The Ugly Truth: Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti

Hao wanaume wanao cheat wana cheat na mbuzi ama
Hizo % zigawe tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Nanyie mtufundishe hivo vionjo mnavyofuata huko nje sasa !
Nje tunafuata "kubadilisha mboga" kunakohalalishwa na mengineyo kama vile shape, rangi, texture, ukaribu mfano workmate, trakoo, harufu, sauti....
 
Wewe ni Muongo kabisa.acha kudanganya,kama wewe upo hivyo usi generaloze
Nadhani umeandika uongo mwingi zaidi.kwa mfano hizo data ulizotoa umezifanyia research wapi na lini? Acha kuwatia hofu wamama wa watuNyie ndiyo mnasababisha ndoa ziwe zinajaa hofu na taharuki sana.yaani kuchepuka hakuangalii kasisi wala mcha Mungu,tunasikia visa kibao kucheat hata kwa hao uliowataja

Ni hivi,kuchepuka ni tabia ya miongoni mwa wanaume na wanawake walioko kwenye ndoa rasmi na zisizo rasmi.Ila pia wanaume waaminifu wapo wengi sana tuu.wanaotunza na kuheshimu ndoa zao kwa dhati kabisa

Hichi ulichoandika hapa ni upuuzi mtupu wa kupuuzwa.
 
Mi nalo langu mojaa dah... Ataniua kwakunipa Mbususu maana dah.
Wee kama anakupa mbususu na aleti story za kwamba umgegede yeye peke huyo kuwa nae mzeya na muhudumie vizuri. Yaani mwanamke ambaye anakupa mbususu with no strings attached huyo ni kumtunza kama malkia
 
Wanaume huwa wanacheat na akina nani kwani?
Imagine
Angejua wanawake walivyochachamaaa wee especially walioolewa nΓ‘ ni wamama wa home weee tulia kabisa asitusemee wanawakeπŸƒβ€β™€οΈ
 
Nina Miaka 33 na bado ni bikra...
TUANZIA HAPO KWANZA.
πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ

#YNWA
 
Kwani hao wanaume wanapo cheat huwa Wana cheat na kina Nani !??

Mimi nadhani bandiko lako lilipaswa kusema kwamba hizi jinsia 2 zote hakuna jinsia yenye uaminifu , Ni nadra kumpata mpenzi muaminifu katika Karne hii kwa jinsia zote hizi 2 , katika mahusiano watu huwa Wana cheat kwa sababu nyingi sana ,
 
Kama na wewe Ni muaminifu Basi Bora tu mauti yanifike [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Acha fujo na ukae kwa kutulia pambana ma mauti yako huko..πŸ˜‚
 
Mwanaume kazi yake ni kuzalisha wanawake hii ya kujifanya unamgegeda mwanamke mmoja ni ujinga na ulimbukeni
 
Subiri kukuche, ndiyo uandike vizuri. Inawezekana ikawa ndoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…