TANZIA Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

Mkuu samahani, sijaelewa inakuwaje matembo kukusanyiwa hela za vituoni, yeye anawapa nini?? Unga? Au??
 
Aisee, yaani watu wamemtoa mtu roho kirahisi rahisi hivo. Hata kama alikuwa analeta ubabe hakustahili kufanyiwa hivo, hao watu wa bar wakamatwe. Nakumbuka Mara ya mwisho Mashali alimdunda Cheka, r.I.p bro
Kuna mahali nimesoma kuwa kabla ya umauti Mashali alikuwa na Francis Cheka
 
Tandale na Manzese Kamaliza sana watu.
Sana....ubabe aliokuwa anafanya Ni wa kizamani sahv Huwezi kumpora mtu Mali yake na akakuangalia tu Lazima siku raia watakufanyia kitu mbaya......

OVA
 
Kwa Shujaa uenda kilio........( R.I.P. Mashali).
 
Kwa nyongeza mkuu bado upande mwingine tunasikia mara kapigwa risasi na mwili kuokotwa kichakani!!Lakini pia nimesikia redioniii kwamba marehemu alipanga kuwalipua watu flani wenye mchezo wa kuvusha watu wao kupeleka mizigo yao njee kupitia mgongo wa mabondia..so hapo mtu lazima utumie akili ya ziada kuelewa kifo hiki.Rest in peace thomas
 
machali alimwambia rafiki yake kua twende kimara kuna deal ya hela
 
Kwenye habari kuna maneno yametajwa ; moja, ni boda boda, pili, ni pikipiki, tatu; kapigwa mpaka kufa na wananchi ....sasa hapo kila habari imeunganisha dots kama ijuavyo yenyewe.....sema nasikia ukabaji wa kuibiwa pikipi umezidi sana, vijana kujiajiri inakuwa ngumu kila leo wanakabwa na kunyanganywa pikipiki
 
Nimepata kusikia tuhuma kama hizi kumuhusu kijana huyu..
Niliwahi kusikia pia amekuwa akijichukulia "videmu" vya watu na mara "vibwana" halali vitakapohoji amekuwa akivichakaza kiasi cha kusahau hata majumbani mwao!

Mungu ampumzishe pale alipojiandalia!!
 
Kwa watu wasiomjua Mashali wataongea maneno mengi sana,Mimi nimekaa magomeni maskani yetu ni km kadhaa na sehemu aliyokuwa anafanyia mazoezi Mashali na pia Tandale alikuwa na sehemu pia ya kufanyia mazoezi.
Mashali alikuwa mtemi tena utemi wa kipuuzi kabisa alikuwa na uwezo wa kula chakula kwa Mama ntilie halafu halipi akidaiwa anadai yeye ni Mashali hawezi kulipa since yeye ni Mtemi wa DSM,Hiyo yote ilianza baada ya kumpiga Muddy Dame jela(Mtemi mwingine huyu) basi Mashali akaona kaikamata DSM na raia waliposikia kamuangusha Dame jela wakamnyooshea mikono.Mashali alikuwa mlevi wa kutupwa,kuna pambano alishinda i think alimpiga Maugo,alikuja hadi maskani na belt yake tukapiga naye picha tukamuuliza inakuwaje kuhusu Cheka akasema atamlaza hospitali kwa kuapa akachukua sandals ya mwana mmoja wa maskani halafu akailamba kule chini kwa kukanyagia(just imagine) hapo yupo chwiiiiii.Siwezi kummaliza because watoto wa Tandale Migo tunamjua sana alikuwa anakaba na kukaba asipokuwa na hela

KARMA IS THE BITCH
 
Duh!!hatari sana aisee
 
Mkuu sina cha kuongezea ,ubabe wake wote kwa mizozo alikuwa mdogo

Mashali kajitakia mwenyewe
 
Pombeeeeeeee,wajameni Pombeeeeeeeee
Huyo Cheka Mwenyewe si alikoswa Jela kwa issue ya BAR

Wajameni Pombeee,ila Mabondia watu jamani hivi Ngumi na Pombe kweli?ndio maana hatufiki mbali,tunatumia nguvu nyingi sana kujiandaa na kulazimisha tuwe kama tunavyotaka kuwa ila mfumo wa maisha yetu tumeufanya kuwa rafiki wa kutuangamiza sie wenyewe
RIP Mashali
 
Mwengne anaitwa Andrew Mashalli kwenye chandmu tulikua tunanuitwa Andrew Cole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…