Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Anatuhuma za kuchoma masoko ya kigogo nadhani anatafuta mwamvuliNjaa imekuwa kali zaidi, imepanda mpaka kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatuhuma za kuchoma masoko ya kigogo nadhani anatafuta mwamvuliNjaa imekuwa kali zaidi, imepanda mpaka kichwani
Kama hii ni kweli Mchungaji yuko njiani kuondoka Chadema. Sio kwa sababu ametofautiana nao bali kwa kuingiza majina ya wakina Lissu, kuanza kuzungumzia kuitwa kwenye kamati ya maadili na kufukuzwa uanachama. Hii ni dalili ya mtu kutafuta kufukuzwa ili aonekane shahidi. Nadhani Chadema hawatamjibu, kitu ambacho kitazidi kumkasirisha na kumfanya azidi kutoa matamshi ya kujionyesha kuwa yeye ni tofauti na chama chake. Hafukuzwi ila uchaguzi ujao watamSumaye.Msigwa awatolea uvivu Chadema, amempongeza Rais Kwa Royal tour na kwamba yuko tayari kuitwa kamati kuu.👇
View attachment 2204847
View attachment 2204848
View attachment 2204849
View attachment 2204850
SSH hafanyi biashara haramu ya kununua chadema ,afanye hivyo Ili imsaidie nini?Kuna mambo mawili kwa Msigwa.
Moja huenda amefika bei maana njaa haina baunsa.
Mbili kasoma alama za nyakati kaona Twaha Mwaipaya anakubalika zaidi hivyo uhakika wa kupitishwa na Chadema 2025 haupo.
Kosoa palipo na ulazima
Ila siyo kupinga kila kitu
Kama hii ni kweli Mchungaji yuko njiani kuondoka Chadema. Sio kwa sababu ametofautiana nao bali kwa kuingiza majina ya wakina Lissu, kuanza kuzungumzia kuitwa kwenye kamati ya maadili na kufukuzwa uanachama. Hii ni dalili ya mtu kutafuta kufukuzwa ili aonekane shahidi. Nadhani Chadema hawatamjibu, kitu ambacho kitazidi kumkasirisha na kumfanya azidi kutoa matamshi ya kujionyesha kuwa yeye ni tofauti na chama chake. Hafukuzwi ila uchaguzi ujao watamSumaye.
Amandla...
..nimesikiliza maongezi ya Peter Msigwa amekuwa balanced ktk analysis yake kuhusu Royal Tour.
..Na ameulizwa kuhusu hoja ya Lissu kuhoji mapato ya mauzo ya Royal Tour.
..Msigwa amesema anakubaliana na hoja ya Lissu kwasababu imelenga kui-task serikali.
..lakini ameongeza kwamba hawezi ku-conclude kwamba kuna ufisadi kwasababu serikali bado haijatoa majibu.
..sikiliza hapa dakika ya 10:29 alipoulizwa swali specific.
Ishu yangu haikuwa na hoja yake kwa sababu kwangu mimi haki ya kutofautiana kimawazo ni sacrosant. Shida yangu ni yale maneno ya ziada ambayo walisema amesema. Sikuona sababu ya kusema kuwa alimpigia Lissu lakini hakupokea. Sioni sababu ya kusema upinzani hauna maana kupinga kila kitu ( hii ni insinuation kuwa msimamo wa chama chake ni kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali. Kitu ambacho si kweli. K.m. Kuna viongozi wenzake walipongeza ujenzi wa SGR. Yeye mwenyewe aliwahi kumsifia JPM bila Chama kumsema hadharani).
Hapakuwa na haja ya kuzungumzia kuitwa kwenye Kamati ya Maadili ( again ni insinuation aliishawahi kuitwa kwa kutofautiana na viongozi wenzake) na mwisho kabisa kuzungumzia kufukuzwa uanachama ( maneno kama haya walisema wakina Sikinde kabla ya kuhamia upande wa pili). Kwangu mimi yote haya hayakuwa na haja. Unless kama anatayarisha njia ya kuondoka Chadema.
Lakini nilionyesha kuwa na wasiwasi wa authenticity ya hizi quotes za Msigwa. Nilihofia kuwa isiwe kuwa kuna watu wana twist maneno yake kwa nia ya kuleta mpasuko katika chama chake. Ni approach nzuri sana maana mashabiki wa Chadema ni wepesi mno kuvista mtu joho la usaliti.
I hope atakaa na kuliweka sawa hili jambo.
Amandla...
Hana lolote hajalidhika na maamuzi ya chama dhidi ya mwenyekiti wa chama mkoa wa mbeya ivo anataka kujiudhuru ili ajiunge na nyinyiemuAliyekuwa mbunge wa Iringa mjini kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kazi uzuri na ubunifu wa Filamu maarufu ya kitalii ya THE ROYAL TOUR.
Kiongozi huyo wa CHADEMA wa nyanda za juu kusini amesema kuwa inawezekana labda kuna mapungufu madogomadogo lakini kimsingi kazi aliyoifanya Rais Samia Suluhu Hassani ni ya KIZALENDO na inahitaji kuungwa mkono na watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa kwa kuwa hata yeye mara kadhaa akiwa bungeni mara kadhaa ameshauri kutumika kwa nguvu ya ziada kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii.
Filamu ya The ROYAL TOUR ni filamu ya kihistoria inayoelezea kuhusu vivutio mbalimbali vya utalii vya Tanzania ambayo iliandaliwa na muandaaji Maarufu wa filamu PETER JOHN GREENBERG kutoka nchini Marekani.
Filamu hiyo mpaka sasa imezinduliwa ktk majiji makubwa matatu.. Jiji la LOS ANGELS na NEW YORK USA, Pamoja na jiji la kitalii ARUSHA, TANZANIA.
Filamu hiyo maarufu ya kitalii inatarajiwa kuzinduliwa ktk mji wa kihistoria wa Zanzibar na jiji kubwa la kibiashara DAR ES SALAAM.
ROYAL TOUR inatarajiwa kuleta matokeo makubwa ktk sekta ya utalii nchini Tanzania na kuongeza mapato yatokanayo na utalii.
Filamu ya The Royal Tour inapatikana ktk mtandao maarufu wa amazon.com na inatarajiwa kuoneshwa ktk vituo lukuki vya television duniani.
Hongera Mchungaji Peter Msigwa kwa kuweza kuchuja pumba na mchele na kutambua kuwa kuna tofauti kati ya itikadi za kisiasa linapokuja suala la ujenzi wa nchi yetu japo tegemea kushambuliwa na wafuasi mbalimbali wa upinzani kwa kuwa sera za chama chako haziamini ktk kupongeza jambo zuri linapofanywa na serikali lakini umeonesha ukomavu wa kisiasa...
MAMA SAMIA IMARA; KAZI IENDELEE[emoji112][emoji1241]
View attachment 2204628
View attachment 2204835
View attachment 2204836
View attachment 2204837
View attachment 2204838
Kosoa palipo na ulazima
Ila siyo kupinga kila kitu