Ukisema hivyo unamaanisha hata kile kampuni yako itakachokitengeneza brand hiyo ujiuzie wewe peke yako siyo?Ni unafiki pia kutumia kifaa cha Mzungu kumsimanga. Kama unamsimamo huo usitumie simu. Uwe unacomment kichawi
Wwe mpiga Kura tu,huyo Wakala wa CDM ulimtambuwaje wakati mle ndani kulikuwa na watu si chini ya Watano!?
NENDA KAMWAMBIE TRUMP TUACHIE NCHI YETUKwahiyo mnachoamini ni umwagaji damu na wizi wa kura?
Usoseme nimempa pesa, sema nimempa pesa alizozitengeneza yeye.Ukisema hivyo unamaanisha hata kile kampuni yako itakachokitengeneza bland hiyo ujiuzie wewe peke yako siyo?
Jinga wewe!
Yeye Kaunda simu Nami nimempa pesa!!
Unaakili kidooogo kama kuku nini?
Atakuwa daraja la juu sana la wachawi huyu mzeeMkuu wachawi hawalogeki. Kwasababu hakuna shaka pasco ni mchawi....mtu hawezi kuwa na roho kama ya pasco asiwe mchawi. I mean kuna uchawi zaidi ya hii roho ya pasco?
Mkuu tunyamaze huyu mchawi pasco asituloge
Huyu mayala Ni hovyo kabisa, daima anataka mtizamo wake ndo ueleweke na kukubalika utadhani ana akili nyingi kuliko wengine akikuona unakinzana naye ana ku report kwa moderater ili ufungiwe kutoa comments zako. Mi Kisha nifanyia hivyo, hafai kabisa Kama njaa.Mkuu achana na huyu mchumia tumbo
Acha tufungiwe lakini lazima tumshughulikie atoe njaa zake hapaHuyu mayala Ni hovyo kabisa, daima anataka mtizamo wake ndo ueleweke na kukubalika utadhani ana akili nyingi kuliko wengine akikuona unakinzana naye ana ku report kwa moderater ili ufungiwe kutoa comments zako. Mi Kisha nifanyia hivyo, hafai kabisa Kama njaa.
Anajua ukweli lakini rupia zimemfanya awe kipofu wa akili.Pascal ni kwa kuwa hakuna aliye wako aliyeuliwa na hawa wavamizi hapa Zanzibar. Hivi yuko wapi Mazrui?? Yuko hai mumeshamuua ??
Ilikuwa kijiji gani na kituo namba ngapiHakuna uwongo hapo, walichoandika ni ukweli mtupu. Kituo nilichopigia kura mimi wakala wa Chadema alizuiwa katakata kuingia ndani, hii nimeona kwa macho yangu kabisa sijaambiwa na mtu! - Sasa uchaguzi gani huo!