papason
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 5,119
- 5,698
Wee msaka tonge wee!
Serikali ya chama chako bila aibu imewafungulia kesi za uhujumu uchumi mamia ya wafusia wa CHADEMA wengi wao walikuwa mawakala, mpaka hivi sasa bado wapo lupango mkiwanyima hata dhamana, kwa kosa la kuwa mawakala wa CHADEMA, New York Times wakiandika habari hizi wanakuwa wanasambaza uchochezi?