The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

nawe mbona m'babe sana kwa vidume hivyoo.......nahisi siku moja utanibadilikia babe...utanidundajeeeee?!?!? eti babe sosoliso???

ha ha ha.. lazima niwatishe hawa babe Paloma.. wanapenda sana kusololea wake za watu.. wewe babe hata kukugusa unywele kwa shari ciwezi.. furaha yangu mwenyewe mie..
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana best kwa kutuletea kiumbe duniani umempata leo au lini? sijakuelewa na anafafanaje au ndo kama hawa hapa chini maana huyu nilifundisha kuvaa miwani sasa imekuwa kosa au anafanana na huyu mlete home kwangu nimtoboe pua avae kipini mapema kabla haajanza kunyonya na masikio kwani mm ni mtaalamu wa masuala hayo.
 
Inakuaje Bishanga ana LIKE hongera yangu hapa? au kuna namna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…