The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?


Dawa yako ni wajumbe tu. Wakupe kura 1 nyingine
 
Hebu acha uongo wewe hii kauli [emoji116][emoji116]


"Tanzania, kutokana na Watanzania wengi kuwa na simu janja na kila mwenye simu janja akanunua bundle ili kufuatilia uchaguzi kwa kutumia internet, mtandao wa internet ghafla ukaelemewa hivyo ukawa slow"

Ndio imefuta uhalali wa hili bandiko

Mosi je wewe ndio uliwawekea bundle hao watanzania wote?

Pili Je Netblocks walivyotoa report yao mbona hatukuona majibu ya serikali yenu?

Tatu kazi ya TCRA ni kufungia tu wenye makosa na Pia wao hakuna post yoyote wala mitandao ya simu iliomba radhi kuhusu upotevu wa mtandao wote kwanini walikua kimya?

Nne Hatujaona Rais Trump wala Mteule Biden kumpongeza Jiwe ila Jiwe alitweet kumpongeza Biden je maana yake nini hii?

Tano na mwisho uongo wako unajithibisha kwa hii sababu kwamba rate ya watu wenye simu janja Marekani ni kubwa kuliko huko Tanzania na Marekani walikua na uchaguzi pia ila hatujasikia internet kutopatikana nini sababu?
 
Umeeleweka, in concise unajuwa Lissu ni mtu mmoja mbaya sana kwa nchi hii na kama angekuwa anaishi nchi nyingize zaidi ya Tanzania angeuliwa kitambo kwa usaliti wake. Lissu ana act kama Tump hivi sasa, yaani anahaha. Yeye alidhani ama alijihakikishia kuwa angekuja kuwa rais wa Tanzania baada ya kupigwa risasi, kwamba wananchi wangemchagua yeye kwa kumuonea huruma ili aje kufurahisha wadhamani wake kwa kuiuza hii nchi. Ebu tuangalie jinsi wabelgiji na wazungu wanavyo-destabilize Congo DR. Wamewahonga washenzi wa mashariki ya Congo kuleta vita na kuua raia wasio na hatia na kuyumbisha nchi huku wazungu wakiendelea kujitajirisha na kutucheka waafrika kwa ujinga wetu. Marais wote waliopita Congo wanajuwa kuhusu huu mchezo ila kwa bahati mbaya nao wamejikuta wametumbukia kwenye huu mtego wa kuiuza nchi kujinufaisha wao wenyewe na kutesa raia wao. Lissu na hata ninadiriki kusema hata Zitto na baadhi ya wanaharakati wa hapa Tanzania wako kwenye hili kundi pia, ni wasaliti wa nchi wala si wapinzani. Ni vigumu sana kwa wapinzani kuiondoa CCM madarakani kwani CCM ina mizizi kila kona ya nchi, hii wapinzani wanatakiwa wajuwe. Badala ya wao kukaa chini na kuua vyama visivyo na mvuto kwa wananchi na kuunda umoja ili washindane vilivyo na CCM, wao kila uchaguzi wanaharibiana wenyewe kwa wenyewe kugombania madaraka. Mimi kama mtanzania, kwa kweli nasema serikali isiwafumbie macho wasaliti wa nchi yetu, lazima tuwawajibishe tu na kama wakiona vipi wahame nchi.
 
Pascal hakuyaona hayo yote.
 
#Nonsense!
wote nyie ni wachumia tumbo tu,Hamjui hata hapa duniani mmeumbwa kwa ajili gani ndio maana mnatetea uovu hali ya kuwa miyoni mwenu mnajua ukweli ni upi!..Ndugu yang Kumbuka ipo siku utakutana na Mungu wako aliyekuumba hivyo bas usitetee uovu kana kwamba utaishi duniani milele!.
 
Hivi wewe una akli hata ya kukusaidia hata kwenye msalani na kujisaidia bila matatizo? Mbona unajitahidi sana kupotosha mambo ambayo Watanzania wemejionea kabisa? Na wengine kulazimishwa kufanya?

Ungeposti kwa Wakenya kule, labda wangekuamini. Watanzania tulikuwa Tanzania hii wakati wa uchaguzi. Tunajua kilichotokea. Unaonekna mjinga hata kwa watoto na mke wako.
 
Kabudi atapata na kibali cha juli Hutu is bunge la Ulaya baada ya hotuba ya Lissu?
 
Hizi nguvu anazotumia angezitumia kutengenezea chai wajane na watoto yatima angepata baraka.
 
Anko mchokozi sana weye! Mie sikupiga kura ng'o. It wouldnt have made any difference. Kama tupo wengi wa sampuli hii, pia ni jibu tosha.
 
Uovu gani aliotendewa Lissu? Kumbuka yule ana maisha baada ya kazi aliyokuwa nayo kabla hajawa msaliti wa nchi. You never know alimrubuni nani only he knows. Inawezekana huenda hata hao mabwana zake ndiyo walioshiriki kumtungua risasi. Kumbuka, wazungu wakitaka kukutumia they will give you anything ila ukiwazingua watakumaliza kwa risasi, so Lissu ndiye anayejuwa ukweli wa maisha yake. Mbona aliandamana kwenye kampeni na hakuna aliyempiga risasi? Yule jamaa ni mpuuzi tu, liache likapakatwe huko Ulaya.
 
Absolutely pathetic and nonesense!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…