This time Hezbollah na Iran tumeshindwa. Hili halina tena kificho. Tujipange upya next time

Aisee naweza nikasema uko misinformed.
Usifananishe Hizbollah na Alqaeda,kwanza hiyo Alqaeda iliundwa na hao mabwana wakubwa,hivyo ilikua ni sawa na kinyago ulichokichonga hakiwezi kukutisha.
Pia Hizbollah ni kundi la washika silaha lenye WAPIGANAJI wengi kuliko kundi lolote duniani.
Hizbollah wana wapiganaji zaidi ya laki moja na nusu.
Pia Hizbollah ni political organization ndani ya Lebanon.
Sio kundi la washika silaha tu.
Wewe una uhakika gani kama mashambulizi wanayofanya Hizbollah ni misguided hayana madhara?
Una habari kama raia wa kaskazini wamehama kukimbia mashambulizi ya Hizbollah!?

Hao Houthi unaowasemea lengo lao kuu ilikua kuzuia Red sea isipite meli kuelekea Israel,je Kuna meli yeyote inayopita kuelekea Israel kupitia red sea!?
Jibu ni HAPANA.
Usiyachukulie mambo kiwepesi mkuu.
Hizbollah sio mfupa rahisi kama unavyodhani,Alqaeda ni kundi dogo sana mbele ya Hizbollah.
Hizbollah ni jeshi la Iran la pili ndani ya Lebanon,pia Hizbollah ni sehemu ya serikali ya Lebanon,sio rahisi kujimaliza kama unavyodhani.
 
Israel inavyoonekana lengo lake ni kuifanyia annexation Gaza na kuvunja utawala wa Hamas.
Na ameshajiona amepiga hatua kwenye kufanikisha hilo tofauti na Lebanon.
Umeongea kitaalamu na si kishabiki. Mimi nawaaambia wenzangu kuwa kuna wakati tuangalie kwa ajili ya kujifunza.si kushabikia
 
Netanyahu aliahidi na ametekeleza, mitano tena.
 
Ukiwa mjanja wagawe adui zako Kisha watawale marofa yanapigana yenyewe kwa yenyewe ILA SIO KOSA LAO KOSA KUMKATAA YESU KUWA BWANA NA MOKOZI WAO Wacha Lana iwale
 
Jana houth wameichapa ballistic moja tel aviv, Marekani kakimbia baharini, Iran pakifeli Syria ataongeza nguvu kwa houth na hizb kwa advance weapon, Iran hawezi kuishi bila proxy never
 
mimi hadi leo huwa siamini kama yule mwanadamu mwenye kiburi kuliko wanadamu wote, ndugu Hassan Nasraah, amekufa na ashaoza sasaivi. kiburi chote kile? wanadamu jueni kiburi sio maungwana. nilimwonea huruma sana Yahya Ninwar.
Bomu lilikata hadi pete ambayo Nasrallah alikuwa kaivaa.
 
Jana houth wameichapa ballistic moja tel aviv, Marekani kakimbia baharini, Iran pakifeli Syria ataongeza nguvu kwa houth na hizb kwa advance weapon, Iran hawezi kuishi bila proxy never
Hizb ni kama imepotea, Syria ikiangukia kwa Suni, Hizb anapotea mazima.
 
Daah kumbe Hizbollah yuko hoi
 
Bomu lilikata hadi pete ambayo Nasrallah alikuwa kaivaa.
ni ile peke ya majini yenye rangi ya buluu? rafiki zake majini aliokuwa anaswali nao hawakumsaidia dhidi ya mzayuni. hapo ndio wajue aina ya mungu wanayemwabudu na eneo ambalo nasraah yupo sasaivi, hadi rangi itakuwa imebadilika toka weupe hadi black kama majibu jehanum.
 
Nawahakikishia, Trump akiapishwa hizbolah, hamas na waasi wengine pale mashariki ya kati watajuta kuzaliwa. Kumbukeni yule jamaa alishaitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.
 
This time Hezbollah na Iran tumeshindwa. Hili halina tena kificho.

Amma,mwenzetu wewe Mpalestina?

Hongera JF mmeenda kimataifa sasa mnastahili pongezi.
Ndiyo maana ya International forum. Mfano kwenye michezo Christian Ronaldo ana mashabiki wake wengi tu hapa bongo ambao yeye mwenyewe hawajui na siyo mbaya.
 
Hisbullah wangalishindwa marekani asiehangaika kutaka Suluhu. Ukimuona marekani anatafuta Suluhu ujue Isreal yupo hali mbaya sana.

Malaria, labda ungepitia hata analysis za Aljezera ungelijua factors ya kinachotokea Syria mkuu....Iko wazi mno....Inaitwa Domino effect...
 
Hisbullah wangalishindwa marekani asiehangaika kutaka Suluhu. Ukimuona marekani anatafuta Suluhu ujue Isreal yupo hali mbaya sana.

Ndio mnaaminishana humo makobaz, ilibidi suluhu litafutwe ili Lebanon isifanywe Gaza, kumbuka serikali na raia wa Lebanon hawana hatia, na wao ni mateka wa hao magaidi wa uislamu.
 
Sheikh wangu mbona watu watakushangaa?yaani yeye kuabudu hata jiwe wewe inakusumbua nini?mi huwa nasema sisi wenye akili huwa tuna mind our own business.

Watu wa kushangaa ni wale wanaoona mtu kuabudu kiumbe mwenzake anayekunya kama yeye
 
Ndio mnaaminishana humo makobaz, ilibidi suluhu litafutwe ili Lebanon isifanywe Gaza, kumbuka serikali na raia wa Lebanon hawana hatia, na wao ni mateka wa hao magaidi wa uislamu.
Ungalipo Myahudi mweusi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…