The pain ya kusingiziwa mtoto wanawake acheni huu unyama

Usisahau kuwa mwanamke ambaye ameshakuwa na mbegu nyingi Sana anaweza akazaa mtoto anafanana na x wake .

Fatilia wanawake wengi utagundua wanazaa watoto hawafanani na wanaume zao Ila wanafanana na ma x wao

Wewe unampa mimba kihalali Ila anajifungua mtoto hakufanani anamfanana x wake

Kwahiyo usikatae mimba Ila jitahidi usitembee na mwanamke ambaye kamwagiwa Sana sperms.

Kwakuwa mwili wa mwanamke huwa unatunza sperms kwa miaka 10 kwahiyo kuzaa mtoto anafanana na ma x wake hiyo kawaida
Uongo mtupu
 
Nikiwa kama victim wa kusingiziwa mtoto ambaye kwa mazingira asilimia mia moja sio wa kwangu nawaombeni sana dada zetu kuacha huu unyama.

Upuuzi kama huu ndio unafanya watu wanakuwa na hasira na single maza.
Wanawake (na wanaume pia) wote wanapaswa kuwa waaminifu na kuepuka kutumia watoto kama chombo cha kisasi au maslahi binafsi. Ukweli na haki vinapaswa kuwa msingi wa mahusiano na familia.
 
Usisahau kuwa mwanamke ambaye ameshakuwa na mbegu nyingi Sana anaweza akazaa mtoto anafanana na x wake .

Fatilia wanawake wengi utagundua wanazaa watoto hawafanani na wanaume zao Ila wanafanana na ma x wao

Wewe unampa mimba kihalali Ila anajifungua mtoto hakufanani anamfanana x wake

Kwahiyo usikatae mimba Ila jitahidi usitembee na mwanamke ambaye kamwagiwa Sana sperms.

Kwakuwa mwili wa mwanamke huwa unatunza sperms kwa miaka 10 kwahiyo kuzaa mtoto anafanana na ma x wake hiyo kawaida
Hii sayansi ya wapi mkuu?
 
Hii ipo kisayansi mkuu?
 
Hii bailojia ya kizimkazi itakuwa.
 
Sio Kweli
 
Unaongea upuuzi ambao hauthibitiki kisayansi mkuu
 
Pima DNA tu unaweza ukapona.
"If woman tell you say ‘na only you’, check your wallet."
 
Back
Top Bottom