proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
Uongo mtupuUsisahau kuwa mwanamke ambaye ameshakuwa na mbegu nyingi Sana anaweza akazaa mtoto anafanana na x wake .
Fatilia wanawake wengi utagundua wanazaa watoto hawafanani na wanaume zao Ila wanafanana na ma x wao
Wewe unampa mimba kihalali Ila anajifungua mtoto hakufanani anamfanana x wake
Kwahiyo usikatae mimba Ila jitahidi usitembee na mwanamke ambaye kamwagiwa Sana sperms.
Kwakuwa mwili wa mwanamke huwa unatunza sperms kwa miaka 10 kwahiyo kuzaa mtoto anafanana na ma x wake hiyo kawaida
Wanawake (na wanaume pia) wote wanapaswa kuwa waaminifu na kuepuka kutumia watoto kama chombo cha kisasi au maslahi binafsi. Ukweli na haki vinapaswa kuwa msingi wa mahusiano na familia.Nikiwa kama victim wa kusingiziwa mtoto ambaye kwa mazingira asilimia mia moja sio wa kwangu nawaombeni sana dada zetu kuacha huu unyama.
Upuuzi kama huu ndio unafanya watu wanakuwa na hasira na single maza.
Acha kunileta bas ww sio mke wa mtuHuenda.
Inabidi uzoee tu rafikikakona kengine kakutusimanga single mazaz 😢mtuache
Hii sayansi ya wapi mkuu?Usisahau kuwa mwanamke ambaye ameshakuwa na mbegu nyingi Sana anaweza akazaa mtoto anafanana na x wake .
Fatilia wanawake wengi utagundua wanazaa watoto hawafanani na wanaume zao Ila wanafanana na ma x wao
Wewe unampa mimba kihalali Ila anajifungua mtoto hakufanani anamfanana x wake
Kwahiyo usikatae mimba Ila jitahidi usitembee na mwanamke ambaye kamwagiwa Sana sperms.
Kwakuwa mwili wa mwanamke huwa unatunza sperms kwa miaka 10 kwahiyo kuzaa mtoto anafanana na ma x wake hiyo kawaida
Endelea kubishi science IPO mbali Sana endelea Kutosoma na kufanya tafitiUongo mtupu
Hii ipo kisayansi mkuu?Usisahau kuwa mwanamke ambaye ameshakuwa na mbegu nyingi Sana anaweza akazaa mtoto anafanana na x wake .
Fatilia wanawake wengi utagundua wanazaa watoto hawafanani na wanaume zao Ila wanafanana na ma x wao
Wewe unampa mimba kihalali Ila anajifungua mtoto hakufanani anamfanana x wake
Kwahiyo usikatae mimba Ila jitahidi usitembee na mwanamke ambaye kamwagiwa Sana sperms.
Kwakuwa mwili wa mwanamke huwa unatunza sperms kwa miaka 10 kwahiyo kuzaa mtoto anafanana na ma x wake hiyo kawaida
Unataka umfanye nini mtoto wa watuUko wapi?
Hiyo ni science na science is not absolute kwahiyo tuendelee kufanya researchHii ipo kisayansi mkuu?
Hii bailojia ya kizimkazi itakuwa.Usisahau kuwa mwanamke ambaye ameshakuwa na mbegu nyingi Sana anaweza akazaa mtoto anafanana na x wake .
Fatilia wanawake wengi utagundua wanazaa watoto hawafanani na wanaume zao Ila wanafanana na ma x wao
Wewe unampa mimba kihalali Ila anajifungua mtoto hakufanani anamfanana x wake
Kwahiyo usikatae mimba Ila jitahidi usitembee na mwanamke ambaye kamwagiwa Sana sperms.
Kwakuwa mwili wa mwanamke huwa unatunza sperms kwa miaka 10 kwahiyo kuzaa mtoto anafanana na ma x wake hiyo kawaida
Kuna habari gani??Uko wapi?
Usisahau kuwa mwanamke ambaye ameshakuwa na mbegu nyingi Sana anaweza akazaa mtoto anafanana na x wake .
Fatilia wanawake wengi utagundua wanazaa watoto hawafanani na wanaume zao Ila wanafanana na ma x wao
Wewe unampa mimba kihalali Ila anajifungua mtoto hakufanani anamfanana x wake
Kwahiyo usikatae mimba Ila jitahidi usitembee na mwanamke ambaye kamwagiwa Sana sperms.
Kwakuwa mwili wa mwanamke huwa unatunza sperms kwa miaka 10 kwahiyo kuzaa mtoto anafanana na ma x wake hiyo kawaida
Unaongea upuuzi ambao hauthibitiki kisayansi mkuuUsisahau kuwa mwanamke ambaye ameshakuwa na mbegu nyingi Sana anaweza akazaa mtoto anafanana na x wake .
Fatilia wanawake wengi utagundua wanazaa watoto hawafanani na wanaume zao Ila wanafanana na ma x wao
Wewe unampa mimba kihalali Ila anajifungua mtoto hakufanani anamfanana x wake
Kwahiyo usikatae mimba Ila jitahidi usitembee na mwanamke ambaye kamwagiwa Sana sperms.
Kwakuwa mwili wa mwanamke huwa unatunza sperms kwa miaka 10 kwahiyo kuzaa mtoto anafanana na ma x wake hiyo kawaida
Ngoja nisome energy transmutation kwanza DR HAYA LAND na hiyo nitaipia naomba referenceEndelea kubishi science IPO mbali Sana endelea Kutosoma na kufanya tafiti
Jinzi za mwanaume hukaa kwa mwanamke almost ten years .
Science is not absolute msiposoma na kufanya tafiti mtaachwa na duniaHii bailojia ya kizimkazi itakuwa.
Hii bailojia ya kizimkazi itakuwa.
Hii ndo shida yetu wabongo hatupendi kusomaUnaongea upuuzi ambao hauthibitiki kisayansi mkuu
Jibu swali.Kuna habari gani??
Aseme alipo kwanzaUnataka umfanye nini mtoto wa watu