THE NEW YORKER: Rais Samia amefika Marekani kusahihisha taswira iliyoachwa na Magufuli aliyeitenga Tanzania na Dunia. Lairarua ziara ya Royal Tour

Kwani hadi US walitikiswa na Mwendazake?

Hakika huyu angekuwa na pesa tungejitemea bila kujikomba kwa mtu.
Kwani hujui kwamba aliharibu dira ya US hapa Tanzania?

US alitaka kuifanya Tanzania Nchi ya mfano kwenye demokrasia na maendeleo Ili Nchi zingine wajifunze na kuunga mkono siasa na ustaarabu wake..

Sasa mwelekeo wa kipuuzi wa siasa za uhasama za Mwendazake zilihatibu Mchongo..

Tanzania ingekuwa mbali Sana endapo tungeendelea vile,kwa mfano Tulikuwa tunapata dola mil.700 sawa na sh.Til.1.5 za MCC bure kabisa ila kwa miradi yenye tija,hakuna Nchi nyingine ilipata pesa nyingi kuzidi Tanzania..

Tulikuwa tuwe kitovu cha Programu za Power Africa kwa ajili ya Umeme na Program ya Feed the Future kwa ajili ya kufanya kilimo Bora..

On top of that US ilikuwa itufungulie soko la Mazao la AGOA,program za afya kama ya kudhibiti malaria na kifua kikuu.

US walitaka wajenge Mji wa mfano wa kitalii yaani Miami ya Bongo kule Kigamboni wenye facilities zote ikiwemo Command yao ya Jeshi ..

Hiyo ni baadhi tuu ya mifano
 
Unatamani kuwa mtumwa wewe naona.

Mambo ya kijeshi wasilete kabisa. Hatutaki na hatuna haja nayo.

Wapewe Kigamboni Bure? Ni uchizi tun
 
Huyu rais wa ajabu kweli anataka kugawa wanyama bila kuombwa? Alichukua hoteli ya kifahali RITZ ghorofa zote tatu wamekaa na maafisa wake angalia shopping zao Calvin Klein, Zara, HM yaani kutoka Tanzania ya umasikini hadi Tanzania ya utajiri. Akitoka hapo anatembeza bakuli kuomba misaada na kukopa. Hawa wazungu kichwa sana walimuuliza maswali kuhusu magufuli kumpima IQ yake naye akajiingiza kichwa kichwa na majibu ya kukashifu. Wale wazungu wanatamani wapate fuvu la kichwa cha Magufuli ili wakipime kuona akili zake zilikuwa kubwa kiasi gani. Suala la COVID 19 limempaisha sana duniani. Sisi tunao Makatekista wetu kutoka Spain huwa wanakuja kila baada ya miezi mitatu wanasema kwa pongezi kwamba Tanzania ni nchi ya pekee duniani kwa kuchukua maamuzi sahihi juu ya COVID 19.
 

Haha, Calvin Klein, HM sio kwa Marais. Ni vijana wanaenda pale. Zara,Next, M& S ni kidogo vina hadhi.

Marais wanaenda Selfridges, Ritz - Carlton.
 

Kutojiamini.Utupu kichwani. Fikiria huyu SSH afanye makubaliano kuhusu madini yetu, mitakaba yote. Atawapa Loliondo, Bagamoyo nusu ya Tanzania bara.
 
Wazungu wanaheshimu sana ukweli, uhalisia. Wanafundishwa hivyo toka shule ya msingi na pre- school, miaka mitatu. Wanapenda mtu ambaye yuko genuine.
 
Samia anachokifata huko ughaibuni ni kwa ajili ya hao hao wanaotembea matako wazi kwa ajili ya hao hao wanaokunywa maji pamoja na kuku wa kienyeji.

Msafara unaweza kuonekana ni ghali lakini hauwezi kulingana na thamani ya kilichofuatwa huko.
Aseeh nimeshika kichwa
 
US walitaka wajenge Mji wa mfano wa kitalii yaani Miami ya Bongo kule Kigamboni wenye facilities zote ikiwemo Command yao ya Jeshi ...

US wangekujengea "Miami" Kigamboni na Command ya Jeshi Kigamboni wangekwambia kuanzia leo bichi za Kigamboni ussenge ruksa. Ungekubali ??????

Mzungu yuko strategic kwenye kila kitu. Huo mradi wa Umeme wa Power Africa ulikuwa wa bure ? Kwa nini basi Hillary Clinton alipoleta kampuni ya Symbion kwa nini USA hawakumlipa huyo Symbion, tuna li kesi la deni lao mpaka leo, why the hell ???

Unadhani State Department / CIA hawajui kwamba kuna ki nchi maskini huko Africa kinadaiwa billi ya kuunga umeme na kampuni ya Kimarekani? Don't be naive and gullible.
 
Hisia za kijinga tuu hizo,wapi wanafanya hivyo? Wamejenga S.Korea,Japan,Europe,Taiwan nk umewahi sikia huo utopolo wako?
 
Kwani alichokisema huyo Peter Greenberg ni unafiki au ukweli ?....
 
Hivi, ni kwanini hayati JPM, alionekana kuwa tishio?

Kila agenda lazima atajwe. Itabidi kifo chake kichunguzwe
Alikuwa mharifu kama waharifu wengine. Na ilikuwa bahati mbaya Kwa Tanzania kupata kuwa rais Kwa mtu wa aina ile
 
Unatamani kuwa mtumwa wewe naona.

Mambo ya kijeshi wasilete kabisa. Hatutaki na hatuna haja nayo.

Wapewe Kigamboni Bure? Ni uchizi tun
Wewe ni mjinga,taja Nchi yeyote ambayo unajua ni mtumwa wa US? Us imesaidia na inasaidia mambo mangapi hapa Tzn na Duniani kwa ujumla,umeona kuna utumwa?

Kama Zambia na Somalia wameamua kufukuza wale tumbili za Kichina na kumleta US ,mimi ni nani niache kuwa upande wa kubwa la mabeberu Ili nifaidi meme ya Nchi?👇





 
Anazingua
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…