This is Africa: Rais wa Nigeria yabainika alitumia cheti cha mwanamke kudanganya ni degree yake. Je, atawajibika kwa kuidanganya nchi anayoiongoza?

Kwa afrika hajiuzulu wala nini, labda wananchi walete songombingo la kaboka mchizi.
 
Huku kwetu waliofoji vyeti wapo kibao... Na wengine wapo ofisini hadi muda huu! Tunawachukulia hatua zipi??
Au tusubirie Nigeria watupe muongozo??
Kwani mama alisemaje kwa vyeti fake? Jibu lilishatokewa Nigeria wafuate mwongozo wa hapa
 
Watu waliofukuzwa makazini kwa kufoji vyeti wamerudi makazini na wamelipwa mishahara na posho za kipindi chote walichofukuzwa kwa kosa la kughushi vyeti.

Sishangai nikisikia mambo ya bandari na mbuga
 
Hii ndio Afrika
 
Hii ndio Afrika
Bara ambalo tume ya uchaguzi inashirikiana na mgombea kufoji nyaraka na matokeo ya uchaguzi!
Nahisi hata mabenki yatakuwa yanashirikiana na wateja baadhi kufoji mikopo!
This is Africa... TIA!
Vitu vilivyo nyooka kama vipo ni vichache sana!
 
Akihama na hazina ndio tutamjua. Nasikia tuko wengi tuliotumia vyeti vya wengine kujibusti.
 
Degree yake ya kwenye CV inayoonyesha kasomea chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani ilizua maswali, wananchi wakatuma maombi Marekani kutaka kujiridhisha elimu ya Rais wao.

Wamarekani wapo Direct, siku ya jana Jaji wa Marekani aliamuru taarifa za uhalali wa cheti zitolewe leo na imebainika kwamba ni kweli alisoma hapo lakini alitumia cheti cha Mwanamke kutuma maombi ya kujiunga.

Ni sawa na huku kwetu mtu kafeli form 6, atumie cheti cha mtu wanaefanana jina kutuma maombi ya kujiunga chuoni.

Siku ya jana baada ya jaji wa Marekani kutoa agizo la kuweka mambo wazi, nae Rais wa Nigeria akatoa agizo la kuongeza mishahara.

Baada ya kupata ushahidi usio na shaka kwamba kakiuka kanuni za integrity (uaminifu), je kutakuwa na accountability (uwajibikaji)?

JE ATAWAJIBIKA?
Africa hiyo sio issue
 
Kwahiyo wanamuingiza kwenye kundi la vyeti feki...?
 
Unataka awajibike vip ikiwa ameshaongeza mishahara tayar
 
Naomba unipe uhusiano wa G.P.A kubwa na akili ya mtu. Namaanisha hivi ukipata G.P.A kubwa ndiyo unakuwa na akili zaidi??

Unafahamu first class ngapi zimewahi kuongoza nafasi za juu hapa nchini? Namaanisha first class kutoka Havard, University of Oxford, Yale university n.k siyo UDSM.

Yaleyale, ukipata division one basi lazima uwe na maisha mazuri! Ukimkuta aliyepata division four amekupita kimaisha mnaanza kujaa wivu,chuki,husuda,hasira,roho mbaya ,kijiba cha roho n.k!

Acha kukariri, mtaa hautaki kukariri!
matokeo ya mitihani ni kipimo cha ufahamu huez nambie tu mweny GPA ya 4 awe sw kiufahamu na mtu mwenye GPA ya 2 ( achana na GPA za huku bongo , maprofessa wanatoa kwa kujuana ba rushwa ya ngono )
 
Back
Top Bottom