Ni ufala tuuDuuh mzafara umejaza floor tatu ya the ritz carlton Hotel.
Na wamekwenda kufanya shopping tu.
Daah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ufala tuuDuuh mzafara umejaza floor tatu ya the ritz carlton Hotel.
Na wamekwenda kufanya shopping tu.
Daah.
Yaani.....au basi!Ebu fikiria Floor tatu za Ritz carton ni vyumba vingapi? Na wamekaa muda wa siku ngapi? THE OPPORTINITY COST FALLACY njoo huku utetee safari yenu mlivyoikomba nchi!!
Huku ndio kulamba asali Sasa....😋😋.Vyumba kama nyumba walivyolala kina Mwigulu Nchemba hapo The Ritz Carlton Hotel
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Siku sio nyingi hao The New Yorker watagundua hakuna mtawala wa CCM aliye na nia ya dhati na hili taifa, waweke akiba ya maneno.
Vyote wanavyoambiwa nao wakiwa huko nje huwa ni uongo mtupu, na hufanya hivyo ili kupata pesa za misaada pekee, hakuna ukweli wowote.
Mfano juzi Samia akiwa huko aliwadanganya ataanzisha mchakato wa Katiba Mpya, watu wakakurupuka na kuanza kutoa pongezi, matokeo yake mpaka leo bado anaendelea kuvunja sheria bila aibu yoyote.
Ndio inavyotakiwa
Umesema kweli na ndiyo maana watu kama Hayati Nyerere na Mkapa japo kuna namna wanalaumiwa kwa machache lakini hawafikii namna ambavyo huyu HAYAWANI wa Chato anavyolaumiwa. Sijui kwa nini misukule yake kama tameer au Nyankurungu2020 na Crimea pamoja na Etwege hayaelewi. Akili zao aliondoka nazo Magufuli. Ndiyo maana Zitto anawaambia wakachimbe makaburi yao chato wazikwe karibu na DIKTETAHata Adolf Hitler hadi leo anatajwa sana,ukifanya mema hata ukifa mema yako yataendelea kuishi,vile vile ukifanya maovju hata ukifa maovu yako yataendelea kuishi. Leo hii tunapomkumbuka Ben Saanane,Azori Gwanda,tunapomuona Tundu Lissu na ulemavu aliopata hatuwezi kuacha kumtaja huyo dhalim.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Neno au maana ya tishio haujalitumia vema. Labda ungefafanua tishio kivipi?Hivi, ni kwanini hayati JPM, alionekana kuwa tishio? Kila agenda lazima atajwe. Itabidi kifo chake kichunguzwe
Eti depopulation. Akili ya kipuuzi kabisa. Huoni watoto wa mtaani na Panya road wa kutosha? Achilia mbali ombaomba? Fikra za kusadikika, innuendos na conspiracy theories za kipumbavu zinawatesa sana wajinga mnaaojiona mumeelimika kumbe bure kabisa.Mbinu zote alizotumia Magu kupambana na Covid ndio wanazotumia sasa mabeberu.
Kipindi kile covid ikiwa juu.
Jamaa akaruhusu Ligi ya mpira kuanza tena.
Pale ndipo nilielewa the guy was good upstairs.
Wazungu jambo la kwanza walilolifanya nao ni kuruhusu ligi za michezo mbali mbali kurejea.
Hiyo ilikua mbinu nzuri sana ya kuondosha hofu katika jamii.
Nitajie mwanasoka yeyote maarufu aliyeondoka kwa korona.
Ndio ujue ile ilikua ni ajenda ya kishetani ya kupunguza watu duniani.
Na hapa JF zimeanza kuibuka nyuzi za kuishinikiza serikali kuweka sheria ya kulimit namba ya watoto katika familia.
Depopulation ndio agenda kuu kwa sasa za New World Order na ndio wenye mpini kwa sasa na ndio wenye korona yao.
Zinafuatwa pesa, zinazokwenda kutumika huko vijijini, tatizo letu waswahili tumejikita katika lawama mpaka tunapoteza uwezo wa kuyatazama mambo katika jicho lenye usawa.Dah!...upo serious mkuu ?...ina maana huko ughaibuni ndio kuna suluhisho la hayo ?
Kwamba kitakachopatikana baada ya hiyo ziara ni zaidi ya gharama za msafara ?.... tusubiri tuone
Statesman
Pesa za walipa kodi na masikini wa Tanzania. Bila mapinduzi, hakuna lolote na no need to be in politics.Huku ndio kulamba asali Sasa....😋😋.
Statesman The Sunk Cost Fallacy Lord denningKiranga wa kupuliza Frank Wanjiru zitto junior JokaKuuYoda
Duuh mzafara umejaza floor tatu ya the ritz carlton Hotel.
Na wamekwenda kufanya shopping tu.
Daah.
Halafu Samia anaulizwa anapenda kufanya shopping wapi na yeye anaingia mkenge anajibu... "Calvin Klein... Zara." Anataka kuonyesha sio mshamba wa maduka ya New York. Hajui kwamba angeheshimika zaidi kama angewaambia mimi sijui maduka yenu ya nguo au sijaja kuongelea maduka ya mavazi.
Pombe Magufuli na Julius Nyerere wanabingirika kaburini.
Julius Nyerere alisema ugumu wa kazi ya Urais ni kutembea vijijini na kuona watoto wa shule matako nje, miguu peku, na una feel responsible, asingeweza kumtamkia Mzungu kwamba anapenda kufanya shopping kwenye maduka yao ya Calvin Klein na Zara! NEVER! Samia Hassan is in over her head.
Weka facts straight, Royal Tour sio sababu ya hayo uliyoyataja. Bila royal tour hayo pia yangeweza kufanyika, japo sio mbaya pia kufanya hiyo royal tour.Zinafuatwa pesa, zinazokwenda kutumika huko vijijini, tatizo letu waswahili tumejikita katika lawama mpaka tunapoteza uwezo wa kuyatazama mambo katika jicho lenye usawa.
Royal Tour mambo yakikaa sawa inakwenda kuifungua nchi kwa mapana yake. Inakwenda kutafuta wateja wa biashara zitakazoitumia treni ya umeme, wanakwenda kutafuta wawekezaji watakaoanzisha biashara zitakazoutumia umeme wa Stieglers.
Wenyewe wamarekani huko wanashangaa viongozi kuwa na shauku kubwa ya kufanya shopping kwenye madukaPesa za walipa kodi na masikini wa Tanzania. Bila mapinduzi, hakuna lolote na no need to be in politics.
Limetumika kwa usahihi kabisa mkuu.
Neno au maana ya tishio haujalitumia vema. Labda ungefafanua tishio kivipi?
sio rafiki hata kidogo wazunguAisee. Mzungu si RAFIKI yako, wametuanika big time