BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Single mother ni yule unayemkuta na mtoto na wewe unamuoa, atakusingiziaje mtoto?Nikiwa kama victim wa kusingiziwa mtoto ambaye kwa mazingira asilimia mia moja sio wa kwangu nawaombeni sana dada zetu kuacha huu unyama.
Upuuzi kama huu ndio unafanya watu wanakuwa na hasira na single maza.
upoUko wapi?
Yeah.
Unataka umpatie mtoto wa halali??š¤£Uko wapi?
nimekumis sana nlkuha Dar nkaogopa kukutafta nkahis we mke wa mtuYeah.
Wacha tulee tuu mkuu,Labda hata sisi walisingiziwa madingi wa watu!Nikiwa kama victim wa kusingiziwa mtoto ambaye kwa mazingira asilimia mia moja sio wa kwangu nawaombeni sana dada zetu kuacha huu unyama.
Upuuzi kama huu ndio unafanya watu wanakuwa na hasira na single maza.
sema siyo poa, mwenyewe hadi ukajiita Baba Morgan kumbe anakuchora tuNikiwa kama victim wa kusingiziwa mtoto ambaye kwa mazingira asilimia mia moja sio wa kwangu nawaombeni sana dada zetu kuacha huu unyama.
Upuuzi kama huu ndio unafanya watu wanakuwa na hasira na single maza.
Aseme alipo nimfatešUnataka umpatie mtoto wa halali??š¤£
Sasa umekua.nimekumis sana nlkuha Dar nkaogopa kukutafta nkahis we mke wa mtu
Pole sana MkuuNikiwa kama victim wa kusingiziwa mtoto ambaye kwa mazingira asilimia mia moja sio wa kwangu nawaombeni sana dada zetu kuacha huu unyama.
Upuuzi kama huu ndio unafanya watu wanakuwa na hasira na single maza.
Mimi pia nimesingiziwa, tena sio mmojaš¤£.Aseme alipo nimfateš
nlkua sijakua kumbeSasa umekua.
Wewe itabidi unifuatešMimi pia nimesingiziwa, tena sio mmojaš¤£.
Niseme nilipo?
Huenda.nlkua sijakua kumbe