Ukisema majority uko sawa maana yake unakubali kuwa wapo walio wa tofautiSijui lkn majority ya nyinyi wanawake mkishazama mmezama mazima,mpaka sometimes unajiuliza hivi dada yangu pale kapenda nini unakosa majibu na ukimwambia ukweli anakuona adui.
[emoji16][emoji16][emoji16] babe we kila kitu anachosema huna shaka...unanitia wasiwasiSina shaka juu ya hilo
[emoji23][emoji23]Sina shaka juu ya hilo
Wachache kwa bahati mbaya sijawahi kuwaona,labda humu JF na maisha yetu ya kuigiza ila in real life sijawahi kuwaona.Ukisema majority uko sawa maana yake unakubali kuwa wapo walio wa tofauti
Si kweli hyo ya kuzama na wanawake hata akiolewa hasau kwao, wanaume mkioa huwa ndo mnachukia ndugu Hadi wazazi wenu wakuwazaa kabisaNyie wanawake kupenda nusu hamuwezi najua mtabisha ,nyie mkizama mshazama sometimes mnawachukia mpaka ndugu zenu hasa sisi makaka,wajomba mnatuonaga mafala ninacho kiongea nina uhakika nacho.
Majority ya wanaume wanao sahau kwao mara nyingi ushirikina unahusika kwani wanawake mnatabia moja ya kutaka kudominate kila kitu mkicontrol nyie (hasa kwenye hela ya mwanaume) ili muweze kuipata hiyo power ndio mnaenda kwa Sangoma.Si kweli hyo ya kuzama na wanawake hata akiolewa hasau kwao, wanaume mkioa huwa ndo mnachukia ndugu Hadi wazazi wenu wakuwazaa kabisa
Huwa hamlongwi acheni kusingizia wanawake kwa madhaifu ya kusahau kwenu, kwanza wewe kutokuwajibika unatumia lawama wengine. Nimeona wanaume wakioa undugu na kwao hufa na hawatoi misaada yoyote Ila kwa ndugu wa mke sasa ni kiherehere kwa kwenda mbelwMajority ya wanaume wanao sahau kwao mara nyingi ushirikina unahusika kwani wanawake mnatabia moja ya kutaka kudominate kila kitu mkicontrol nyie (hasa kwenye hela ya mwanaume) ili muweze kuipata hiyo power ndio mnaenda kwa Sangoma.
Hasikudanganye mtu hata uwe katili namna gani,mgumu namna lkn huwezi kusahau kwenu HASA MAMA YAKO MZAZI na sisi wanaume tuna strong BOND na mama zetu wazazi,kuzivunja labda utumie external force (waganga).
Nakwambia labda ndugu mwengine lkn si mama,hao akina Hitler,Iddi Amini Dada nk yaani wanaume wote unao wajua walio kuwa makatili walikuwa hawapindui kwa MAMA ZAO WAZAZI.Kalapina na fujo zake zote za Kinondoni kule,hamna kitu kilichomuuma kama kuondokewa na mama yake mzazi.Huwa hamlongwi acheni kusingizia wanawake kwa madhaifu ya kusahau kwenu, kwanza wewe kutokuwajibika unatumia lawama wengine. Nimeona wanaume wakioa undugu na kwao hufa na hawatoi misaada yoyote Ila kwa ndugu wa mke sasa ni kiherehere kwa kwenda mbelw
Mkuu wasema tu usisingizie kulogwa ni kwamba mkishaoa upendo hu shift kwa mkeo na watoto Wala sio kurogwa huko, na hauwezi vunja bond Mana kakubeba 9 months, lakini licha ya wote huwa mna telekeza wazazi wenu, Hadi wake wanasingizia kwa uzembe wenuNakwambia labda ndugu mwengine lkn si mama,hao akina Hitler,Iddi Amini Dada nk yaani wanaume wote unao wajua walio kuwa makatili walikuwa hawapindui kwa MAMA ZAO WAZAZI.Kalapina na fujo zake zote za Kinondoni kule,hamna kitu kilichomuuma kama kuondokewa na mama yake mzazi.
Narudia tena naweza kweli nisisaidie ndugu zangu,ila naweza kuwasaidia KUPITIA KAULI YA MAMA YANGU MZAZI na ndio maana baadhi ya wanawake wajinga ili kuvunja hii bond lazima waende kwa waganga wanaona wasipofanya hivyo basi mume hatosaidia upande wao.
NGUMU MNO YAANI KWA KIFUPI HAIWEZEKANI KUVUNJA BOND YA MTOTO KIUME NA MAMA YAKE MZAZI NGUMU.
Au labda mke atampa kitu gani mme wake ,ambacho hajawahi pewa na wanawake wengine ktk mahusiano yake ya zamani ili aweze kusahau kwao hasa kumsahau MAMA YAKE MZAZI hebu kitaje.
Umeandika notes tupu kaka.... fear inafanya tunapotezea kufall in love which is not a good thing. This can be trick sometimes unapoteza hadi confidence.
Nimekuuliza swali jepesi hujanijibu,Mkuu wasema tu usisingizie kulogwa ni kwamba mkishaoa upendo hu shift kwa mkeo na watoto Wala sio kurogwa huko, na hauwezi vunja bond Mana kakubeba 9 months, lakini licha ya wote huwa mna telekeza wazazi wenu, Hadi wake wanasingizia kwa uzembe wenu
[emoji16][emoji16][emoji16] babe we kila kitu anachosema huna shaka...unanitia wasiwasi
At first, nilijuaga wote tunafanana.
Niliamini wote tuna hofu ya Mungu.
Sisemi kwamba kuna aliye perfect hapana. Ila jamani nilichokuja kujifunza na kuexperience is quiet different. Kuna watu wakatili sana. Sana sana sana. Sijui hata niielezeeje hiyo hali. Mpaka naogopa. Unajiuliza huyu anawezaje kunifqnyia hiivi na bado akaendeleq kuishi na amani ya moyo akawa nayo tele. Wanawezaje jamani? Mbona mm siewezi?
Anyways... mwisho wa siku tunasonga mbele. Lakini ubinafsi umekithiri sana juu ya hisia za watu. Bora mnapoingia mahusiano muulizane mwanzoni kabisa mwa mahusiano nini malengo ya mahusiano yenu. One man said to me that he was "just having fun" that thing tortured me for five good years acha maukatili mengine. Since then, i love yes, ila utakaponiambia lets breakup basi nitashukuru na kuendelea na maisha ijapokua inaumiza sana. Sijui watu wanawezaje jamani. Tuhurumieni wengine. Sisi si malaika lakini kuna mengine na kifanyiana ukatili tu kufurahisha nafsi zenu.
Ninaomba angalau hofu ya Mungu iwe imetawala. Ambao hawanaga hofu ya Mungu ndo huwa rahisi sana kufanya matukii kama haya.
Good thing is, huwa tunasamehe. Ijapokua hatisahau kwani ni makovu tayari. Wengine tumelelewa katika familia na upendo kianzia mababu na mabibi tukiamini kila mtu yuko hivyo. Dunia iko tofauti sana. Tuhurumiane jaman. Inaumizaa sana.
Hatuwezi sema tutakua wakatili ama kuingia nusu nusu kwani malezi yetu tooa mimba tumelelewa ktk misingi ya upendo hivyo haiwezi tubadili tuwe tofauti. Tyats faking perfection. Tutabaki kiwa na upendo. Hakuna mkamilifu. Tusaidiane ktj kukua.
Kwamba....
Yeah true, na kuna point inafikia unaona kabisa kwa akili hizi za kibinadamu huwezi tena kufanya jambo au maamuzi kwa utashi wako pekee, that's the time you need GOD. 😊Mapenzi yamekuwa kama fumbo la imani
Mke unalala naye uchi, anakunyonyesha utu uzimani, anakuzalia watoto wako kitu ambacho mamako hawezi kukupa na hyo ndio power shiftNimekuuliza swali jepesi hujanijibu,
"Au labda mke atampa kitu gani mme wake ,ambacho hajawahi pewa na wanawake wengine ktk mahusiano yake ya zamani ili aweze kusahau kwao hasa kumsahau MAMA YAKE MZAZI hebu kitaje."