Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nimeitizama dah ya kawaida Sana jamani matukio ya kuonyesha uwezo wa main character yanerahisishwa Sana sijapenda kwakweli inazidiwa hata na THE OLD MANMoja kati ya series ya kijinga hakuna uhalisia na main character amepewa uwezo kuzidi theme ya movie.
Jumamosi nitachek hii movieMkuu tafuta series inaitwa the Old man hutojutia
Sure mzee fanya kitu kimojaJumamosi nitachek hii movie
Sema mkuu to be honestly season 1 itabaki kuwa best kwa maoni yangu mini wasingemuua rogner but kwa sasa kidogo yule digo mlemavu anaichangamshaViking seson 2 ni hatari sna