The Top 10 Most Intelligent People in the World

Phd miaka 20 wakati hapa kwetu ndio "vichwa" wako mzumbe na kibaha wanakariri hesabu,full professor miaka 24,ndio "vichwa" wetu baadhi wanapata degree yao ya kwanza ya BAF kutoka mzumbe.
 
As far as ndani yake sjakutana na majina ya watu kama akina Bill Gates, Michael Dell, Steve Jobs, Mark Zuckerberg, Nelson Mandela and the like, then I can consider this the whole IQ thing is nonsense... piece of trash with no or little value to the world community.
 
albert einstein hayupo hapa?

Hii list ya uongo..
 
Kwa watu wa bibilia ;-
1.kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa,
2.Mshike sana elimu wala usimwache aende zake.

Ila apa kwa upande wa pili mm nikajiuliza "hasemi kwamba ukimwacha nini kitafaatia"
 

mbraaa
shimboni mbe
 
Most intelligent


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
from #10- #1 no black with Hi IQ!!,why?. standardized xenophobic rankings.
 
IQ ni kipimo wametengeneza wao na wanajipa tu, kwanin hakuna waafrika??

Kuna whites superiority complex. Kila kitu wanachoanzisha wanahakikisha mweusi haingii top 10.

Nina uhakika kuna waafrika hatare wangejaza hiyo list sema mfumo uliwakataa toka kitambo
 
mbona Nyerere hayumo? hii list ni fake.
 
Nisingependa kujua wana IQ kubwa kiasi gani, lakini ningependa kujua ni matajiri kiasi gani na mimi nijifunze kutoka kwao kuwa wametumiaje akili zao kupata utajiri huo.
 
Mswahili bila kusagia hapati raha. Hongea, roho kwatu
 
Phd miaka 20 wakati hapa kwetu ndio "vichwa" wako mzumbe na kibaha wanakariri hesabu,full professor miaka 24,ndio "vichwa" wetu baadhi wanapata degree yao ya kwanza ya BAF kutoka mzumbe.

ha ha ha eti wanakariri hesabu!!
 
ha ha ha eti wanakariri hesabu!!

Tena sio kukariri hesabu,wanakariri maswali ya hesabu yatakayotoka necta wapige a waachane nayo..wenzetu 3 yrs old anapiga ma differential equations,complex no, sijui na makitu gani. Hatari sana.
 
They are Intelligent people,but one thing made me to believe is their ability in mathematics from the age of 3yrs ......to applied Mathematics in changing the world of Science & Technology.(Mathematics is everything we shouldn't hate it)
 
albert einstein hayupo hapa?

Hii list ya uongo..

hahah kunauwezekano naliishi mikaa hiyo na hiko kipimo cha IQ kilichotumika hapo hakikuwepo.


Duh!
nadhani kuna kitu unashindwa kutofautisha, embu soma tena mada kuanzia mwanzo, utagundua hii topic imekava wanasayansi tu na wataalamu. na sio freedom fughters na wanasiasa na wanaharakati.
 

Kwa ulewa wangu hapa anaongelea watu wenye IQ kubwa sio majinias. unajua IQ ni kipimo cha mtu kujifunza na akaelewa vizuri sana na kwa haraka kile alichojifunza/fundishwa (kukariri ikiwemo) wakati jinias ni mtu anayeelewa vitu naturally na kuvumbua vitu vipya (formula na technolojia etc.) hapa ndo utawakuta akina Gates, Einsten, Isaac etc. ndo maana inasademekana IQ ya Einsten ilikuwa kati ya 120-160 ya Newton below 130 ila walivofanya usipime.
So IQ ni kama kipimo cha memory au kukalili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…