The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kichunguzwe kwa ajili ya kutaka nini hasa?Hivi, ni kwanini hayati JPM, alionekana kuwa tishio? Kila agenda lazima atajwe. Itabidi kifo chake kichunguzwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichunguzwe kwa ajili ya kutaka nini hasa?Hivi, ni kwanini hayati JPM, alionekana kuwa tishio? Kila agenda lazima atajwe. Itabidi kifo chake kichunguzwe
Kwani hujui kwamba aliharibu dira ya US hapa Tanzania?Kwani hadi US walitikiswa na Mwendazake?
Hakika huyu angekuwa na pesa tungejitemea bila kujikomba kwa mtu.
Unatamani kuwa mtumwa wewe naona.Kwani hujui kwamba aliharibu dira ya US hapa Tanzania?
US alitaka kuifanya Tanzania Nchi ya mfano kwenye demokrasia na maendeleo Ili Nchi zingine wajifunze na kuunga mkono siasa na ustaarabu wake..
Sasa mwelekeo wa kipuuzi wa siasa za uhasama za Mwendazake zilihatibu Mchongo..
Tanzania ingekuwa mbali Sana endapo tungeendelea vile,kwa mfano Tulikuwa tunapata dola mil.700 sawa na sh.Til.1.5 za MCC bure kabisa ila kwa miradi yenye tija,hakuna Nchi nyingine ilipata pesa nyingi kuzidi Tanzania..
Tulikuwa tuwe kitovu cha Programu za Power Africa kwa ajili ya Umeme na Program ya Feed the Future kwa ajili ya kufanya kilimo Bora..
On top of that US ilikuwa itufungulie soko la Mazao la AGOA,program za afya kama ya kudhibiti malaria na kifua kikuu.
US walitaka wajenge Mji wa mfano wa kitalii yaani Miami ya Bongo kule Kigamboni wenye facilities zote ikiwemo Command yao ya Jeshi ..
Hiyo ni baadhi tuu ya mifano
Halafu Samia anaulizwa anapenda kufanya shopping wapi na yeye anaingia mkenge anajibu... "Calvin Klein... Zara." Anataka kuonyesha sio mshamba wa maduka ya New York. Hajui kwamba angeheshimika zaidi kama angewaambia mimi sijui maduka yenu ya nguo au sijaja kuongelea maduka ya mavazi.
Pombe Magufuli na Julius Nyerere wanabingirika kaburini.
Julius Nyerere alisema ugumu wa kazi ya Urais ni kutembea vijijini na kuona watoto wa shule matako nje, miguu peku, na una feel responsible, asingeweza kumtamkia Mzungu kwamba anapenda kufanya shopping kwenye maduka yao ya Calvin Klein na Zara! NEVER! Samia Hassan is in over her head.
Weka facts straight, Royal Tour sio sababu ya hayo uliyoyataja. Bila royal tour hayo pia yangeweza kufanyika, japo sio mbaya pia kufanya hiyo royal tour.
Ila Rais kuomba kuwapa Marekani Tembo, faru na Simba ni Jambo la ajabu kidogo. Sijui viongozi wetu wa Afrika wamekumbwa na nini.
Wazungu wanaheshimu sana ukweli, uhalisia. Wanafundishwa hivyo toka shule ya msingi na pre- school, miaka mitatu. Wanapenda mtu ambaye yuko genuine.sio rafiki, ni wanafiki sana wazungu
imagine huyo huyo Peter Greenberg aliyekuwa "rafiki" wa Samia ndio anamchana Samia kwenye hiyo article...
Peter Greenberg ndio aliyesema kwenye msafara wa Samia "everybody wants to go shopping...."
Na ni huyo huyo Greenberg aliyesema samaki aliyevuliwa na Samia kiukweli alitumbukizwa kwenye mtumbwi ghafla ghafla kwa sababu Samia ni Rais, lakini hakuvuliwa na Samia. Yani Samia mwongo!
Samia hajaishi na wazungu, hajui wazungu walivyo wanafiki.
Samia anadhani akijua maduka yao ya Calvin Klein na Zara basi anajua kuhusu uzunguni na wazungu...
Aseeh nimeshika kichwaSamia anachokifata huko ughaibuni ni kwa ajili ya hao hao wanaotembea matako wazi kwa ajili ya hao hao wanaokunywa maji pamoja na kuku wa kienyeji.
Msafara unaweza kuonekana ni ghali lakini hauwezi kulingana na thamani ya kilichofuatwa huko.
US walitaka wajenge Mji wa mfano wa kitalii yaani Miami ya Bongo kule Kigamboni wenye facilities zote ikiwemo Command yao ya Jeshi ...
Una stress!Kwa hiyo mtimawachi huyo Magufuli ndiyo alikuwa nabii wa nini? Acheni kumkufuru Mungu kwankumkweza huyo shetani
Hisia za kijinga tuu hizo,wapi wanafanya hivyo? Wamejenga S.Korea,Japan,Europe,Taiwan nk umewahi sikia huo utopolo wako?US wangekujengea "Miami" Kigamboni na Command ya Jeshi Kigamboni wangekwambia kuanzia leo bichi za Kigamboni ussenge ruksa. Ungekubali ??????
Mzungu yuko strategic kwenye kila kitu. Huo mradi wa Umeme wa Power Africa ulikuwa wa bure ? Kwa nini basi Hillary Clinton alipoleta kampuni ya Symbion kwa nini USA hawakumlipa huyo Symbion, tuna li kesi la deni lao mpaka leo, why the hell ???
Unadhani State Department / CIA hawajui kwamba kuna ki nchi maskini huko Africa kinadaiwa billi ya kuunga umeme na kampuni ya Kimarekani? Don't be naive and gullible.
Kwani alichokisema huyo Peter Greenberg ni unafiki au ukweli ?....sio rafiki, ni wanafiki sana wazungu
imagine huyo huyo Peter Greenberg aliyekuwa "rafiki" wa Samia ndio anamchana Samia kwenye hiyo article...
Peter Greenberg ndio aliyesema kwenye msafara wa Samia "everybody wants to go shopping...."
Na ni huyo huyo Greenberg aliyesema samaki aliyevuliwa na Samia kiukweli alitumbukizwa kwenye mtumbwi ghafla ghafla kwa sababu Samia ni Rais, lakini hakuvuliwa na Samia. Yani Samia mwongo!
Samia hajaishi na wazungu, hajui wazungu walivyo wanafiki.
Alikuwa mharifu kama waharifu wengine. Na ilikuwa bahati mbaya Kwa Tanzania kupata kuwa rais Kwa mtu wa aina ileHivi, ni kwanini hayati JPM, alionekana kuwa tishio?
Kila agenda lazima atajwe. Itabidi kifo chake kichunguzwe
Wewe ni mjinga,taja Nchi yeyote ambayo unajua ni mtumwa wa US? Us imesaidia na inasaidia mambo mangapi hapa Tzn na Duniani kwa ujumla,umeona kuna utumwa?Unatamani kuwa mtumwa wewe naona.
Mambo ya kijeshi wasilete kabisa. Hatutaki na hatuna haja nayo.
Wapewe Kigamboni Bure? Ni uchizi tun
Lile lilikuwa ni tatizoHivi, ni kwanini hayati JPM, alionekana kuwa tishio?
Kila agenda lazima atajwe. Itabidi kifo chake kichunguzwe
AnazinguaWeka facts straight, Royal Tour sio sababu ya hayo uliyoyataja. Bila royal tour hayo pia yangeweza kufanyika, japo sio mbaya pia kufanya hiyo royal tour.
Ila Rais kuomba kuwapa Marekani Tembo, faru na Simba ni Jambo la ajabu kidogo. Sijui viongozi wetu wa Afrika wamekumbwa na nini.
Duhsio rafiki, ni wanafiki sana wazungu
imagine huyo huyo Peter Greenberg aliyekuwa "rafiki" wa Samia ndio anamchana Samia kwenye hiyo article...
Peter Greenberg ndio aliyesema kwenye msafara wa Samia "everybody wants to go shopping...."
Na ni huyo huyo Greenberg aliyesema samaki aliyevuliwa na Samia kiukweli alitumbukizwa kwenye mtumbwi ghafla ghafla kwa sababu Samia ni Rais, lakini hakuvuliwa na Samia. Yani Samia mwongo!
Samia hajaishi na wazungu, hajui wazungu walivyo wanafiki.
Kwani alichokisema huyo Peter Greenberg ni unafiki au ukweli ?....
Kwa hiyo mtimawachi huyo Magufuli ndiyo alikuwa nabii wa nini? Acheni kumkufuru Mungu kwankumkweza huyo shetani
sio tishio sema kuingiza nchi shimoni kutokana na ushamba wakeHivi, ni kwanini hayati JPM, alionekana kuwa tishio?
Kila agenda lazima atajwe. Itabidi kifo chake kichunguzwe