The pain ya kusingiziwa mtoto wanawake acheni huu unyama

Usisahau kuwa mwanamke ambaye ameshakuwa na mbegu nyingi Sana anaweza akazaa mtoto anafanana na x wake .

Fatilia wanawake wengi utagundua wanazaa watoto hawafanani na wanaume zao Ila wanafanana na ma x wao

Wewe unampa mimba kihalali Ila anajifungua mtoto hakufanani anamfanana x wake

Kwahiyo usikatae mimba Ila jitahidi usitembee na mwanamke ambaye kamwagiwa Sana sperms.

Kwakuwa mwili wa mwanamke huwa unatunza gens kwa miaka 10 kwahiyo kuzaa mtoto anafanana na ma x wake hiyo kawaida
Uongo 100%
 
Kazi ipo
 
HICHO CHEO CHA UDAKTARI WAKUNYANG'ANYE
 
HICHO CHEO CHA UDAKTARI WAKUNYANG'ANYE
Science is not absolute huwa ina varies .

Watu hamsomi
Haamfanyi research

Ni mambo mangapi science ilikataza in past Ila science ile ile imeona yanafaa .

Jaribuni kusoma Sana msusibiri kila kitu waleletee wazungu .

Soma fanya research

Hiyo research IPO tried , proven and certified.

Ila kwakuwa inagusa maslahi ya ndoa na mahusiano generally hauwezi kuiona ikiwa inasambaa .
 
Back
Top Bottom