This time Hezbollah na Iran tumeshindwa. Hili halina tena kificho. Tujipange upya next time

Watu wa kushangaa ni wale wanaoona mtu kuabudu kiumbe mwenzake anayekunya kama yeye
Jishangae wewe unayefuatilia watu hao na wao wana maisha yao. Mi nadhani wenye akili na walio busy they just mind their own business. Wengine watakuambia wanashangaa kuona kuna watu wafuasi wa mtu ambaye ni mzinzi na mwasherati
 
Sawa mchambuzi wa masuala ya middle east kutoka Idlib Mbagala.
 
Itakuwa na wewe ni mmoja wao kwani inaonyesha unakasilika sana kuambiwa unaabudu mtu anayekunya kama wewe
Melezi nliyopata na Elimu vimenifundisha mambo mengi sana. Wazazi na Elimu/Exposure.
 
Kifo sio shida huku kutwa wanajificha kwenye mahandaki?????
 
Ujui kwamba Hezbollah anaendelea kupokea kipigo na hata makombora hawawezi kurusha tena inawexekana makombora yao yote yameangamizwa


View: https://x.com/IDF/status/1865747762165284869?t=SKFkaq9N7y3CRaBi5SKByg&s=19
 
Ujui kwamba Hezbollah anaendelea kupokea kipigo na hata makombora hawawezi kurusha tena inawexekana makombora yao yote yameangamizwa
 
Ujui kwamba Hezbollah anaendelea kupokea kipigo na hata makombora hawawezi kurusha tena inawexekana makombora yao yote yameangamizwa

Propaganda tu hizo.

Tatizo la Zayuni huwa haheshimu mikataba.

Hezbollah wao ni waumini waislamu akiingia mkataba, basi kuuvunja wanaona hawatendi sawasawa. Ndiyo maana wanaheshimu Makubaliano.

Kitu kingine ni kuwa kuna delicate balance ya kijamii ndani ya Lebanon inayoweka pressure kwa Hizbollah wachill down. Lakini Israel haijaweza kuipiga Hizbollah.

Kama Israel ingekuwa inaipiga Hizbollah isingemtumia Marekani ili aweke ceasefire.
 
Kuna watu ni wabishi sana, wanashindwa kukubali kuwa, Hamas, Hizbullah wamechapika na kupotezwa vibaya, huku Iran akiwa hana tena msaada kwao na Syria ya Assad ikitafunwa kama keki.
Myahudi ni mtu mbaya sana.
 
Kuna watu ni wabishi sana, wanashindwa kukubali kuwa, Hamas, Hizbullah wamechapika na kupotezwa vibaya, huku Iran akiwa hana tena msaada kwao na Syria ya Assad ikitafunwa kama keki.
Myahudi ni mtu mbaya sana.

Huo ni mtazamo wako.

HAMAS is an idea of resistance. Haiwezi kufa mpaka siku wapalestina watakapokuwa free.
 
I think you guys mnaongea kitu kimoja but kwa lugha tofauti. Al Qaida na Hezbollah tofauti zao ni hizi, Al Qaida walikua na ugomvi na USA, popote yalipokua maslahi ya USA hapa duniani, Al Qaida walifanya mambo, mfano ni hapa kwetu na Kenya, Kampala waliwahiwa na ndio maana hawakufanikiwa, Al Qaida wamepiga pia Spain na France kama sikosea, Hezbollah wao wana ugomvi na Israel. Hawajasambaa zaidi ya mashariki ya kati, Al Qaida walikuwepo Somalia miaka ya 90 mwishoni kabla ya kuhamia Afganstan na Pakistan, Al Qaida ilikua na raia wa nchi tofauti tofauti duniani including yule Mpemba wetu, Hezbollah wao kimsingi ni Wapalestina waliohamia Lebanon miaka mingi iliopita. So vikundi hivi vilikua na mission tofauti, wengine wanaweza kuwaita Hezbollah kama kikundi cha wapigania uhuru wa Palestine kama ilivokua ANC, Frelimo, Swapo, Unita nk. Al Qaida kiliundwa rasmi na Osama kwa ajili ya kulipiza kisasi cha zuruma aliofanyiwa Osama na USA, ugomvi huo akaurasimisha kidini. Ndio maana baada ya Osama kuuawa is like Al Qaida ni kama imekufa, Hezbollah wanauawa viongozi wao, chenyewe bado kipo. Hi ndio tofauti yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…