THE NEW YORKER: Rais Samia amefika Marekani kusahihisha taswira iliyoachwa na Magufuli aliyeitenga Tanzania na Dunia. Lairarua ziara ya Royal Tour

THE NEW YORKER: Rais Samia amefika Marekani kusahihisha taswira iliyoachwa na Magufuli aliyeitenga Tanzania na Dunia. Lairarua ziara ya Royal Tour

Siku sio nyingi hao The New Yorker watagundua hakuna mtawala wa CCM aliye na nia ya dhati na hili taifa, waweke akiba ya maneno.
Soma vizuri hiyo article. The New Yorker pamoja na Peter Greenberg wamemchana Samia. Wamemshtukia ni mtupu.

Wamesema ameambatana na msafara wa ma diplomats lukuki halafu kila mtu anataka kwenda shopping.

Wamesema amekuja kutangaza utalii, lakini cha ajabu Samia kasema kuna wanyama Tanzania hawavutii, wana sura mbaya, kama Nguruwe Pori, ambaye Peter Greenberg yeye alimpenda. Kwa wazungu hiyo ni bonge la scandal kusema mnyama ana sura mbaya.

Pia wameonyesha Samia aliongopa alivyojidai amevua samaki mkubwa. Yule samaki, gazeti linasema, alidumbukizwa kwenye mtumbwi kimazingira kwa sababu aliyekuwa anavua ni Rais!

Wanasema Samia ame offer kuchukua Nyati, SImba na Tembo na kuwapeleka Central Park, New York. Unahamishaje wanyama kwenda kwa watu ambao unataka waje Tanzania kuwaona?

Gazeti linasema Samia na msafara wake wamechukua ghorofa tatu za hoteli ya kifahari ya The Ritz Carlton. Wamerudia hilo jina The Ritz mara kumi kidogo. Hili ni dongo, kwa tunaowajua wazungu.

Samia amefanywa kituko.
 
JPM ndiye aliyeifikisha nchi uchumi wa kati bila kwenda kwa hao wanyonyaji wa rasilimali duniani!

Wazungu ni wapumbavu
2015 aliingia per capita ikiwa kiasi gani?..kuingia uchumi wa kati ilikuwa progression tu ya kazi walizofanya pia watangulizi wake..

Sio kwamba alitukuta tupo per capita ya O usd na kutupeleka 1080 usd real quick..hata mkwere angeendelea kukaa madarakani tungefika tu huko bila tatizo,tena inawezekana tungefika mapema.

Tutamsifia endapo tu atakuwa ameongeza per capita kubwa kuliko maraisi wote waliomtangulia..
 
Soma vizuri hiyo article. The New Yorker pamoja na Peter Greenberg wamemchana Samia, wamemdhihaki. Wamemshtukia ni mtupu.

Wamesema ameambatana na msafara wa ma diplomats wanaotaka kwenda shopping.

Wamesema amekuja kutangaza utalii, lakini cha ajabu Samia kasema kuna wanyama Tanzania hawavutii, wana sura mbaya, kama Nguruwe Pori ambaye Peter Greenberg alimpenda. Kwa wazungu hiyo ni bonge la scandal kusema mnyama ana sura mbaya.

Pia wameonyesha Samia aliongopa alivyojidai amevua samaki, yule samaki alidumbukiwa kwenye mtumbwi kimazingira kwa sababu yeye ni Rais!

Wanasema Samia ame offer kuchukua Nyati, SImba na Tembo na kuwapeleka Central Park, New York. Unahamishaje wanyama kwenda kwa watu ambao unataka waje Tanzania kuwaona ?

Samia amefanywa kituko.
Mkuu Umenifanya nicheke sana.
 
Hivi, ni kwanini hayati JPM, alionekana kuwa tishio? Kila agenda lazima atajwe. Itabidi kifo chake kichunguzwe
Huo mzoga tulikwisha ufukia na umebakia chakula cha minyoo. Asante Mungu kwa kututolea huyo SHETANI
 
2015 aliingia per capita ikiwa kiasi gani?..kuingia uchumi wa kati ilikuwa progression tu ya kazi walizofanya pia watangulizi wake..sio kwamba alitukuta tupo per capita ya O usd na kutupeleka 1080 usd real quick..hata mkwere angeendelea kukaa madarakani tungefika tu huko bila tatizo,tena inawezekana tungefika mapema.

Tutamsifia endapo tu atakuwa ameongeza per capita kubwa kuliko maraisi wote waliomtangulia..
Kwa sasa uchumi huo wa kati umeenda wapi.?

Kwa nini usingeliendelea?
 
Kwa sasa uchumi huo wa kati umeenda wapi.?

Kwa nini usingeliendelea?
Hakuna taarifa yoyote official kutoka IMF or WB kuonyesha kuwa hatupo tena uchumi wa kati.

Hata Samia alijirekebisha kwenye interview aliyofanya na Tido kwa kusema kuwa bado tupo uchumi wa kati.
 
Huo mzoga tulikwisha ufukia na umebakia chakula cha minyoo. Asante Mungu kwa kututolea huyo SHETANI
Ifike mahali ifahamike kuwa, hata wewe haustahili kuishi, kwa sababu hata waliokufa sio kwamba ni watenda dhambi saana kushinda wewe, na pia wapo wanaokufa wasio na hatia yoyote, Je wewe huna dhambi? Je umemhonga kitu chochote huyo Mungu unayewasimangia waliokufa?

Kila nafsi itaonja mauti, uwe huna dhambi Ila utakufa, kama si Leo, basi kesho,

Tia maji tu kichwa chako

Halafu, upunguze kihelehele, kwa sababu na wewe ni vuno la Mungu huyo huyo aliyemvuna JPM,
 
Hakuna taarifa yoyote official kutoka IMF or WB kuonyesha kuwa hatupo tena uchumi wa kati..hata Samia alijirekebisha kwenye interview aliyofanya na Tido kwa kusema kuwa bado tupo uchumi wa kati.
Sawa mkuu,

Sifa huenda kwa mshindi tuu hata kwenye mbio za kupokezana kijiti, yule wa mwisho kufika na kijiti mwisho wa mchezo, sifa huwa zake
 
Rais anaanza kuomba kugawa wanyama kabla hajaombwa.

Sasa ndio tunajua ukubwa wa delegation ya Chief Hangaya; they occupied THREE floors of the Ritz hotel!!! Wabongo mnajua ukubwa na gharama za kukaa RITZ hotel kwa siku kwa chumba? Sasa hapo ni gharama za hotel bado hizo shopping wanazosema wakina Mwigulu walikuwa wanalilia kwenda kufanya!!! Wababa mnaacha kuvaa kaunda suti na wamama kuvaa vitenge to save our forex mnakwenda kupoteza Huko Marekani halafu mnakuja mnalia vijana wenu hawana ajira!! Akili hiyo chief Hangaya mnaijua wenyewe!!

Sifa moja ya Marehemu Magufuli ilikuwa kutokupenda safari za nje na misafara mikubwa kama Samia anavyofanya!! Ingawaje mtasema alikuwa hasafiri kwasababu ya betri yake lakini hata hivyo alikuwa sio mpenda starehe na mtumbuaji wa fedha za wavuja jasho kama ilivyodhihirika kwa Hangaya! Unasafiri na kundi la watu wanachukua floors tatu za FIVE star hotel huo ni utumiaji wa fedha za umma bila uchungu ;huku wanannchi wakilia njaa nyumbani kwenu!! Tafadhali fikiria nchi mara unapoamua ukubwa wa misafara yako utatuua!! Ushauri mwingine wa Vasco Dagama mara akikupa uwe unachanganya na wako!!!
 
Ritz Carlton Bei yake kuanzia USD 1,500 mpaka 2,000 kwa chumba kwa usiku mmoja!!!

Ebu fikiria Floor tatu za Ritz carton ni vyumba vingapi? Na wamekaa muda wa siku ngapi? THE OPPORTINITY COST FALLACY njoo huku utetee safari yenu mlivyoikomba nchi!!
 
Jarida maarufu duniani la 'The New Yorker' lililoasisiwa mwaka 1925 nchini Marekani limeongelea ziara ya Rais Samia Central Park, Marekani. Jarida limemtaja Rais Samia kama Rais wa kwanza mwanamke Tanzania ambae alifika nchini Marekani kuupamba Utalii, kuonana na Kamala Harris na kuhudhuria uzinduzi wa filamu.

Jarida limetaja lengo la ziara ya Rais Samia nchini Marekani ilikuwa kusahihisha taswira iliyokuzwa na mtangulizi wake, hayati John Magufuli(aliyepewa jina la utani la tingatinga) ambae wanadai aliitenga Tanzania na dunia na kuwa alikuwa na mpango wa Covid uliojikita kwenye maombi ya siku tatu, "Ugonjwa wa Corona umeondolewa, asante Mungu". Alifariki miezi tisa baadae, inaonekana asante kwa Covid(Rasmi Serikali ya Tanzania: Ugonjwa wa Moyo), ilisema sehemu ya jarida hilo.

Rais Samia ambae amechanjwa hadharini amefanya ziara ya urafiki Marekani akiitangaza Tanzania imefunguliwa tena kwaajili ya wageni, wawekezaji na sayansi.

Nisimalize yaliyosimuliwa kwenye makala. Zaidi, jisomee....

Mission Creep at the Ritz with the President of Tanzania​


Samia Suluhu Hassan, the country’s first female leader, came to the States to drum up tourism, meeting with Kamala Harris, attending film premières, and offering up some rhinos for Central Park.

View attachment 2226960


MISSION: Her Excellency Samia Suluhu Hassan, the sixth President of the United Republic of Tanzania, and its first female head of state, desires a stroll through Central Park.

OBJECTIVE: To correct certain impressions advanced by Hassan’s predecessor, John Magufuli (nickname: the Bulldozer), who largely closed off Tanzania to the rest of the world and whose COVID strategy centered on three days of national prayer, after which he proclaimed, “The Corona disease has been eliminated thanks to God.” He died nine months later, seemingly thanks to COVID. (Official Tanzanian-government stance: heart problems.) Hassan, who was vaccinated publicly, is on a good-will tour of the United States, declaring Tanzania again open to visitors, investors, and science.

STRATEGY: Meet at Ritz-Carlton. Hassan is incoming from Washington, D.C., where she attended a summit with Kamala Harris. In New York, she will appear at the première of “The Royal Tour,” a PBS program in which Hassan guides the host, Peter Greenberg, around her country for nine days—Zanzibar, Serengeti, Ngorongoro, Kilimanjaro. She hopes to attract American tourists. (Hassan, to Harris: “This is where the lovers and shakers of entertainment and leisure reside.” Harris, to Hassan: “Indeed.”)

Rendezvous at Ritz bar with Greenberg—short beard, jaunty smile—creator of “The Royal Tour,” in 2001. (“Back in the days when the Travel Channel actually did travel. Now they do ghosts.”) Previous tour guides: Netanyahu, King Abdullah II, Paul Kagame. “We turned down Putin,” Greenberg says. “I don’t want to see six-pack abs anymore.”

Smile at prodigious number of Tanzanian diplomats in the travelling party, who occupy three floors of the Ritz. (Greenberg: “Everybody wants to go shopping.”) Do not be alarmed when informed that the weather (chilly) and probability of establishing a security perimeter in the Park (null) have persuaded diplomats to reconsider stroll. Alternatives: A drive through the Park? Vehicles not permitted. A drive around the Park? Wait for motorcade, police escort, and brief halting of pedestrian traffic along Central Park South. Watch men with earpieces hold conversations until one approaches and says, “She’s ready.”

ACTION SUMMARY: Hassan exits elevator, trailing assistants, and wearing blazer and black-and-red hijab. Bearing: dignified, with deadpan joke delivery. Accept President’s offer of fist bump. Walk past armed officers to idling black S.U.V., surrounded by more men with earpieces. Hassan describes past trips to New York. She confirms intel, re: diplomatic visits and shopping. (She has frequented “H&M, Zara, Calvin Klein.”)


S.U.V. heads uptown. Hassan appreciates the varied vegetation and all the people.“We have very few parks for people to have fun,” she says. “Most of them are game reserves and land reserves.” Inform Hassan of New York’s own impressive wild game: the Harlem deer, the Central Park coyote. Hassan, amused, says, “I think we should give you some lions and rhinos and elephants.”

Hassan offers litany of her exploits as Greenberg’s Tanzania tour guide: Animal sightings—her favorite, a leopard; his, a warthog. (“I said, ‘You’re serious?’ They have ugly faces!”) Driving for the first time in twenty years—stick shift! “Ministers are not allowed to drive,” she says. A fishing excursion near Hassan’s home town, a village in Zanzibar called Kizimkazi; they caught wahoo. “A fish like this!” Hassan says, holding her arms out wide. (Greenberg, later, under light interrogation: “Do you want the real story? When you’re the President, things appear on your boat.”)

S.U.V. passes zoo. Presidential reaction: underwhelmed. The Serengeti is bigger. Hassan recounts gruelling filming schedule. “They didn’t treat me as a President,” she says. “I remember a point where I stood in the grasses, and I was fearful of the lions. And another time, with the Maasai, where I nearly fainted. It was dehydration.” She hopes it will pay off—she aims to increase tourism from a million and a half visitors a year to five million.

AFTER-ACTION REPORT: Despite mission creep, objective attained. Presidential Park assessment: “I’m impressed. The Park is big.” Première status: success. President bullish on next screening, in Los Angeles. “I’ll meet my fellow movie stars,” she says. “Peter, who have you invited?”

Greenberg: “I cannot reveal.”

Hassan, shrugging: “Maybe Will Smith.”

SOURCE: The New Yorker
Bro ndio ujumbe uliobeba hapo?
 
Back
Top Bottom