mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Siwezi kusoma takataka refu hivyo Ila kukoment naweza .Paskal paskal paskal huaminiki mkuu
Watu hawasomi ulichoandika wanashambulia tu wazo lako
What went what? What went wrong?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kusoma takataka refu hivyo Ila kukoment naweza .Paskal paskal paskal huaminiki mkuu
Watu hawasomi ulichoandika wanashambulia tu wazo lako
What went what? What went wrong?
Simchukii Magufuli ila ninapenda haki. Uchaguzi ungekuwa huru na haki Magufuli asingekua rais wetu.Wwe Dada unamchukia sana Magufuli,au na wwe ndiyo wale waliopigwa chini na Magufuli kisa vyeti fake!?
Huyu Pascal tunajua anajitambua Ila kwa vile ni Kipindi cha Kutafuta Ulaji ni muda muafaka pia Kwake Kujionyesha. Uchaguzi wote tulikuwepo na Tumeona so yeye Kujipendekeza Kwake asituletee hapa.Hakuna uwongo hapo, walichoandika ni ukweli mtupu. Kituo nilichopigia kura mimi wakala wa Chadema alizuiwa katakata kuingia ndani, hii nimeona kwa macho yangu kabisa sijaambiwa na mtu! - Sasa uchaguzi gani huo!
Muongo mkubwa wewe!Simchukii Magufuli ila ninapenda haki. Uchaguzi ungekuwa huru na haki Magufuli asingekua rais wetu.
Bahati nzuri TL hakuitaji kuwa tajiri kama Magufuli na affiliates, kama angehitaji ukwasi basi hakuna mwanasiasa mtanzania ambaye angemfikia.Huyu ni Kati ya wanasiasa ambao watakufa masikini
Si mmesha shinda sasa shida iko wapi?Muongo mkubwa wewe!
Yeye mwenyewe alikuja huku akijua hawezi kushinda na ndio Maana alikata tiketi ya kurudi kwao kabla hata ya kupanda pipa kuja Tz,
Sema kilichokuwa kimemleta kimepuuzwa na Watanzania wengi ukiwemo na wewe