The Terminal List: Hii ndiyo series yangu pendwa baada ya PRISON BREAK na 24

Mkuu unayo kwenye HD au flash nikutafute
 
Acha kabisa mwamba kauwa dizan ya John wick
Hii ndiyo muvi yangu bora kwa mwaka huu, mpaka sasa nimeshairudia mara 3...

Muvi imejaa mikiki toka mwanzo mpaka mwisho, mkono ulioenda shule, story line kaaliii, characters wa nguvu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…