WAs single mothers needed in this thread, no Way umewaeka kimakosa maana hawahusiani na MADA yako.
Focus na TOPIC ya kusingiziwa mtoto, ishia hapo.
Single mothers hawana uhusiano na chuki za kusingiziwa mtoto.
Labda kama maana ya singo maza haieleweki.