Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu Samia anaulizwa anapenda kufanya shopping wapi na yeye anaingia mkenge anajibu... "Calvin Klein... Zara." Anataka kuonyesha sio mshamba wa maduka ya New York. Alidhani ni ushamba kujibu mimi sijui vizuri maduka ya hapa ya nguo, na kipaumbele cha safari hii ni kuongelea masuala tofauti na maduka ya nguo. Wangemweka kwenye annals of Africa's most respected statesmen.Duuh mzafara umejaza floor tatu ya the ritz carlton Hotel.
Na wamekwenda kufanya shopping tu.
Daah.
Mkuu unanitoa machozi hapa.Halafu Samia anaulizwa kuhusu anapopenda kufanya shopping na yeye anaingia mkenge anajibu... "Calvin Klein... Zara"
Pombe Magufuli na Julius Nyerere wanabiringika kaburini. Julius Nyerere aliyesema ugumu wa kazi ya Rais ni kutembea vijijini unaona watoto wa shule matako nje,miguu peku asingeweza
kumtamkia Mzungu kwamba anapenda kufanya shopping kwenye maduka yao ya Calvin Klein na Zara! NEVER!
Unajua hizo floor tatu ni vyumba vingapi ?Duuh mzafara umejaza floor tatu ya the ritz carlton Hotel.
Na wamekwenda kufanya shopping tu.
Daah.
Tulienda kutangaza vivutio vya utaliiSasa ndio tunajua ukubwa wa delegation ya Chief Hangaya; they occupied THREE floors of the Ritz hotel!!! Wabongo mnajua ukubwa na gharama za kukaa RITZ hotel kwa siku kwa chumba? Sasa hapo ni gharama za hotel bado hizo shopping wanazosema wakina Mwigulu walikuwa wanalilia kwenda kufanya!!! Wababa mnaacha kuvaa kaunda suti na wamama kuvaa vitenge to save our forex mnakwenda kupoteza Huko Marekani halafu mnakuja mnalia vijana wenu hawana ajira!! Akili hiyo chief Hangaya mnaijua wenyewe!!
Sifa moja ya Marehemu Magufuli ilikuwa kutokupenda safari za nje na misafara mikubwa kama Samia anavyofanya!! Ingawaje mtasema alikuwa hasafiri kwasababu ya betri yake lakini hata hivyo alikuwa sio mpenda starehe na mtumbuaji wa fedha za wavuja jasho kama ilivyodhihirika kwa Hangaya! Unasafiri na kundi la watu wanachukua floors tatu za FIVE star hotel huo ni utumiaji wa fedha za umma bila uchungu ;huku wanannchi wakilia njaa nyumbani kwenu!! Tafadhali fikiria nchi mara unapoamua ukubwa wa misafara yako utatuua!! Ushauri mwingine wa Vasco Dagama mara akikupa uwe unachanganya na wako!!!
The Sunk Cost Fallacy Lord denning jibuni hizi tuhuma kuhusu gharama za msafara wenu huko USA.Ebu fikiria Floor tatu za Ritz carton ni vyumba vingapi? Na wamekaa muda wa siku ngapi? THE OPPORTINITY COST FALLACY njoo huku utetee safari yenu mlivyoikomba nchi!!
Floors 33 rooms 1000 ambayo ni sawa na vyumba 30 kwa kila floor.Unajua hizo floor tatu ni vyumba vingapi ?
Hatujui kufanya chochote sawa.Sasa ndio tunajua ukubwa wa delegation ya Chief Hangaya; they occupied THREE floors of the Ritz hotel!!! Wabongo mnajua ukubwa na gharama za kukaa RITZ hotel kwa siku kwa chumba? Sasa hapo ni gharama za hotel bado hizo shopping wanazosema wakina Mwigulu walikuwa wanalilia kwenda kufanya!!! Wababa mnaacha kuvaa kaunda suti na wamama kuvaa vitenge to save our forex mnakwenda kupoteza Huko Marekani halafu mnakuja mnalia vijana wenu hawana ajira!! Akili hiyo chief Hangaya mnaijua wenyewe!!
Sifa moja ya Marehemu Magufuli ilikuwa kutokupenda safari za nje na misafara mikubwa kama Samia anavyofanya!! Ingawaje mtasema alikuwa hasafiri kwasababu ya betri yake lakini hata hivyo alikuwa sio mpenda starehe na mtumbuaji wa fedha za wavuja jasho kama ilivyodhihirika kwa Hangaya! Unasafiri na kundi la watu wanachukua floors tatu za FIVE star hotel huo ni utumiaji wa fedha za umma bila uchungu ;huku wanannchi wakilia njaa nyumbani kwenu!! Tafadhali fikiria nchi mara unapoamua ukubwa wa misafara yako utatuua!! Ushauri mwingine wa Vasco Dagama mara akikupa uwe unachanganya na wako!!!
It is just so painful kusoma article ya namna hii kumhusu rais wa nchi yako.The whole article is centred on sarcasm ridiculing the president.
A poor nation occupying three floors in an expensive five star hotel
A president who is promising to gift a zoo an endangered species
Diplomats who are concerned of going shopping than anything else
Choice of words ‘a party’ accompanying the president indicating a group of people who were there to have fun; the respectable term would have been delegate.
A president who is excited by petty things
Kwa kifupi article imelenga kukejeli ziara ya raisi kama mtu ambae sio wakuchukuliwa serious; you just have to read it careful on what the author is implying its flattering at all.
Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wakeIfike mahali ifahamike kuwa, hata wewe haustahili kuishi, kwa sababu hata waliokufa sio kwamba ni watenda dhambi saana kushinda wewe, na pia wapo wanaokufa wasio na hatia yoyote, Je wewe huna dhambi? Je umemhonga kitu chochote huyo Mungu unayewasimangia waliokufa?
Kila nafsi itaonja mauti, uwe huna dhambi Ila utakufa, kama si Leo, basi kesho,
Tia maji tu kichwa chako
Halafu, upunguze kihelehele, kwa sababu na wewe ni vuno la Mungu huyo huyo aliyemvuna JPM,
Kwa hiyo mtimawachi huyo Magufuli ndiyo alikuwa nabii wa nini? Acheni kumkufuru Mungu kwankumkweza huyo shetaniUkae ukijua hata manabii wa Mungu kwa nyakati tofauti waliondolewa duniani.Tena wengine kwa mateso makuu.
Samia anachokifata huko ughaibuni ni kwa ajili ya hao hao wanaotembea matako wazi kwa ajili ya hao hao wanaokunywa maji pamoja na kuku wa kienyeji.Halafu Samia anaulizwa anapopenda kufanya shopping na yeye anaingia mkenge anajibu... "Calvin Klein... Zara." Anataka kuonyesha sio mshamba wa maduka ya New York. Hajui kwamba angeheshimika zaidi kama angemwambia mzungu mimi sijui maduka yenu ya nguo au sijaja kuongelea maduka ya mavazi.
Pombe Magufuli na Julius Nyerere wanabiringika kaburini.
Julius Nyerere aliyesema ugumu wa kazi ya Urais ni kutembea vijijini unaona watoto wa shule matako nje, miguu peku, na una feel responsible, asingeweza kumtamkia Mzungu kwamba anapenda kufanya shopping kwenye maduka yao ya Calvin Klein na Zara! NEVER! Samia Hassan is in over her head.
Dah!...upo serious mkuu ?...ina maana huko ughaibuni ndio kuna suluhisho la hayo ?Samia anachokifata huko ughaibuni ni kwa ajili ya hao hao wanaotembea matako wazi kwa ajili ya hao hao wanaokunywa maji pamoja na kuku wa kienyeji.
Kwamba kitakachopatikana baada ya hiyo ziara ni zaidi ya gharama za msafara ?.... tusubiri tuoneMsafara unaweza kuonekana ni ghali lakini hauwezi kulingana na thamani ya kilichofuatwa huko
Ndio maana kwenye occasion moja umeme ulikatika.The whole article is centred on sarcasm which is ridiculing the president.
A poor nation occupying three floors in an expensive five star hotel
A president who is promising to gift a zoo an endangered species
Diplomats who are concerned of going shopping than anything else
Choice of words ‘a party’ accompanying the president indicating a group of people who were there to have fun; the respectable term would have been delegate.
A president who is excited by petty things
Kwa kifupi article imelenga kukejeli ziara ya raisi kama mtu ambae sio wakuchukuliwa serious; you just have to read it careful on what the author is implying and its not flattering at all.
I second you,lakini tungoje tuone mafanikio ya Royal tour.The whole article is centred on sarcasm which is ridiculing the president.
A poor nation occupying three floors in an expensive five star hotel
A president who is promising to gift a zoo an endangered species
Diplomats who are concerned of going shopping than anything else
Choice of words ‘a party’ accompanying the president indicating a group of people who were there to have fun; the respectable term would have been delegate.
A president who is excited by petty things
Kwa kifupi article imelenga kukejeli ziara ya raisi kama mtu ambae sio wakuchukuliwa serious; you just have to read it careful on what the author is implying and its not flattering at all.
Duh!Soma vizuri hiyo article. The New Yorker pamoja na Peter Greenberg wamemchana Samia. Wamemshtukia ni mtupu.
Wamesema ameambatana na msafara wa ma diplomats wanaotaka kwenda shopping.
Wamesema amekuja kutangaza utalii, lakini cha ajabu Samia kasema kuna wanyama Tanzania hawavutii, wana sura mbaya, kama Nguruwe Pori ambaye Peter Greenberg alimpenda. Kwa wazungu hiyo ni bonge la scandal kusema mnyama ana sura mbaya.
Pia wameonyesha Samia aliongopa alivyojidai amevua samaki mkubwa. Yule samaki, gazeti linasema, alidumbukizwa kwenye mtumbwi kimazingira kwa sababu aliyekuwa anavua ni Rais!
Wanasema Samia ame offer kuchukua Nyati, SImba na Tembo na kuwapeleka Central Park, New York. Unahamishaje wanyama kwenda kwa watu ambao unataka waje Tanzania kuwaona ?
Gazeti linasema Samia na msafara wake wamechukua ghorofa tatu za hoteli ya kifahari ya The Ritz Carlton. Wamerudia hilo jina The Ritz mara kumi kidogo. Hili ni dongo, kwa tunaowajua wazungu.
Samia amefanywa kituko.