Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Bora wew hujavaa miwani ya udini unaangalia kwa macho yako halisi. Wenzio hata leo unaweza kushangaa wanakuambia Israel kachapika huko Gaza na soon atakimbiaSheikh wangu.hili tusibishane tu kwa sababu ya ubishi. Hawa waasi wa Aleppo unadhani wangeenda anzisha vita Syria? Unajua Assad ni kama kakimbia nchi? Hisbullah wameshindwa. Mayahudi wanaendelea kupiga huku Marekani ikitaka wasimame. Kaangalie Al Jazeera.
Nyie kosugi na wenzio kina Ritz na Malari2 na kobazi wengine njooni mjibu hukuIvi ile operation promise 3 bado ipo au raia watoke kwenye mahandaki?
Sheikh wangu Al Jazeera wameelezea hayo vizuri na ndo kisa cha waasi Syria kupata kiburi. Nimesikitika sana sheikh wangu.Mkuu mbona umeandika kana kwamba hujui nini kimetokea huko Israel.
Hizbollah ingekua imeshindwa France na USA wasingehangaika kutafuta suluhu.
Hadi kufikia wakati wa makubaliano ya usitishwaji vita Hizbollah ilikua imefanya operation ya makombora 450+ ndani ya mwezi september hadi November,na 90% ya hizo operations zilifaulu.
Miji ya kaskazini na Kanda ya kati ya Israel imepigwa na kulipuliwa kiasi raia kukimbia hiyo miji.
Askari zaidi ya 130+ ndani ya October hadi November wa IDF walifariki.
Sasa Hizbollah imeshindwa wapi!?
Pia usijidanganye kuwa Hizbollah haina silaha,bado ina shehena ya silaha.
*Kuhusu shambulio la Israel Kwa Iran hakuna haja ya kulizungumzia Kila mtu anajua kuwa ni TOTAL FAILURE.
*Hao waasi fursa waliyoitumia ni vita ya Ukraine vs Russia na mapigano ya Hizbollah na Israel.Hizbollah imetumia nguvu nyingi sana dhidi ya Israel na pia imepoteza askari wengi.
*Kitu cha mwisho,Iran imepeleka special force Syria,pia Russia ameshaanza mashambulizi ya anga Idlib na Hallep,inamaana kazi ya Iran itakua ni ground operation baada ya kuwadhoofisha waasi Kwa mashambulizi ya anga ya Urusi.
Jana na juzi tu waasi zaidi ya 300 waliuawa.
Kiufupi tuseme tena mbinu ya Israel na US imefeli.
Kisa cha waasi kupata kiburi ni Iran na Hizbollah kutumia nguvu kubwa katika mgogoro wa Gaza na Israel.Sheikh wangu Al Jazeera wameelezea hayo vizuri na ndo kisa cha waasi Syria kupata kiburi. Nimesikitika sana sheikh wangu.
Hisbullah wangalishindwa marekani asiehangaika kutaka Suluhu. Ukimuona marekani anatafuta Suluhu ujue Isreal yupo hali mbaya sana.
Katika hali ya ubinadamu, ukiomwona binadamu mwenzako amekandamizwa chini amezongwa koo na ananyongwa mithili ya chatu anavyoua mbuzi na binadamu mwenzake; inakuwa ni busara na hekima nzuri kutoa msaada wa kuwatenganisha ili walau jamaa aweze kupumua. Hicho ndicho USA na Ufaransa walichofanya kwenye huo mtifuano baina ya Israeli na Hezbollah.Hisbullah wangalishindwa marekani asiehangaika kutaka Suluhu. Ukimuona marekani anatafuta Suluhu ujue Isreal yupo hali mbaya sana.
Katika vitu nvyochukia ni uongo kwani uongo baba yake ni Shetani kila siku Israel inatangaza raia wake aproxmetly elfu 60 wamekuwa wakimbizi ndani ya Nchi yao.. unaleta idadi ya watu zaidi ya laki wewe ni Muislam? maana wao ndio wameruhusiwa kudanyanga kwa sababu baba la Uongo ni Shetani and Allah karuhusu..Kama Hizbollah angeshindwa, Israel isingepita mlango wa nyuma kuiomba Marekani ifanye mchakato wa ceasefire!.
Kiufupi vita na Hizbollah vilikuwa vinaiweka Israel ktk wakati mgumu zaidi kwa sababu kuna wakazi zaidi ya 100000 huko northern Israel waliyahama makazi yao na wasingeweza kurudi.
Pia Hizbollah ilianza kuchapa hafi ndani ya Tel-Aviv
Makombora ya Iron dome ya kuzuia missiles za Hizbollah yalikuwa yanapukutika kwa kasi
Katika vitu nvyochukia ni uongo kwani uongo baba yake ni Shetani kila siku Israel inatangaza raia wake aproxmetly elfu 60 wamekuwa wakimbizi ndani ya Nchi yao.. unaleta idadi ya watu zaidi ya laki wewe ni Muislam? maana wao ndio wameruhusiwa kudanyanga kwa sababu baba la Uongo ni Shetani and Allah karuhusu..
Hezbollah strikes have killed 45 civilians in northern Israel and the Israeli-occupied Golan Heights. Some 60,000 people evacuated from homes in the north have still not been directed to return.
Unaposema zaidi ya laki moja na mji unauwezo wa kuhifadhi watu elfu 60 hao extra 40 elfu ni mizimu au misukule?
Fanyani hata mazoezi ya kuacha kuongopa maana uongo ukizidi bila kupingwa unakuwa ukweli...
Kawa Aljazeera na Hamas kutwa kusema Genecide wakati hakuna kigezo hata kimoja kinacho ihusisha Israel na Geneocide kama kama Israel ingetaka Genocide wangefanya ndani ya siku kadhaa tu wangemaliza masalio ya waarabu wote Gaza..
Katika maisha yangu ya kale nilikuwa nikisingiziwa kitu basi nakifanya hata mbele zao.. ngoma iwe droo..
Wapumbavu hao kunguni tu wanajua nini? Kazi kusifia na kuandika pumba tu, hamna wanalo lijua hao au unataka watuandikie ushuzi humu?Nyie kosugi na wenzio kina Ritz na Malari2 na kobazi wengine njooni mjibu huku
1. Hutawaambia alipojificha baba yako. Hilo ni jibu sahihi kwa sababu lengo lako ni kuyanusuru maisha ya baba yako.1. Wewe baba yako akiwa anatafutwa na majambazi ili wamuue wakikuuliza alipo utawaambia ukweli alipojificha?
2. Au kama nchi yako ipo vitani askari wa adui wakakuuliza kuhusu askari wa nchi yako, utamwbia ukweli walipo askari wenu?
Akaaaa! Nani anataka kunikiwa ushuzi?Wapumbavu hao kunguni tu wanajua nini? Kazi kusifia na kuandika pumba tu, hamna wanalo lijua hao au unataka watuandikie ushuzi humu?
🤣 🤣Mi nauliza tu. Hiv hapo Syria napo wakiuwana bado watapewa Mabikira au allah anafanyaje?
1. Hutawaambia alipojificha baba yako. Hilo ni jibu sahihi kwa sababu lengo lako ni kuyanusuru maisha ya baba yako.
Je, kutoa exagerated figures lengo ni nini?
2. Sitawaambia askari wangu walipo na lengo ni kuepusha madhara kwa askari wa nchi yangu.
BTW: Hoja mtambuka hapa ya Mlaleo ni kule mtu wa pembeni ambaye hata hiyo vita yenyewe pengine haijui chanzo na wala haina maslahi binafsi kwake lakini anakuja hapa jukwaani na kutoa Takwimu ambazo sio za kweli i.e. Ni za uongo akidhani kwamba wanaJF hawawezi kufuatilia na kubaini uongo wake. Ni hayo tu.
Mkuu kama unachosema ni sahihi kwanini hawakufanya kwa Gaza??Katika hali ya ubinadamu, ukiomwona binadamu mwenzako amekandamizwa chini amezongwa koo na ananyongwa mithili ya chatu anavyoua mbuzi na binadamu mwenzake; inakuwa ni busara na hekima nzuri kutoa msaada wa kuwatenganisha ili walau jamaa aweze kupumua. Hicho ndicho USA na Ufaransa walichofanya kwenye huo mtifuano baina ya Israeli na Hezbollah.
Huna unalojua kaa kimya kuficha ujinga wako.Ussenghe wa Hamas walioufanya October 7 ndo chanzo cha yote. Makobaz yana angamia kwa ukosefu wa akili.
Unaongea kama unajua kumbe porojo tupu.Huwajui wa amerka wewe! Mfano vita ya Gaza tangu November mwaka jana Marekani anajifanya anataka cease fire unazani ni kweli? Ile kusitisha mapigano Lebanon ni mkakati mkubwa mno na target sio Lebanon...usiwe unaamini unachoambiwa kuwa Netanyahu kashinikizwa na Biden wale wanatengeneza maudhui kwenye media watu wale nn( wasikie nn). TUACHE MAHABA HAYASAIDIII
Kwa hiyo kwa mujibu wako cease fire huko Lebanon ilikuja kwa ajili ya kumu rescue Israel maana alikuwa kachapika sawa sawa si ndio?Unaongea kama unajua kumbe porojo tupu.
Gaza hakuna siku ambayo USA ilitaka ceasefire.
Kila mataifa yalipopiga kelele kuhusu ceasefire USA alisema kauli moja tu "Israel ina haki ya kujilinda".
Hadi bunge la senate lilipiga kura Israel inyimwe silaha ila wakuu ikiwemo rais wakakataa na Israel ikawa inapelekewa silaha daily kuipiga Gaza.
Usitudanganye sie sio watoto bana.
Israel huko Lebanon maji yalifika shingoni ceasefire ilikua ni bora.