The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

Mpaka hapo ameshakuwa kituko mpaka nikajiuliza anatafuta b huko 254?

God save us
 
Dude, are you mad? Kenya's external debt to GDP ratio is not 70%. Kenya's external debt is $26 billion while its GDP is $88 billion. do the math.

2. Tanzania's external debt to GDP ratio is not 36%. Tanzania's external debt is $21 billion while its GDP is $55 billion. Again do the Math.

Kafrican MK254 please come see this idiot. Hesabu za primo zinamlemea.😀😀
 
We are talking about external debt you idiot.

Kenya Central Government External Debt | 2019 | Data | Chart | Calendar

Tanzania Total External Debt Stock | 2019 | Data | Chart | Calendar
 
Hehehe...Umezungukwa na mazuzu na maboya😂😂😂😂😂
 
Hivi wewe kichwa chako umekunywa chang'aa au ni mpumbavu wa wakikuyu?, National debts ni jumla ya internal debts na external debts, kwanini wewe inazungumzia external bebts peke yake?, acha ujinga na mpumbavu wako.

Nchi huwa inakopa katika mabenki yaluyopo ndani ya nchi, kwa mfano, hapo Kenya kuna Bank kama Standard charter ambayo sio Bank ya Kenya kakini imefungua tawi hapo Kenya, serikali ya Kenya ikikopa hapo, hilo ni internal debts, lazima serikali ilipe hilo deni.

Kwahiyo ukichukua hayo madeni ya Bank za hapo Kenya, ukijumlisga na deni la Mchina na nchi zingine,(internal + external), ndio tunapata deni la Taifa.

Sasa wewe kwa ujinga wako unachukua external debts pekee haya madeni ya ndani unayakataa, acha ujuha wako wewe, Kenya hali ni mbaya sana. Total National debts ya Kenya ni 70% ya GDP yenu, soon mtaomba bail from Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni very simple kwa yule anayejua kutafuta information..... Kenya ilichukua deni la karibia $1.3Billion ili kununua ndege dreamliner 9, Kati ya hio $821 Million ilikua ni kutoka US-exim Bank and some $200m kutoka kwa afreximbank the rest of about $300m kutoka local banks hapa Kenya...... By the time KQ inaanza kupata loss, ilikua imepunguza hilo deni hadi $700m, baada ya hapo KQ ilihitaji restructuring na ili kufanya hivyo, serekali ya Kenya ikaamua ku guarantee kwamba KQ ikishindwa kulipa hayo madeni basi herekali ya KEnya ndo itadaiwa badala ya KQ....

UPDATE 2-Kenya government to guarantee $750 mln in Kenya Airways debt | Reuters
Kenya will offer $750 million in guarantees to Kenya Airways’ existing creditors to help the heavily-indebted carrier secure financing from other sources to complete its recovery, a cabinet document showed on Tuesday.
The guarantees, approved by the cabinet, will cover $525 million owed to the U.S. Exim Bank and the rest to local lenders, said the document seen by Reuters.





Kwahivyo ndege za KQ ni za KQ, haswa hizo dreeamliner, kQ ikishindwa kuzilipia hawatapokonywa ndege, deni hilo litadaiwa Serekali. ya kenya..... Anyway, KQ na benki za Kenya zilifanya debt to equity swap, kwahivyo hilo deni la $300m halidaiwi tena .... deni lililobaki ni hio $525m kutoka kwa US-Exim bank baada ya kulipwa kama $250M.....Kila mwaka KQ hulipia karibu $100m kwa hio benki
 
Ndege ambazo KQ imemaliza kulipia mkopo ni 3 aina ya bombadier Q400 yaani pangaboi
 
Ninyi wakenya mnamatatizo sana, bunge linauliza kwasababu bunge linajua kwamba KQ ina ndege tatu pekee, ndege zilizobaki KQ imezikodi na wanalipa kila mwaka fees, sasa wewe unasema kwamba serikali imenunua, kwahiyo wabunge wenu hawana akili?, kama serikali imenunua hizo ndege, kwanini sasa KQ inalipa fees kwa ndege zake ilizonunua?.

Wewe na wabunge wenu, who is more informed, acha kukimbia ukweli, tusubiri serikali itoe majibu huko Bungeni ili ijulikane nani anayepokea hiyo fees, wabunge wamegundua mchezo mchafu wabajaribu kuwatetea wakenya, wewe kila za unasumbuka kutetea serikali corrupt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajidai kua mtaalam wa uchumi wakati hauelewi concept rahisi kama hio..... Hivi ukiambiwa utalii wa Tz unachangia $2B ka uchumi wa TZ hua unafikiria ni hoteli ndo zilitengeneza faida ya $2B 🙄🙄 ..... Hoteli ziko na wafanyikazi, wafnyikazi hulipwa mishahara, watalii hula chakula - wavuvi na wakulima huuzia mahoteli samaki na vyakula, gari za kwenda mbugani hutumia mafuta yanayouzwa na kampuni zengine, kuna kulipa kodi , hoteli na magari huhitaji kulipiwa insuarance... kuna wale wanaouza ushanga, kuna wanafanya biashara ya kukodisha maboti....... hao wote ukijumuisha ndo unapata hio $2B... Tena hapo hatujaongelea multiplier effect... Kwa mfano mtu anayechonga sanamu akiuzia watalii anapata hela ambayo anatumia kununua bidhaa ndani ya Tz na kufaidi kampuni zengine..

kwa mfano hii SGR yetu iliopata loss ya $100m mwaka jana, kwa uchumi wa kenya utakuta imechangia kama $400m kwa kurahisisha na kuboresha uchukuzi wa nchi ... mfano utakuta uchumi wa Mombasa umeongezeka kwasababu ya SGR...

Inasemekana traffic jam ndani ya Kenya inafanya uchumi wa nchi kupotea by $200Million kila mwaka, Nairobi pekee inapoteza $50,000 kila siku .... Hii inamaanisha Nairobi na Kenya nzima ikiwa na efficient transport system kama SGR na BRT, tayari uchumi una gain by $200m hata kama hizo kampuni zitakua zinapata loss!!!!

According to the government, the time wasted in traffic jams represents a cost of $578,000 (Sh58.4 million) a day in lost productivity. That’s more than $210 million (Sh2.1billion) a year. Which is the equivalent of an Anglo Leasing scandal every three years. https://www.nation.co.ke/oped/opini...40808-3183654-format-xhtml-6xsy0bz/index.html


Aviation industry Contributes $3.2Billion or 5% of Kenya's GDP, KQ controls like 70% of Kenyas aviation industry

The Kenyan aviation industry supports up to 620,000 direct and indirect jobs including employment in the tourism sector, a study by the International Air Transport Association (IATA) has concluded.
The aviation industry contributed nearly Sh330 billion ($3.2 billion) to Kenya’s economy, or 5.1 per cent of the country’s Gross Domestic Product (GDP), according to the IATA report.
IATA says Kenya’s aviation industry supports 620,000 jobs
 
Hebu nionyeshe wapi inasema KQ inalipa fees kwa ndege zote
 
Samahani kwa nini zinaitwa KQ ilhali kirefu ni Kenya Airways? Q inasimamia nini maana sielewi.
 
Usichanganye maneno. KQ sio aviation industry. Kuna mashira mengi sana kama ET, EMIRATES, BA, QATAR etc ambayo yana leta hela ndefu sana kenya.
KQ badala ya kuleta pesa inaingia kwa mfuko wa wananchi kuitisha hela..
Hadi MD naikuni na mwenzake ngunze alio lifilisisha shirika wakamatwe na wadaiewe pesa mwendo utakua huohuo
 
Ndege ambazo KQ imemaliza kulipia mkopo ni 3 aina ya bombadier Q400 yaani pangaboi
How can an airline that does not own airplanes sells its planes

Kenya Airways has sold two Boeing 737-700 airplanes, marking its latest efforts to reduce its fleet in a bid to shore up its financial position.
The sale is disclosed in a September regulatory filing by UK-based Air Partner, which arranged the transaction on behalf of the Nairobi Securities Exchange-listed national carrier.
“Air Partner Remarketing has successfully sold and delivered two B737-700 aircraft and a GE engine for Kenya Airways,” the aviation services firm said in the statement
Struggling KQ to sell planes to American firm
 
Hebu nionyeshe wapi inasema KQ inalipa fees kwa ndege zote
Amaanisha wabunge wenu wanataka kujua aliewakodisha hizo ndege ni nani? Maana pia hajulikani na ndege sio zenu

God save us
 
Blaaah, blaah, blaah, hata hujulikani nini unachotaka kusema, points muhimu hapa ni mbili tu
1) KQ inamiliki ndege tatu tu, zilizobaki wamekodisha, hii si tatizo wala halina uhusiano wowote na kupata hasara wala faida kwa KQ, usijisikie vibaya kukubaliana.
2) Kwa miaka mitano mfululizo sasa, KQ inapata hasara, it makes losses, huu ni ukweli na haina uhusiano wowote na 70% share ya aviation industry wala kuchangia 5% ya GDP.

Haya maneno mengine yote ni kelele zisizo na maana, kanusha hizo point mbili hapo juu. Bunge lenu limekiri kwamba KQ ina ndege tatu pekee, wewe ni nani unapingana na bunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…