Get well soon.
oyaaaaa Gaspery Lasway. Huyo ni booked tayari. Umeshachelewa.Hongera mama,naweza kuweka booking kuanzia sasa mpaka atakapokua?
Hivi ni nani baba wa mtoto hapa naona unataka kuleta mgogoro
Hahahaha unalo Arushaone tena limekuganda..... Nimekuja sasa meza chupa!
Afu kwa taarifa yako nishapendwa na Nicas Mtei inatosha sana wala sihitaji kupendwa tena!
Umemwona nitonye anavyohangaika?......
oyaaaaa Gaspery Lasway. Huyo ni booked tayari. Umeshachelewa.
hahahahah lol sweetlady.Ni kweli ameshabukiwa na Mr & Mrs Nicas Mtei ..... Karucee wewe pia kaa mbali
Mungi, Arushaone, Nicas Mtei , nitonye na genge lenu la wakware kina Erickb52 najua vimewashuka,habari ndo hiyo super bishanga na uzee wangu shoka moja mbuyu chini.
Tulieni niacheni mimi na mzazi tupumzike,it has been a long labour.
King'asti, Mamndenyi, Chocs na Rich woman ahsanteni kwa salam zenu za upendo Mungu awabariki.............btw katika kipindi hiki cha mai waif kunyonyesha mnanisaidiaje?
Kopi: Madame B ( kan yu help?).........ngariba gfsonwin kaa mbali na binti yangu.
hahahahah lol sweetlady.
Unajua wachumba wamekuwa very expensive? Huyo ni wangu hutomuweza. Wewe na Baba Joel Nicas Mtei tupisheni
Achana na hao watoto wa mamushka na chama lao la wagane naona Mungi na Nicas Mtei wamejiunga bado chama la wajane litakaloongozwa na Mamndenyi a.k.a mamushka