The pain ya kusingiziwa mtoto wanawake acheni huu unyama

The pain ya kusingiziwa mtoto wanawake acheni huu unyama

WAs single mothers needed in this thread, no Way umewaeka kimakosa maana hawahusiani na MADA yako.

Focus na TOPIC ya kusingiziwa mtoto, ishia hapo.

Single mothers hawana uhusiano na chuki za kusingiziwa mtoto.

Labda kama maana ya singo maza haieleweki.
 
Usisahau kuwa mwanamke ambaye ameshakuwa na mbegu nyingi Sana anaweza akazaa mtoto anafanana na x wake .

Fatilia wanawake wengi utagundua wanazaa watoto hawafanani na wanaume zao Ila wanafanana na ma x wao

Wewe unampa mimba kihalali Ila anajifungua mtoto hakufanani anamfanana x wake

Kwahiyo usikatae mimba Ila jitahidi usitembee na mwanamke ambaye kamwagiwa Sana sperms.

Kwakuwa mwili wa mwanamke huwa unatunza gens kwa miaka 10 kwahiyo kuzaa mtoto anafanana na ma x wake hiyo kawaida
 
Back
Top Bottom