The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi


Hata wale mnaoshabikia hawa wauaji wa NATO ipo siku mtalia actually wengi wa Watanzania tuna hali ngumu sana za maisha..Libya ilikua nchi nzuri iliyotulia ikitoa huduma nyingi bure kwa watu wake..hata pamoja na kupigana na wazungu kwa miezi hiyo yote bado hata Dinar ina nguvu sana...naamini hawa wavamizi wataondoka siku moja Afrika imevurugwa sana na hawa mbwa tangu enzi na enzi...

Viongozi wengi wa kiafrika wameuwawa nani asiejua nani alimuua Lumumba,Samora? nani alimwita Mandela Gaidi?!! nani asiejua nyie mnajifanya mnashadadia haya mazungu yanayoua watu wetu Libya!! wakitoka pale mnajua wataelekea wapi?!! what if wakaja hapa na wakaua baba ama mama yako will u say the say words?!!
 
Gaddafi audio just played on the State TV. He says Tripoli will burn. He is calling out people to come out and fight the "rats". Very short message with some pretty stuff.
 

Hapo kwenye red, you better be specific. Kwenye hiyo post yangu uliyoquote wapi nimeshabikia mauaji ya NATO? Acha kupandikisha ushabiki kwenye maandishi ya watu. Mkuu badala ya kupandikiza ushabiki kwenye posts za watu kwa kugeneralise put your argument forward.
 
Posted: 2011/08/21

[TD="colspan: 3"][h=1] Eyewitnesses dismiss rebel advances on Tripoli as misinformation [/h][/TD]

Mkuu hapo ndio nashindwa kuelewa kabisa wakati audio ya Gadaffi imepigwa kwenye Libya TV dakika chache zilizopita akiwaomba the people in Tripoli to come out and fight against the "rats" in the streets of Tripoli. Ina maana hata Gadaffi anatudanganya sasa kumbe rebels bado hawajafika Tripoli?
 
The gap between efforts and coverage on Tripoli vs efforts and coverage on Mogadishu, is what we can call the concerns of this generation....
 
Hizi biased reporting msiziamini sana, subirini tuu matokeo. Kinachofanywa na Nato, Osama ni afadhali and they'll pay dearly!.
 
The gap between efforts and coverage on Tripoli vs efforts and coverage on Mogadishu, is what we can call the concerns of this generation....

You can sing a lot but still Gaddafi is one of the problem in Africa
 
Mkuu mie siwalaumu sana viongozi. Nitawalaumu zaidi wananchi ambao ndio wanaoweka hao viongozi madarakani.

Mkuu ukishakuwa kiongozi hata kama wananchiwalianya makosa kukuchanguanenokiongozilina maanayake. hata kama iongozia ana mtindiwa ubongo au yukomahututi bado kuna neno Kiongozi lina maana yake.

Nadhani na vyuo vyote fani zote kuna somo la management na leadership linafundishwa at some point. Wajibu, majukumu, madaraka delegation style, Aina za viongozi faida na hasara.

Sasa ukisemawa kuwalaumu ni wananchi hapo nakataaaaaaa kabisa na naona unakataka kuliundermine neno Uongozi na Kiongozi. Do u mean wananchi wewe Mbele kiongozi awe nyuma?????!!!!!

Tena huku kwenye nchi zetu ambazo hatuna insitution zenye nguvu na na structure za Utendaji nzuri Tunahitaji Viongozi ndio wawe on top of things
 
Siondoki mpaka kieleweke na sasa Tripoli italipuka moto, Gaddafi asema!

Gaddafi says will stay in Tripoli "until the end"
Reuters 11:56 a.m. CDT, August 21, 2011

TUNIS (Reuters) - Libyan leader Muammar Gaddafi said Sunday he will stay in Tripoli "until the end" and called on his supporters around the country to help liberate the capital from a rebel offensive.

He said in an audio message played over state television he was "afraid that Tripoli will burn" and he said he would provide weapons to supporters to fight off the rebels.

(Writing by Richard Valdmanis)
 
Hata vita ya propaganda hawa maadui wa Libya vimewashinda.Vyenginevyo wamechanganyikiwa.

Jeshi gani hili la waasi lenye askari watatu.Angalia huyo jamaa mwenye bunduki hapo mbele kutoka CNN



Hapo chini kutoka BBC kachuchumaa na bunduki yake akiwa na shati la bluu.Hivi kweli hawa rebels watatu wataweza kuishika Tripoli?.


 

Source please??
 
Hii ni propaganda tu kuwa wanaingia Tripoli. Ukweli ni kwamba Tripoli si kama Baghdad. Libya kuna ukabila na Tripoli pamoja na viunga vyake ndio kabila la Ghadafi. NATO wanacjhofanya ni maigizo ili ionekane kuwa Ghadafi fall is immnent. Ukweli ni kwamba ili kuteka Tripoli ni lazima kupata askari wenye ari na vifaa vya kisasa na kupigana vita vikali ya ardhini ambayo si chini ya wiki mbili. Hawawezi kuichukua Tripoi kiulaini hivyo,kila siku tutasikia bado 30 km lakini bado tu...
 
Mods, naona sasa threads za Libya zinakuwa nyingi na kuharibu Uhondo. Naomba mzi merge hizo sub threads zote ktk ile thread yetu mama (Libyan Crisis and Ghadafi Options) toka hii kadhia ya Libya ilipoanza. Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…