Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kwa wenzetu huyu saa hii angekuwa chini ya ulinzi anajibu maswali magumu
Degree yake ya kwenye CV inayoonyesha kasomea chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani ilizua maswali, wananchi wakatuma maombi Marekani kutaka kujiridhisha elimu ya Rais wao.
Wamarekani wapo Direct, siku ya jana Jaji wa Marekani aliamuru taarifa za uhalali wa cheti zitolewe leo na imebainika kwamba ni kweli alisoma hapo lakini alitumia cheti cha Mwanamke kutuma maombi ya kujiunga.
Ni sawa na huku kwetu mtu kafeli form 6, atumie cheti cha mtu wanaefanana jina kutuma maombi ya kujiunga chuoni.
Ikumbukwa kuwa siku ya jana, Rais wa Nigeria kaongeza mishahara.
Baada ya kupata ushahidi usio na shaka kwamba kakiuka kanuni za integrity (uaminifu), je kutakuwa na accountability (uwajibikaji)????
JE ATAWAJIBIKA ???
Sent using Jamii Forums mobile app