatari na acha tu waendelee kukuchekea waone utakakowafikisha. Unaweza kuniambia lengo lako la hizi porojo za siku za mwisho za Kighoma Malima ni nini kama siyo ku-implicate kwamba aliuawa na Nyerere? Ukiambiwa utoe ushahidi utaweza? Chuki, chuki na kujaribu kuchochea mioto ambayo wala haikuwahi kuwaka.

You, sir, are not a muslim scholar, an intellectual or an investigate historian. On the contrary you are just an angry person and a religious fanatic full of hatred. There I said it! That's who you are hata ujifiche vipi lengo lako na theme-mama katika maandishi yako itakutosa tu.

By the way, sikujua kama Taliban ni sifa mbaya kwa watu kama wewe. Sorry for that ma braza.
 
Sina jazba wala nini. Inavyoonekana hujasoma hata comment yangu vizuri. Nimesema Nyerere siyo babangu na mchukie unavyotaka lakini huyu mwenzako unayejaribu kumtetea (may be ni yeye mwenyewe) ni mtu hatari kama umefuatilia maandishi yake mengi kwa ukaribu.

Ni hayo tu ndugu yangu. Tunacheza na haya mambo na tunawapa nafasi watu wa aina hii kupandikiza chuki zao za kidini, dini zenyewe hizi za kuletewa na watawala wetu halafu huko mbele ya safari tunakuja kulia na kusaga meno. Asante na samahani kama nimekukwaza lakini ukweli ni lazima usemwe!
 

Ww mwenyewe unapotosha nduguzako fulani ktk imani.
Unaongelea habari za vibanda vya kangara na chimpumu hapari za kipuuzi eti prof malima alipewa pesa za kuharibu amani ya tz hizi ni habari za walevi wa pombe za bei rahisi.
Tumezoeya kusikia upuuzi kama hu wako kunawakati mulikuja nahabari kuwa mzee malechela kasilimu na kapewa pesa na nchi fulani ya kiislam asilimu na agombee urais.
Kunawakati mukasema kuna silaha bandrini zimeingizwa na waislam kupitia cuf kuharibu amani ya tz.
Kila siku munaanzisha upuuzi kuchafuwa waislam.
Ww unahaki ya kutafri jambo unavyo penda na ufahamu tafsiri zipo mbili ipo tafsiri mbaya na ipo tafsiri nzuri.
Inategemea ww mwenyewe una uwezo gani wa kupambanua jambo.
Kama hivi ulivyo amua kila bandiko na andiko la mzee muhamed umeamua kulitafsiri vibaya huo ni uwamuzi wako.
Ingawa tupo tunaona nia ya mabandiko na maandiko ya mzee muhamed ni kutuelimisha na kutufahamisha yale tusiyo yajua.
Na siamini kama ktk marais wote waliotuongoza kama kuna rais goi goi kama unavyo amini ww.
Mm naamini mwalimu jkn alifanya kila awezalo kuisogeza mbele tz halikadhalika mzee mwinyi mzee mkapa mzee kikwete na sasa rais magifuli.
Naufaham kuwa mzee muhamed na sisi waislam tunaposema jambo sio kuwa tunalalamika kama tafsiri zako zilivyo mbaya.
Sisi ni jamii kama jamii zingine ktk nchi iliyo huru kuelezea lile linano kukwaza au lile unalo lijua kwa faida ya wasio lijua au kuwatambulisha wale wanaostahiki kulitatua.
Lakini kwakuwa ww umeshajitengezea imani mbaya kuwa waislam ni jamii inayopenda kulalamika sina kauli ya kukuambia kama sisi waislam sio walalamishi na zaidi ni jamii yenye upendo yenye subira na amani.
Nahili la upendo na subira na amani nina ushahidi nalo mkubwa.
Mfano mdogo tu angalia uhalifu wa sehemu wanazo ishi waislam na sehemu wansoishi wasio waislam utaamini haya ninayo sema...
 
Shimba...
Tutakwenda hatua kwa hatua In Shaallah.
''Maandishi yangu yote...''

Hata mimi mwenyewe sijui nimenadika kiasi gani ukiacha vitabu na ''papers.''
Nakuwekea hapa chini baadhi ya machapisho yangu uangalie ni ngapi Nyerere yumo:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children’s book).
3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
5. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
6. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
7. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
8. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
9. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
10. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
11. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
12. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
13. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
14. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA)Morogoro 11th April 2004).
15. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
16. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, and Nairobi.
17. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International (IPCI) Durban.
18. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Sasa tuje kwenye ''mtu hatari...''

Miaka yote hiyo naandika nahadhiri, nachapwa na ''publishers'' ndani na nje ya nchi ''mtu hatari,'' naalikwa kwenye mikutano, nakwenda kwenye vyuo kama ''visiting scholar'' ''mtu hatari...''

Umeniuliza nini lengo langu.

Kila kitabu, kila ''paper'' niliyoandika ina lengo lake maalum sitoweza hapa kukueleza yote ila nitakwambia kuwa kitabu cha Abdulwahid Sykes lengo lake lilikuwa kuonyesha mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Historia hii ilikuwa imefutwa kwa kukusudiwa.
Ukitaka ushahidi wa hilo na mengine fungua uzi makhsusi.

Angry person?

Soma unavyoandika na nisome mimi kisha jiulize nani anaandika ameghadhibika.
Au ukipenda tunaweza kuwaachia wanaukumbi watuamue.

Unazungumza kuhusu chuki.
Ushamsoma P van Bergen (1981), Sivalon (1992), Njozi (2002) wanasema nini?

Kuhusu ''Taliban'' wapi nimesema ni sifa mbaya?
Nilichokueleza ni kuwa umenipa jina ambalo si langu.

Waingereza wanasema, ''name calling.''
Naamini unatambua kuwa watu hapa JF hupewa ''kifungo'' kwa kosa la ''name calling.''
 
Tumewah kuwa na Rais Goi Goi hilo wala halina kificho na kuna wabunge wameshawah mpaka kusema kwa uwazi kuwa kuna rais flan ni dhaifu/goi goi na ndiye aliyelea mafisadi na kuifisadi nchi hii. Benny Mkapa alianza vizuri kabla ya yeye pia kuwa fisadi na kujiuzia mali za taifa hili kwa bei mchekea. mwinyi pia alikuwa na ugoi goi huyu aliongozwa na mkewe na kipindi hicho madawa ya kulrvya yalipamba moto nchini. pamoja na wanyama kuuzwa..rejea loliondo gate. nyerere wasnt a saint pia. but at least hakuliibia hili taifa yeye kma yeye. lakini hakuwa malaika.
kikwete ktk wote ni worst.
huyu china wangemuua tu. but nadhan sisi tumfanyie roho ya msamaha. malecela hakuwah kuwa mwanasiasa kipenz kwangu. na sijui kma alikuwa mkristo kuitwa john au ali haimaanish mtu anafata mising ya dini hiyo. so tuihukumu dini kwa misingi ya iman yake.
kma dini inahalalisha kuua hiyo ni ya kishetani maana shetani ni muuaji number 1. kma dini inasambaza CHUKI HIYO NI YA KISHETANI na aya zinazobariki hilo ni za kishetani.
kuna iman ni lalamishi dunia nzima. IMANI HII INALALAMIKA MIAKA NA MIAKA....DUNIA NZIMA inaonewa kitu ambacho hata wapagan tu hawafanyi. iman hii hta kwenye nchi inzoongoza inalalamika.
mi nadhan sasa tujikite kwenye mambo yenye manufaa. elimu na uchumi. shika dini yako na itumie kwa maisha bora kwa jamii yako.usihatarishe maisha ya mwenzako sababu ya dini yako au yake.



 


Fisadi Lowasa na Genge lake ndiyo waliomuwahisha Kigoma Malima!
 
Mtazamo wako na melezo yako tu yanakuonyesha vipi ktk moyo na nanafi yako ilivyo.
Maneno yoko machache mzuri ni kichaka cha uhalifu wa moyo wako.
Sina neno zuri la kukufahamisha zaidi ya kukuombea dua ubadili moyo wako na mitazamo yako michafu.
 
nashukuru sana kwa kunipa neno hilo . ni kweli moyo wangu umekuwa na akisi ya matendo maovu yaliyofanyika katika taifa hili kwa miaka adali. kiasi kwamba mdomoni ninafuka moshi nliouvuta kipindi chote hiki kilichokuwa na giza,ufisadi,ubatili n.k naamini nitasafinika na hii najisi toka kwa bin adamu hawa walojaa inda na hila mioyoni mwao. walakini kama nisipoyasema haya moyo wangu utajaa kutu na moshi huu mweusi walionivutisha utavilia moyoni na kusababisha mlipuko uso na kina kwa dhahma itakayo ijia jamii husika ya kimsago wa sogala.
ila ashakum si matusi nami ntanena haya kwa ujasili pasipo weka inda kwa lolote nilisemalo. kwa hawa waliolifisha taifa hili na kusababisha kilio na vifo kwa ajaa wetu na nasaba walipaswa kuwekwa chini ya mti mkavu mchana wa saa sita huku vichwa vyao vikiwa pasina unywele. hawa waliojinafiisha na jamii zao huku mamilioni ya kitanzania yaki taabika kwa dhiki na maradhi yenye uponyo.

niombee tu sahimtz maana hatimaye tutafikia hitimisho hili ingawa kuna ambao watapaswa kuwa wakutoswa baharini. waja yaje haya.

Mtazamo wako na melezo yako tu yanakuonyesha vipi ktk moyo na nanafi yako ilivyo.
Maneno yoko machache mzuri ni kichaka cha uhalifu wa moyo wako.
Sina neno zuri la kukufahamisha zaidi ya kukuombea dua ubadili moyo wako na mitazamo yako michafu.
 

Waislamu popote walipo ni watu wa kulalamika kwamba wanajua fulani ndiyo mbaya wao tukianzia Tanzania adui yao mkubwa ni Nyerere na ukatoliki na huko nje ya Tanzania ni marekani na Israel sasa nawauliza waislamu popote walipo mlishamjua adui yenu hapa tanzania mkampa urais Mwislamu Mwinyi zaidi ya kuvunja bucha za nguruwe mlinufaika naye vipi kujikomboa kama kweli hoja zenu mnakandamizwa na hua ko nje ya nchi ya Tanzania kila siku mnachinjana kwa ujinga wenu ili hali mnadai adui yenu mnafahamu kwa nini basi mnashindwa kumdhibiti??? Libya, Syria, Iraq, Yemeni, Sudani, Misri, Tunisia, Mali na kwingineko kote mnachinjana tu nako yuko nyerere? Ifike mahali mjitazame upya kama mnaelewa vizuri matatizo yenu au ni ulimbukeni wa kushindwa kujitambua badala yake mnatafuta wachawi wakati wanga wakubwa ni nyie wenyewe? Mkapa aliwapa chuo cha Tanesco pale Morogoro je, Maendeleo ya hilo eneo yanafanana na kelele zenu za kijinga binafsi mimi nimewachoka na kelele zenu na waona wote mnaolalamika kama matahira tu hamna lolote ili ujinga umewajaa vichwani mwenu.

Mipesa mliyonayo mngekuwa na akili hakuna mjinga yeyote duniani angewachezea kama ilivyo sasa. Prof. Malima alikuwa mla rushwa mkubwa na alitaka kulazimisha watu wote wawe waislamu kwa kujenga msikiti mpaka ndani ya ofisi ya serikali wakati akijua serikali haina dini ni vipi ahusishe imani yake na ofisi ya umma hakuna aliyemuuwa alijiuwa kwa ujinga wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…