Nakwambia labda ndugu mwengine lkn si mama,hao akina Hitler,Iddi Amini Dada nk yaani wanaume wote unao wajua walio kuwa makatili walikuwa hawapindui kwa MAMA ZAO WAZAZI.Kalapina na fujo zake zote za Kinondoni kule,hamna kitu kilichomuuma kama kuondokewa na mama yake mzazi.
Narudia tena naweza kweli nisisaidie ndugu zangu,ila naweza kuwasaidia KUPITIA KAULI YA MAMA YANGU MZAZI na ndio maana baadhi ya wanawake wajinga ili kuvunja hii bond lazima waende kwa waganga wanaona wasipofanya hivyo basi mume hatosaidia upande wao.
NGUMU MNO YAANI KWA KIFUPI HAIWEZEKANI KUVUNJA BOND YA MTOTO KIUME NA MAMA YAKE MZAZI NGUMU.
Au labda mke atampa kitu gani mme wake ,ambacho hajawahi pewa na wanawake wengine ktk mahusiano yake ya zamani ili aweze kusahau kwao hasa kumsahau MAMA YAKE MZAZI hebu kitaje.