Yaani nimeitizama dah ya kawaida Sana jamani matukio ya kuonyesha uwezo wa main character yanerahisishwa Sana sijapenda kwakweli inazidiwa hata na THE OLD MAN
Kuna the old man movie na kuna series zote ni tofauti binafsi nimezicheki zote ni kali mkuu j mosi yako hutojuta. Nikitulia ntakutajia list ya series za mwaka huu na mwaka jana