Watu wanajaribu kuelezea course ya murder ndo maana sikuelewa connection ya maelezo yako.
Leo tupo msibani, so tupo mapumzikoniIla sio habari ya sasa hivi maana toka asubuhi ipo humu JF, ahsante kwa taarifa STUNTER leo umetupumzisha wanawake! hahahahah
Nyie wote ndo wale wale tu.Unajuaje aliyepost hana degree, amekuonesha vyeti vyake original.
Haya Raimundo nimekuelewa.Mkuu kwa mtu aliyefariki kwa kupigwa na wananchi wenye hasira kali, na hayo niliyoyaeleza hupati connection yoyote?
Alafuu Hivyo vitendo Dar ndo vimeshamiri kupita kiasi,Aisee! Sijui ni lini tutajifunza kuheshimu Uhai, watu wakisikia kelele za mwizi kitu cha kwanza wanachofikiria ni kuua!!
Hii itabia ifike kipindi ikome, watu wengi wanauwawa pasipo hatia!
R.I.P Mashali
Watanzania wapi hao unaowasemea hawawezi kuwavamia watu bila kuhoji ukweli wa mambo ? Hivi ni mara ya kwanza kwa matukio ya namna hii kutokea Tanzania ?
Wale watafiti waliochomwa moto Dodoma ni Wareno ndio waliwachoma ?
Tukio hili zima lina ukakasi ila usipende ku generalize mambo
Wewe noana tutapelekana mbali ngoja niachane na wewe ,kauli hiyo ya Watanzania sio watu wa kufanya mambo bila kuhoji umetoa wewe ,Nakupa mfano wa Dodoma unakuja na maneno mengi na hicho sijui kingereza ili uonekane unajua sana sio ?How do you mean "Watanzania wapi ninao wasemea!!" Are you normal? kwanza majibu jibu yako yanadhilisha you're bellicose by default plus ka-element kau arrogance kwa mbali.
Mimi nimezungumzia taarifa iliyo sema Mashali alifuatwa ndani ya BAR wakamcharanga mapanga na rungu mpaka akapoteza maisha, soma vizuri kwanza nilicho andika sio unakurupuka tu na kujifanya bigger than your Head kwa kubeza watu bila ya ku digest kikicho andikwa kwanza.
Taarifa ingesema Mashali alivamiwa akiwa njiani au kwenye mtaa akasigiziwa wizi, hapo hakuna ujanja mara nyingi mob justice inatumika sana lakini sio kwenye BAR.
Why all this. You guys need to discuss the matter basing on the fact that kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumpiga au kummua mwenzie hata kama kamkosea unless its for self defence. Watanzania baadhi yao wanachukua sheria mkononi kuumiza na kuua wenzao eti kwa sababu wameshukiwa kuwa ni wezi au wachawi. Hii the so called mob justice is not justice at all. Angekuwa mwanao au mtoto wako ndo anapigwa na kuchomwa moto pengine mtu angefeel the pinch. I threfore agree with Yamakagashi's argumentWewe noana tutapelekana mbali ngoja niachane na wewe ,kauli hiyo ya Watanzania sio watu wa kufanya mambo bila kuhoji umetoa wewe ,Nakupa mfano wa Dodoma unakuja na maneno mengi na hicho sijui kingereza ili uonekane unajua sana sio ?
Inawezekana sipo normal ila tatizo sijui utauhakikishiaje uma wa jf kwamba mimi ni abdnormal halafu maajabu yenyewe wewe ni mwanaume
Sehemu moja ambayo nipo abnormal ni kwenye muwa una size iliyopitiliza sasa waambie watu ulijuaje
Why all this. You guys need to discuss the matter basing on the fact that kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumpiga au kummua mwenzie hata kama kamkosea unless its for self defence. Watanzania baadhi yao wanachukua sheria mkononi kuumiza na kuua wenzao eti kwa sababu wameshukiwa kuwa ni wezi au wachawi. Hii the so called mob justice is not justice at all. Angekuwa mwanao au mtoto wako ndo anapigwa na kuchomwa moto pengine mtu angefeel the pinch. I threfore agree with Yamakagashi's argument
Mkuu kama umefuatilia comments zangu hapo juu na huyo bwana wala hutashangaa kwanini tumefikia hapa mimi nimemwambia aache tu ku generalize mambo matokeo yake anaacha kujadili kilichopo mezani anaanza kejeli zakeWhy all this. You guys need to discuss the matter basing on the fact that kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumpiga au kummua mwenzie hata kama kamkosea unless its for self defence. Watanzania baadhi yao wanachukua sheria mkononi kuumiza na kuua wenzao eti kwa sababu wameshukiwa kuwa ni wezi au wachawi. Hii the so called mob justice is not justice at all. Angekuwa mwanao au mtoto wako ndo anapigwa na kuchomwa moto pengine mtu angefeel the pinch. I threfore agree with Yamakagashi's argument
Wewe noana tutapelekana mbali ngoja niachane na wewe ,kauli hiyo ya Watanzania sio watu wa kufanya mambo bila kuhoji umetoa wewe ,Nakupa mfano wa Dodoma unakuja na maneno mengi na hicho sijui kingereza ili uonekane unajua sana sio ?
Inawezekana sipo normal ila tatizo sijui utauhakikishiaje uma wa jf kwamba mimi ni abdnormal halafu maajabu yenyewe wewe ni mwanaume
Sehemu moja ambayo nipo abnormal ni kwenye muwa una size iliyopitiliza sasa waambie watu ulijuaje
Bila samahani kilicho nishangaza ni hizo jazba ulizokuja nazo na accusations zisizo na maana sasa sijui physco analysis ulinifanyia lini nakuona sipo normalFar from it, soma kwanza nilikuwa nazugumzia mazingara yapi - hiyo ndiyo point yangu sio kwamba sijui tatizo la Mob Justice ya mitaani - lakini Mashali alikuwa kwenye Bar yenye walinzi, waudumu wa Bar na mmiliki wa Bar aingii akilini kwamba wanaweza kuruhusu kundi la watu waingie kwenye Bar wameshikiria mapanga, rungu na kumuua Mashali - kama majibu yangu yamekuwa a bit abbrasive basi samahani nilikasirika kidogo.
Mkuu inaonekana unajua kitu nyuma ya pazia tueleze...
Hii inaaza kuingia akilini mkuu ________ wale waliopigwa upper cut, chembe kidevu , 1'2 na kuchukuliwa S7 + iPhone 6 zao inawezekana wamefanya yao .Za chini chini huku mitaani ni kwamba huyo jamaa watu walikuwa wanamtafutia sababu tu aingie kwenye kumi na nane!Walishamchoka kwa matendo yake.
Huenda wanaume wa Dar ndio wameanza rasmi operesheni "tokomeza" kwa kuangusha tembo.Ila beware na revenge,manake huyo bwana alikuwa na makundi mengi ya wahuni,from Manzese,Tandale to Kimara.
Tahadhari ichukuliwe.
Kama ni kweli 40 zake zilifika, akapumzike panapostahili. Pia liwe fundisho kwa waliobaki.mashali alikua na tabia ya kupora hadharani,anakupora simu ukileta fyoko unakula punch za maana