Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As far as ndani yake sjakutana na majina ya watu kama akina Bill Gates, Michael Dell, Steve Jobs, Mark Zuckerberg, Nelson Mandela and the like, then I can consider this the whole IQ thing is nonsense... piece of trash with no or little value to the world community.Have you ever met anyone who knows everything about anything? They know it all and we mean that not in the negative sense of the term. They are some of the smartest people in the world and they have the IQ scores to back it up. They can answer probably anything from simple arithmetic to the most complicated rocket science question. Here is a list of the top 10 most intelligent people in the world.
Mnawataja wakina Mwandosya kwavile ni wanasiasa wa magamba lakini kuna kichwa kimoja ambacho hakitaki publicity nae ni none other than Prof. Awadh Mawenya ; huyu ndio mwanzilishi wa faculty of engineering UDSM na ndiye aliye warecruit wote mnaowaita vichwa vya engineering hapa Tanzania!! The guy is a GENIUS but very low key and simple!! IQ yake ingeweza kuwa juu ya hao mliowaorodhesha na ni MTANZANIA wa Moshi!!!!
Mswahili bila kusagia hapati raha. Hongea, roho kwatuHawa waliotoa hii list ni mabwege tu...
Waache upumbavu wao,wanapaka mafuta kwa mgongo wa chupa....!!
Wazungu nao ni matahira tu...
Ni kivipi waseme;
"Have you ever met anyone who knows anything about every thing,they know it all"
Tena waache kabisa kuchezea akili za watu, sheeenzzzz...
10.Kajamaa kamesoma soma MIT ,kajua vialgebra kidogo,kaingia kuigiza,kashinda vituzo vya uigizaji etii nae most intelligent....
09.Mdada;kaandika vimagazeti,masomaji wake wanamuuliza maswali ya "anti nisaidie",nae wanamregard kama most intelligent....
08.Jamaa kaanzisha kajumuiya ka wasomi,afu anawatungia maswali ya hapa na pale eti nae kawa most intelligent....khaaa
07.Mkaka,kacheza draft na wapuuzi wenzake,tena bahati mbaya alishakutana na watabe wakamchapa sijui super,nae ni most intelligent....khaaa
06.Huyu mkoreshia kawakusanya wasomi wenzake,wakaanza vimichezo vya kuchora chora copy and paste za Leonardo Da Vinci,nae ni intelligent.....khaaa
05.Huyu ndo kanivunja mbavu mpaka nimemwaga supu yangu,eti baunsa wa mlangoni,mara bar medi,mara mtunisha misuli,kaingia kwenye vipindi vya TV,kajitahidi kujibu maswali,kawa most intelligent...khaaa
04.Huyu dokta kajizolea vidigrii vichache nae kawa most intelligent;vipi yule prof. wa sierra leone,mwenye PhD kama
6 za kudomea....khaaaa
03.Kidogoo huyu mkorea ndio alikuwa anadeserve kuwemo kwenye hii list,ana vitu vya kipekee tofauti na hao wenzake....
02 na 01;hakuna kitu kabisa hawa watoto,
inaonekana hiki chuo cha Pincenton kinatoa degree za fasta ili kipate sifa,kijizolee umaarufu wa kijinga....
Mbona yule dogo (black-american)aliyekula PhD pale Havard with only 22,mbona hawajamuingiza kwenye list...
Huyu mtoto CORTLIN WICKLIFF,ndiye amevunja record ya Dr.Martin Luther King jr. kwa kuwa mwafrika mdogo kula gamba la PhD,tena kaivunja mbali 26 yrs for 22 yrs...
Eti wakati wana miaka mi3 walianza kusolve hesabu,wakati kijana wickliff at age of 2½,alikua anachezea umeme kama mhandisi wa umeme...
Hawa wazungu waache kabisa kuchezea akili za watu;
Phd miaka 20 wakati hapa kwetu ndio "vichwa" wako mzumbe na kibaha wanakariri hesabu,full professor miaka 24,ndio "vichwa" wetu baadhi wanapata degree yao ya kwanza ya BAF kutoka mzumbe.
ha ha ha eti wanakariri hesabu!!
albert einstein hayupo hapa?
Hii list ya uongo..
As far as ndani yake sjakutana na majina ya watu kama akina Bill Gates, Michael Dell, Steve Jobs, Mark Zuckerberg, Nelson Mandela and the like, then I can consider this the whole IQ thing is nonsense... piece of trash with no or little value to the world community.
As far as ndani yake sjakutana na majina ya watu kama akina Bill Gates, Michael Dell, Steve Jobs, Mark Zuckerberg, Nelson Mandela and the like, then I can consider this the whole IQ thing is nonsense... piece of trash with no or little value to the world community.