Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unayo kwenye HD au flash nikutafuteBaadhi ya wadau walisifia Sana serial ya money heist nikaona isiwe taabu Acha niitafute nione kama hiyo ladha yake itafanana na prison break na 24 lakini cha ajabu humo ndani ilijaa ujinga mwingi na utoto nikaja na Uzi wangu juu ya hiyo movie ya kifala.
Nimeangalia serial nyingi Ila bado Ile ladha ambayo IPO kwenye series zangu pendwa(24 na PB) sikuwahi kupata, nashukuru weekend hii Kwa mara ya Kwanza baada ya miaka 13 iliyopita Jana nimekutana na hii CHOMBO kinaitwa THE TERMINAL LIST hakika hii series ni Tamu balaa ni zaidi ya burudani ndani ya Moyo.
Mara baada ya kupata trauma/ mental disorder iliyosababishwa na vita mbaya akiwa mashariki ya Kati hatimae ananusurika na kurudi salama ingawa Akili yake ineyumba anapata janga lingine la kupoteza familia yake yaani MKE wake na mtoto wake wa kike hapa ndipo Hali yake unazidi kuwa ngumu.. kwbb jamaa alikuwa hajui sababu iliyopelekea kupoteza familia yake wala washikaji zake pia hawajui sababu ya jamaa kupata majanga hapa ndipo utamu WA hii movie unapoanzia.
Sterling wa hii movie JAMES REECE comandoo aliyeiva na kukamilika kila idara anajua kucheza na bunduki huku akitumia mbinu zenye Akili kujua undani WA maisha yake kuwa hatarani ndipo anakuja kugundua shida ilianzia kipindi yupo vitani baada ya kukwanisha dili ambalo wapo viongozi wa serikali,wafanyabiashara wakubwa na CIA. Akili inayotumika kulipa kisasi Kwa hawa watu wazito wenye ulinzi wa kila Aina tena wakitumia nguvu ya jeshi la POLISI,wanajeshi na majambazi kuzima hii scandal isivuje panahitajika nguvu ya watu wengi Sana lkn jamaa anapiga kazi mwenyewe na analipa kisasi mmoja baada ya mwingine.
JAMES REECE anasimamisha nchi FBI na CIA hawalali wakimtafuta huku na yeye pia akiwatafuta wabaya wake ambao wanataka kumwangushia jumba bovu juu ya kashfa za kuliingiza jeshi kwenye biashara ya magendo, Kwa kadiri anavyotafuta ukweli ndipo idadi ya watu waliohusika wanazidi kugundulika yaani Kwa kifupi movie imebalance kwenye CRIME, MYSTERY,WAR na SPYING huku kote James Reece amafiti....
HII NI SERIES YA KIUME KWELIKWELI HUMO NDANI HAKUNA UJINGA WA MAPENZI ZAIDI YA KAZI TU
Duuuh, nitaipata wapi mkuu, nipe link ambayo haitumii Mb nyingi kudownload
todaytvseries.one
IPO kwenye flash mkuuMkuu unayo kwenye HD au flash nikutafute
Hizo ni series mkuu, kama bado hujazianza basi una bahati sana[emoji28]
Stranger Things ina Season 4
The Boys ina Season 3
Ubarikiwe mkuuBonyeza how to download utapewa video ya namna ya kupakua![]()
The Terminal List Complete S01 480p & 720p WEBRip x264 - TodayTvSeries
Download The Terminal List (Complete) 480p, 720p & 1080p WEB-DL- TodayTvSeries Navy SEAL Commander James Reece turns to vengeance as he investigates the mysterious forces behind the murder of his entire platoon. Free from thetodaytvseries.one
Yes, kwa kiasi chake.... Imeanza toka wale madogo wakiwa wadogo, mpaka kufika season 4 wameshabalehe na ni wapenzi kabisa..Hivo stranger things ni nzuri?niliona season 1 tu
Naona unazidi kunipandisha genye😂Hii series ni kali nyie uivi watatoa season 2?
Nitaifatilia aiseeYes, kwa kiasi chake.... Imeanza toka wale madogo wakiwa wadogo, mpaka kufika season 4 wameshabalehe na ni wapenzi kabisa..
Zerozerozero muitafute kwa ambao hamjaiona , I hope watatoa season 2. Hiyo series ni balaa.
Acha kabisa mwamba kauwa dizan ya John wickSierra kama Sierra[emoji851]
Mambo ya The Grayman haya..
Acha kabisa mwamba kauwa dizan ya John wick
Hizo ni series mkuu, kama bado hujazianza basi una bahati sana[emoji28]
Stranger Things ina Season 4
The Boys ina Season 3