THE NEW YORKER: Rais Samia amefika Marekani kusahihisha taswira iliyoachwa na Magufuli aliyeitenga Tanzania na Dunia. Lairarua ziara ya Royal Tour

Siku sio nyingi hao The New Yorker watagundua hakuna mtawala wa CCM aliye na nia ya dhati na hili taifa, waweke akiba ya maneno.
Soma vizuri hiyo article. The New Yorker pamoja na Peter Greenberg wamemchana Samia. Wamemshtukia ni mtupu.

Wamesema ameambatana na msafara wa ma diplomats lukuki halafu kila mtu anataka kwenda shopping.

Wamesema amekuja kutangaza utalii, lakini cha ajabu Samia kasema kuna wanyama Tanzania hawavutii, wana sura mbaya, kama Nguruwe Pori, ambaye Peter Greenberg yeye alimpenda. Kwa wazungu hiyo ni bonge la scandal kusema mnyama ana sura mbaya.

Pia wameonyesha Samia aliongopa alivyojidai amevua samaki mkubwa. Yule samaki, gazeti linasema, alidumbukizwa kwenye mtumbwi kimazingira kwa sababu aliyekuwa anavua ni Rais!

Wanasema Samia ame offer kuchukua Nyati, SImba na Tembo na kuwapeleka Central Park, New York. Unahamishaje wanyama kwenda kwa watu ambao unataka waje Tanzania kuwaona?

Gazeti linasema Samia na msafara wake wamechukua ghorofa tatu za hoteli ya kifahari ya The Ritz Carlton. Wamerudia hilo jina The Ritz mara kumi kidogo. Hili ni dongo, kwa tunaowajua wazungu.

Samia amefanywa kituko.
 
JPM ndiye aliyeifikisha nchi uchumi wa kati bila kwenda kwa hao wanyonyaji wa rasilimali duniani!

Wazungu ni wapumbavu
2015 aliingia per capita ikiwa kiasi gani?..kuingia uchumi wa kati ilikuwa progression tu ya kazi walizofanya pia watangulizi wake..

Sio kwamba alitukuta tupo per capita ya O usd na kutupeleka 1080 usd real quick..hata mkwere angeendelea kukaa madarakani tungefika tu huko bila tatizo,tena inawezekana tungefika mapema.

Tutamsifia endapo tu atakuwa ameongeza per capita kubwa kuliko maraisi wote waliomtangulia..
 
Mkuu Umenifanya nicheke sana.
 
Hivi, ni kwanini hayati JPM, alionekana kuwa tishio? Kila agenda lazima atajwe. Itabidi kifo chake kichunguzwe
Huo mzoga tulikwisha ufukia na umebakia chakula cha minyoo. Asante Mungu kwa kututolea huyo SHETANI
 
Kwa sasa uchumi huo wa kati umeenda wapi.?

Kwa nini usingeliendelea?
 
Kwa sasa uchumi huo wa kati umeenda wapi.?

Kwa nini usingeliendelea?
Hakuna taarifa yoyote official kutoka IMF or WB kuonyesha kuwa hatupo tena uchumi wa kati.

Hata Samia alijirekebisha kwenye interview aliyofanya na Tido kwa kusema kuwa bado tupo uchumi wa kati.
 
Huo mzoga tulikwisha ufukia na umebakia chakula cha minyoo. Asante Mungu kwa kututolea huyo SHETANI
Ifike mahali ifahamike kuwa, hata wewe haustahili kuishi, kwa sababu hata waliokufa sio kwamba ni watenda dhambi saana kushinda wewe, na pia wapo wanaokufa wasio na hatia yoyote, Je wewe huna dhambi? Je umemhonga kitu chochote huyo Mungu unayewasimangia waliokufa?

Kila nafsi itaonja mauti, uwe huna dhambi Ila utakufa, kama si Leo, basi kesho,

Tia maji tu kichwa chako

Halafu, upunguze kihelehele, kwa sababu na wewe ni vuno la Mungu huyo huyo aliyemvuna JPM,
 
Hakuna taarifa yoyote official kutoka IMF or WB kuonyesha kuwa hatupo tena uchumi wa kati..hata Samia alijirekebisha kwenye interview aliyofanya na Tido kwa kusema kuwa bado tupo uchumi wa kati.
Sawa mkuu,

Sifa huenda kwa mshindi tuu hata kwenye mbio za kupokezana kijiti, yule wa mwisho kufika na kijiti mwisho wa mchezo, sifa huwa zake
 
Rais anaanza kuomba kugawa wanyama kabla hajaombwa.

Sasa ndio tunajua ukubwa wa delegation ya Chief Hangaya; they occupied THREE floors of the Ritz hotel!!! Wabongo mnajua ukubwa na gharama za kukaa RITZ hotel kwa siku kwa chumba? Sasa hapo ni gharama za hotel bado hizo shopping wanazosema wakina Mwigulu walikuwa wanalilia kwenda kufanya!!! Wababa mnaacha kuvaa kaunda suti na wamama kuvaa vitenge to save our forex mnakwenda kupoteza Huko Marekani halafu mnakuja mnalia vijana wenu hawana ajira!! Akili hiyo chief Hangaya mnaijua wenyewe!!

Sifa moja ya Marehemu Magufuli ilikuwa kutokupenda safari za nje na misafara mikubwa kama Samia anavyofanya!! Ingawaje mtasema alikuwa hasafiri kwasababu ya betri yake lakini hata hivyo alikuwa sio mpenda starehe na mtumbuaji wa fedha za wavuja jasho kama ilivyodhihirika kwa Hangaya! Unasafiri na kundi la watu wanachukua floors tatu za FIVE star hotel huo ni utumiaji wa fedha za umma bila uchungu ;huku wanannchi wakilia njaa nyumbani kwenu!! Tafadhali fikiria nchi mara unapoamua ukubwa wa misafara yako utatuua!! Ushauri mwingine wa Vasco Dagama mara akikupa uwe unachanganya na wako!!!
 
Ritz Carlton Bei yake kuanzia USD 1,500 mpaka 2,000 kwa chumba kwa usiku mmoja!!!

Ebu fikiria Floor tatu za Ritz carton ni vyumba vingapi? Na wamekaa muda wa siku ngapi? THE OPPORTINITY COST FALLACY njoo huku utetee safari yenu mlivyoikomba nchi!!
 
Bro ndio ujumbe uliobeba hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…