Keyser Söze
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 479
- 716
Mzazi wako bora angepeleka ng'ombe shule. 🚮Usisahau kuwa mwanamke ambaye ameshakuwa na mbegu nyingi Sana anaweza akazaa mtoto anafanana na x wake .
Fatilia wanawake wengi utagundua wanazaa watoto hawafanani na wanaume zao Ila wanafanana na ma x wao
Wewe unampa mimba kihalali Ila anajifungua mtoto hakufanani anamfanana x wake
Kwahiyo usikatae mimba Ila jitahidi usitembee na mwanamke ambaye kamwagiwa Sana sperms.
Kwakuwa mwili wa mwanamke huwa unatunza gens kwa miaka 10 kwahiyo kuzaa mtoto anafanana na ma x wake hiyo kawaida