The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

We uliona uko huru?
 
Kama wewe uliona ilikua huru ni kwa kua nyani haoni kundule.

OVER
 
Article ya NY times mbona ipo shallow hivi? Hakuna cha maana walichoandika humo. Hivi zile ‘investigative journalism skills’ zimepotelea wapi siku hizi?
 
Paskal paskal paskal huaminiki mkuu. Watu hawasomi ulichoandika wanashambulia tu wazo lako
What went what? What went wrong?
Nami naamini Paskali ni zoba wa kutupa, ndio maana sina haja ya kusoma habari yake yote kwani naamini ameandika uozo,
Take Note
Vivyo hivyo ndivyo uongo ulivyo, ukisema vitu vya kweli 99, halafu ukachomekea kitu kimoja tuu cha uongo, huo uongo mmoja, unabatilisha zile kweli zote 99, na zote kuonekana ni uongo mtupu!
 
..Raisi Magufuli aliahidi uchaguzi utakuwa huru na wa haki.

..Kila aliyetilia mashaka kauli hiyo aliambiwa asubiri mpaka uchaguzi uishe.

..Sasa uchaguzi umekwisha, lakini sidhani kama wengi wetu tumeridhika kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
 
USA yote inamshangaa JPM alivyosimama kidete katika vita ya corona hawana muda wa hilo gazeti. Serikali ipuuze isipoteze muda kulumbana na mjinga.

Tufuta u-tube hii How Africa is leading the world in corona respond/ the daily social distancing show... Ya Trevour Noah, show ya comedy maarufu kabisa ndani ya USA usikilize pamoja na tukejeli twao twa hapa na pale. Lakini chuma JPM kimesifiwa na kukubalika.
 
In US, the election is also disputed by the incumbent president. What else one has to say about election and democracy?
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, wakati moyoni mwake amemuacha Mwenyezi Mungu.
Muda unavyoonyesha....we all share the same shit. From Corona to general election
 
Juu umesha conclude halafu chini unauliza swali. Ni kweli haukuwa HURU NA WA HAKI.

Si ndio hapo mkuu! Hapa lengo kuu la Pascal ni kutaka kuwachota akili Watanzania wenzake - hapa anajifanya kukemea gazeti la NYT lakini ukijaribu kusoma between the lines you can easily tell msimamo wake ni upi - luckily enough Dk.Magufuli is mega smart up stairs, can smell a rat light years away.

Pascal ebu tufafanulie unaposema NYT ni broadsheet paper linalo heshimika Duniani unamaanisha nini? Is it an indirect warning kwamba harakati za kujenga hoja za kuiwekea kibano Taifa letu ndio zimeanza kufukuta au? NYT si gazeti la kuchukulia kimza mzaa hata kidogo.
 
Wengi wachangiaji wanaoponda juhudi za CCM kuwaletea maendeleo Watanzania wanasumbuliwa na njaa au tamaa ya madaraka na wivu kwa Jembe la uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…