This is Africa: Rais wa Nigeria yabainika alitumia cheti cha mwanamke kudanganya ni degree yake. Je, atawajibika kwa kuidanganya nchi anayoiongoza?

Kwa afrika hajiuzulu wala nini, labda wananchi walete songombingo la kaboka mchizi.
 
Huku kwetu waliofoji vyeti wapo kibao... Na wengine wapo ofisini hadi muda huu! Tunawachukulia hatua zipi??
Au tusubirie Nigeria watupe muongozo??
Kwani mama alisemaje kwa vyeti fake? Jibu lilishatokewa Nigeria wafuate mwongozo wa hapa
 
Kwani mama alisemaje kwa vyeti fake? Jibu lilishatokewa Nigeria wafuate mwongozo wa hapa
Watu waliofukuzwa makazini kwa kufoji vyeti wamerudi makazini na wamelipwa mishahara na posho za kipindi chote walichofukuzwa kwa kosa la kughushi vyeti.

Sishangai nikisikia mambo ya bandari na mbuga
 
Watu waliofukuzwa makazini kwa kufoji vyeti wamerudi makazini na wamelipwa mishahara na posho za kipindi chote walichofukuzwa kwa kosa la kughushi vyeti.

Sishangai nikisikia mambo ya bandari na mbuga
Hii ndio Afrika
 
Hii ndio Afrika
Bara ambalo tume ya uchaguzi inashirikiana na mgombea kufoji nyaraka na matokeo ya uchaguzi!
Nahisi hata mabenki yatakuwa yanashirikiana na wateja baadhi kufoji mikopo!
This is Africa... TIA!
Vitu vilivyo nyooka kama vipo ni vichache sana!
 
Akihama na hazina ndio tutamjua. Nasikia tuko wengi tuliotumia vyeti vya wengine kujibusti.
 
Africa hiyo sio issue
 
Kwahiyo wanamuingiza kwenye kundi la vyeti feki...?
 
Sema watu wa aina hii wapambanaji sana plus kismati.
 
Unataka awajibike vip ikiwa ameshaongeza mishahara tayar
 
matokeo ya mitihani ni kipimo cha ufahamu huez nambie tu mweny GPA ya 4 awe sw kiufahamu na mtu mwenye GPA ya 2 ( achana na GPA za huku bongo , maprofessa wanatoa kwa kujuana ba rushwa ya ngono )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ