Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mpaka leo series ya maana kwangu ni SQUID_GAME hizi nyingine naonaga majanga tuBaadhi ya wadau walisifia Sana serial ya money heist nikaona isiwe taabu Acha niitafute nione kama hiyo ladha yake itafanana na prison break na 24 lakini cha ajabu humo ndani ilijaa ujinga mwingi na utoto nikaja na Uzi wangu juu ya hiyo movie ya kifala.
Nimeangalia serial nyingi Ila bado Ile ladha ambayo IPO kwenye series zangu pendwa(24 na PB) sikuwahi kupata, nashukuru weekend hii Kwa mara ya Kwanza baada ya miaka 13 iliyopita Jana nimekutana na hii CHOMBO kinaitwa THE TERMINAL LIST hakika hii series ni Tamu balaa ni zaidi ya burudani ndani ya Moyo.
Mara baada ya kupata trauma/ mental disorder iliyosababishwa na vita mbaya akiwa mashariki ya Kati hatimae ananusurika na kurudi salama ingawa Akili yake ineyumba anapata janga lingine la kupoteza familia yake yaani MKE wake na mtoto wake wa kike hapa ndipo Hali yake unazidi kuwa ngumu.. kwbb jamaa alikuwa hajui sababu iliyopelekea kupoteza familia yake wala washikaji zake pia hawajui sababu ya jamaa kupata majanga hapa ndipo utamu WA hii movie unapoanzia.
Sterling wa hii movie JAMES REECE comandoo aliyeiva na kukamilika kila idara anajua kucheza na bunduki huku akitumia mbinu zenye Akili kujua undani WA maisha yake kuwa hatarani ndipo anakuja kugundua shida ilianzia kipindi yupo vitani baada ya kukwanisha dili ambalo wapo viongozi wa serikali,wafanyabiashara wakubwa na CIA. Akili inayotumika kulipa kisasi Kwa hawa watu wazito wenye ulinzi wa kila Aina tena wakitumia nguvu ya jeshi la POLISI,wanajeshi na majambazi kuzima hii scandal isivuje panahitajika nguvu ya watu wengi Sana lkn jamaa anapiga kazi mwenyewe na analipa kisasi mmoja baada ya mwingine.
JAMES REECE anasimamisha nchi FBI na CIA hawalali wakimtafuta huku na yeye pia akiwatafuta wabaya wake ambao wanataka kumwangushia jumba bovu juu ya kashfa za kuliingiza jeshi kwenye biashara ya magendo, Kwa kadiri anavyotafuta ukweli ndipo idadi ya watu waliohusika wanazidi kugundulika yaani Kwa kifupi movie imebalance kwenye CRIME, MYSTERY,WAR na SPYING huku kote James Reece amafiti....
HII NI SERIES YA KIUME KWELIKWELI HUMO NDANI HAKUNA UJINGA WA MAPENZI ZAIDI YA KAZI TU
Tuko pamoja,Bado sijaona uzur wa hiyo series
Huwa ndivyo tulivyo binadamu kila mmoja ana mtazamo wake katika kupenda kitu fulaniMi mpaka leo series ya maana kwangu ni SQUID_GAME hizi nyingine naonaga majanga tu
Mara nyingi series za miaka hii huwa hazina mwendelezo sijui shida inakuwa wapiGangs of London iliishia wapi mazee?
Nadhani Zinakua na rates ndogo kutoka kwa watazamaji.Mara nyingi series za miaka hii huwa hazina mwendelezo sijui shida inakuwa wapi
Mara nyingi series za miaka hii huwa hazina mwendelezo sijui shida inakuwa wapi
Umeipamba sana nwanangu hadi nimeitafuta ila ya kawaida tu kupotezea time sio ligi ya siries kali
Bado sijaona uzur wa hiyo series
The wire...Tupe 2 unazozikubali zaidi ya hii ukiachana na prison break na 24.
Omg! SEE, my fav my fav my fav,The wire...
Oz
Stike back
See
Ray donovan
The event
Breaking Bad
Hizo za wakongwe
Mashoga wapo kwenye Ile money heist hii series unazingua sana kila muda ni mambo ya usagaji na ushoja Hadi keroBaada. Ya kugundua series moja (jina kapuni) nilokuwa naifatilia ina vipengele vya ushoga , muda huo huo nkakoma kabisa kufatilia series. Hobbies , nikaona bora niangalie mechi tuuu za manchester united fc
STRIKE BACK NI MOTOOOOOOOOThe wire...
Oz
Stike back
See
Ray donovan
The event
Breaking Bad
Hizo za wakongwe
Chet chetOmg! SEE, my fav my fav my fav,
Halafu hata sielewi kwanini Watu hawaizungumzii hii series jamani, nimemmiss Queen Kane, can't wait for season 4.
Season 3 iko njiani..Omg! SEE, my fav my fav my fav,
Halafu hata sielewi kwanini Watu hawaizungumzii hii series jamani, nimemmiss Queen Kane, can't wait for season 4.