FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,421
Sasa vitanishukaje na wakati mi ndiye baba wa mtoto?Mungi, Arushaone, Nicas Mtei , nitonye na genge lenu la wakware kina Erickb52 najua vimewashuka,habari ndo hiyo super bishanga na uzee wangu shoka moja mbuyu chini.
Tulieni niacheni mimi na mzazi tupumzike,it has been a long labour.
King'asti, Mamndenyi, Chocs na Rich woman ahsanteni kwa salam zenu za upendo Mungu awabariki.............btw katika kipindi hiki cha mai waif kunyonyesha mnanisaidiaje?
Kopi: Madame B ( kan yu help?).........ngariba gfsonwin kaa mbali na binti yangu.
Hongera The secretaryni kwa neema ya Mungu amenipa uzima na afya tele katika kipindi chote cha ujauzito Asante Mungu wa majeshi nashukuru kwani wengine wameweza na wengine hawakuweza lakini mimi bwana amenipa uwezo jina lake lihimidiwe namwomba atuongoze kwani safari tuliyo nayo ni ndefu sana.cc: Karucee asante kwa maombi yako.
HahahaaaaaaaLea kwanza mtoto utambemenda
Congrats The secretary
Umlee bby girl katika njia ifaayo........be blessed.
ni kwa neema ya Mungu amenipa uzima na afya tele katika kipindi chote cha ujauzito Asante Mungu wa majeshi nashukuru kwani wengine wameweza na wengine hawakuweza lakini mimi bwana amenipa uwezo jina lake lihimidiwe namwomba atuongoze kwani safari tuliyo nayo ni ndefu sana.cc: Karucee asante kwa maombi yako.
Acha kumuita sweetlady wee Nicas Mtei...staki hata kusikia jina lake. I hate her.
Mungi, Arushaone, Nicas Mtei , nitonye na genge lenu la wakware kina Erickb52 najua vimewashuka,habari ndo hiyo super bishanga na uzee wangu shoka moja mbuyu chini.
Tulieni niacheni mimi na mzazi tupumzike,it has been a long labour.
King'asti, Mamndenyi, Chocs na Rich woman ahsanteni kwa salam zenu za upendo Mungu awabariki.............btw katika kipindi hiki cha mai waif kunyonyesha mnanisaidiaje?
Kopi: Madame B ( kan yu help?).........ngariba gfsonwin kaa mbali na binti yangu.
Nashangaa hujaniletea copy wakati nilikuwa kwenye maombi na Karucee siku zote..... Btw hongera sana mpendwa Mungu azidi kukusimamia !
Nicas Mtei mkwe huyo...... Fanya tupeleke ndizi na nyama kwaajili ya supu ili mkwe anyonyeshwe vizuri
Hivi ni nani baba wa mtoto hapa naona unataka kuleta mgogoroNashangaa hujaniletea copy wakati nilikuwa kwenye maombi na Karucee siku zote..... Btw hongera sana mpendwa Mungu azidi kukusimamia !