NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Are you stupid? Did you leave your brain home? Have you stepped in an economics class?Kisumu wana lake victoria na Mwanza wana lake victoria so tu assume fishing sekta as indicator of comparison then let go ....
Sio kujitangaza tuu, ukitangaza kibaya hakiwezi pata wateja juu umekitangaza. There is no proof that you make more from tourism than Kenya.
Ebu lete hizo ripoti wee mshamba.doh we mkenya gani mvivu hata ripoti zenye taarifa mbali mbali za uchumi usomi ? Kenya unaishi mji gani ww au malindi ?
Ebu lete hizo ripoti wee mshamba.
Mpumbavu mkubwa wewe, sisi tunazungumzia percentage not actual figure, acha ujinga wewe nyang'au wa Kibera, huna akili mpumbavu mkubwa wewe, jaribu kujifunza tofauti kati ya matumizi ya percentage na actual figures.Hivi wewe Kilaza unaona 21 ni 36% of 55? Na hivi unaona 26 ni 70% of 88? Rudi shule pumbavu wewe.
You might make more than us but jwa njia ya udanganyifu. Time will tell once tukiwa na anga yetu. Hili litakuwa pigo kwenuSio kujitangaza tuu, ukitangaza kibaya hakiwezi pata wateja juu umekitangaza. There is no proof that you make more from tourism than Kenya.
Hivi wewe umeenda shule ama ulienda choo? Utapataje percentage bila kutumia the actual figure? Si nimekupa actual figures hapo nikakuuliza jinsi ulivyopata percentage maana percentage umepeana haziwiani na actual figures? Kubishana na mbongo ni kama kubishana na fisi.Mpumbavu mkubwa wewe, sisi tunazungumzia percentage not actual figure, acha ujinga wewe nyang'au wa Kibera, huna akili mpumbavu mkubwa wewe, jaribu kujifunza tofauti kati ya matumizi ya percentage na actual figures.
Sasa ngoja nikufunze, 70% ya GDP ya Kenya, ni pesa nyingi kuliko GDP ya Uganda, hii maana yake ni kwamba deni la Kenya ni kubwa kuliko uchumi wa Uganda, umeelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana yakeAisee kwa hio yale Mauaji ni sehemu pia ya utalii.
Wonders shall never end,thnxs mkuu nimeelewa.
So nasi tukikomaa na ATCL possibly uwezekano wa kufikisha labda 2mil tourists per annual pengine utakuwepo sio?
Keti chini. Umeshindwa na hoja.You might make more than us but jwa njia ya udanganyifu. Time will tell once tukiwa na anga yetu. Hili litakuwa pigo kwenu
God save us
Chris Kirubi au Bakhresa hata akidaiwa 200% ya kipato chake, bado anakopesheka, kwasababu uchumi wake una strong base, wewe hata kama hudaiwi hata Shilingi moja, bado hukopesheki kwasababu huna strong base ya uchumi, wewe ni Kenya, na Japan ni Said Salim Bakhresa, umenipata?.Japan debt yao ni 100% of their GDP.
Huu wa kwako ni ujinga.. Ndege na korosho wapi na wapi
Ndio sababu nimekuambia, Kenya japo ina uchumi mkubwa(Nominal), lakini pia ina madeni makubwa sana kuliko Tanzania, sasa ukitaka kupata actual working economy, utachukua GDP - Debts.Hivi wewe umeenda shule ama ulienda choo? Utapataje percentage bila kutumia the actual figure? Si nimekupa actual figures hapo nikakuuliza jinsi ulivyopata percentage maana percentage umepeana haziwiani na actual figures? Kubishana na mbongo ni kama kubishana na fisi.
Kichaa wewe, Tanzania debts to GDP ratio 36%, Kenya ratio is 70%, na sasa hivi tayari mnauza Eurobond, by the end of this year ratio itafika 80%.
Sent using Jamii Forums mobile app
He is stupid, when we talk about debts, it means "National debts", which means External plus Internal = National debts.
Bibi huu mjadala hauhitaji hasira, jibu hoja kwa hoja.Wacha ujuha wewe. Unabishana nini hapa na Wakenya?
Una nini zaidi cha kuwashinda Wakenya? Shule imekusaidia nini?
Nakuona punguani tu.
He is stupid, when we talk about debts, it means "National debts", which means External plus Internal = National debts.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acaha uongo mapaka mwaka jana mwezi wa 8 feni la Kenya lilikuwa $49b sawa na 56.4 of your GDPTanzania external debt = $21 billion
Kenya external debt = $26 billion.
Hivi ni kusoma hamjui ama ni ujinga tu? 21 sasa imekua nusu ya 26? Alafu tia maanani Budget yetu ni zaidi ya mara mbili yenu na GDP yetu ni 160% yenu.
Kweli kabisa. Sema wameona wameshikwa pabayasijakataa, but to make sure that the the thread doesn't deviate from it's original topic, inafaa tuwe tunajibu kulingana na hoja na hali halisia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashindano ya kijinga kabisa. Yaani tunashindana nani anajibebesha gharama kubwa na hasara?Cha ajabu wanavyotuponda eti tuna ndege 7 wakati kumbe wao wana 3 tu
God save us
Umeongea ukweli,lakini kumbuka mchawi alietufikisha hapa Watanzania ni CCM.Sasa tatizo liko wapi?
Unataka kujilinganisha kiuchumi na Wakenya ambao wamekuzidi maarifa kiuchumi licha ya wewe kuwa na mali asili nyingi sana kuliko wao?
Hivi Watanzania mnachokifahamu ni kubishana kijinga tu kila kukicha?