Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Uchumi wenyewe wa watu kukaa kwenye nyumba za mabati kwenye 21 century!duhWana uchumi karibia mara mbili wa Tanzania.
mashirika mengine hayamiliki kabisa ndege, lkn wana shirika na linajiendesha kwa faida!.......Hatucheki ila swali ni kwanini wajivunie vitu wasivyo navyo?
God save us
unajua kwann shirika lilikufa kabla?.......Zitadumu,ndege zipo abiria wapo ni wao waliopewa kazi kua wabunifu na kuboresha huduma kadri watakavyoweza
Sent using Jamii Forums mobile app
nakubaliana na mengine unayosema ila taarifa za kiuchumi kutoka serikali ya awamu ya 5 sio za kuziamini kabisa..........Uchumi wa makaratasi ww hamna chochote za kutisha kenya ... Labda useme Nairobi ni pazuri kuliko Bongo na sekta ya utaliii performance yake mwaka jana imetoka na taarifa zipo Tz imefanya vizuri kushinda Kenya kimapato .... Ila in real sense hamna cha kutisha Kenya ...maskini wa Kenya na waTanzania tena mbona wa Tanzania ana afazali mara dufuuuuu ....
mapato ya tz awamu hii tunapika mkuu........Iyo kweli kbs maana kenya wana jitangaza vizuri ktk sekta ya utalii so wageni wanao shuka hapo ni wengi pia lkn kimapato yatokanayo na utalii Tz ipo juuu ndugu
hata USA kuna watu wanaishi kwenye tents.... so what?Uchumi wenyewe wa watu kukaa kwenye nyumba za mabati kwenye 21 century!duhView attachment 1028004
Izo data za mapato mzee hazijatolewa Na BOT wa GOT bali ni ripot ya WTC maamlaka ya utalii dunianimapato ya tz awamu hii tunapika mkuu........
wala sio jambo la kujifariji,,, awamu mapato wanayotangaza sio halisi........ nadhan umeona michezo waliyofanya kwenye korosho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Budget ya kenya ni U$ 30b yako 14b.We TAYO kwelii yaan una judge tu mtu simple simple kama vile unamfahamu.... Sasa Kenya wana Uchumi gani wakusema unatisha sanaaa.
Alafu unasema eti elimu imekusaidia nn ? Iv we una AKILI kweli ? Tazama LEMBA lako ilo utazani PAZIA la SINEMA
nakubaliana na mengine unayosema ila taarifa za kiuchumi kutoka serikali ya awamu ya 5 sio za kuziamini kabisa..........
kama watalii walikuja wa kutosha, na bandari tunaambiwa inatema kwann kuna uhaba wa ajabu wa dola?.......
takwimu za serikali yetu awamu hii siziamini kabisa, wanazipandisha wkt ukweli ni tofauti.......
kuhusu maskini ni kweli, nimetembelea kenya kule hali sio kabisa,,, ukimwona maskini ni maskini kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Budget ya kenya ni U$ 30b yako 14b.
Bado unataka kusema nini kuhusu uchumi wako na Wakenya?
mapato ya tz awamu hii tunapika mkuu........
wala sio jambo la kujifariji,,, awamu mapato wanayotangaza sio halisi........ nadhan umeona michezo waliyofanya kwenye korosho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala hapa ni idadi ya ndege, kumbe kelele zote ndege ni 3 tu. Failed state ni tatizo sanaNinataka kufika Mumbai na ATCL lakini naona haiwezekani eti ndege hazina kibali...nyani haoni kundule ila nikitaka kufika NYC naweza nikatumia KQ 😀😀
Wewe wacha porojo budjet inasomwa matumizi siku inayotolewa. Halafu baadae hufanywa uhakika tu.hahahaha sijui una fuatilia mambo ya uchumi au unasoma tu na kupokea ? ukaisome iyo Budget ya B30 ukaione matumizi yake ndio uje tena hapa
Swala hapa ni idadi ya ndege, kumbe kelele zote ndege ni 3 tu. Failed state ni tatizo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Inachangia vipi wakati shirika halitengenezi faida ni hasara?, hivi wewe unajua uchumi na biashara au unaropoka?, KQ ni mzigo wa mavi kwa nchi na share holders. Huyo mbunge amesema KQ ina ndege tatu tu, hizi zingine nani wamiliki wake?, point is clear acha kukwepesha ukweli, KQ ina ndege tatu tu, zilizobaki ni ndege za kukodi.Lakini Kwa Uchumi wa nchi KQ unachangia $3.2B (ksh 320 billion !!!!) .....
Tena isitoshe KQ INA operate ndege 40, huyo mbunge anaulizia umiliki wa ndege 28
mashirika mengine hayamiliki kabisa ndege, lkn wana shirika na linajiendesha kwa faida!.......
KQ kutokua na ndege sio ajabu,,, ndio maana baadhi ya watz walishauri ili atcl isimame yenyewe bila gvt kuingia gharama ilitakiwa wakodishe ndege kwa biashara ya ndani, then wakifanikiwa hapo, wanakodisha zingine kwa ajili ya ukanda huu, then ndio watamalizia kimataifa.......
lengo ni kujenga uzoefu wa kujiendesha kwa shirika, kuijua biashara kwa undani, kuliko hv wanavipewa ndege za serikali hawatakua na pressure ya kudeliver!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndio mbunge wenu anataka kujua hizo ndege ni ndege za nani wakati KQ inamiliki ndege tatu pekee?, kuna uwezekano familia ya Kenyatta na wafanyabiashara wengine ndio wanamiliki hizo ndege, in Kenya anything can happen anyhow.hakuna ndege za KLM ndani ya KQ, ndege tuliokua tunaitumia pamoja na KLM ni ile boeing 747 ya cargo ambayo ilikua inapiga safari za China-Kenya, tuliwaregeshea wenyewe hio ndege..
Dada usijidhalilishe, Tafadhali tafajari kabla ya kuandikaSasa tatizo liko wapi?
Unataka kujilinganisha kiuchumi na Wakenya ambao wamekuzidi maarifa kiuchumi licha ya wewe kuwa na mali asili nyingi sana kuliko wao?
Hivi Watanzania mnachokifahamu ni kubishana kijinga tu kila kukicha?
Mkuu nilikua nacheki report flani inasema 2018 Rwanda ilipata tourists 1.2mil,Tanzania ilipata 1,347,000.Uchumi wa makaratasi ww hamna chochote za kutisha kenya ... Labda useme Nairobi ni pazuri kuliko Bongo na sekta ya utaliii performance yake mwaka jana imetoka na taarifa zipo Tz imefanya vizuri kushinda Kenya kimapato .... Ila in real sense hamna cha kutisha Kenya ...maskini wa Kenya na waTanzania tena mbona wa Tanzania ana afazali mara dufuuuuu ....
Wewe wacha porojo budjet inasomwa matumizi siku inayotolewa. Halafu baadae hufanywa uhakika tu.
Halafu eti "msomi" wa chuo kikuu.
Haki ya Mungu, ikiwa wewe msomi wa chuo kikuu basi Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda..
Wana madeni karibia Mara NNE ya TanzaniaWana uchumi karibia mara mbili wa Tanzania.