TANZIA Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

TANZIA Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

Havieleweki mara oo ali differ na rafiki yake ndio akapiga kelele za mwizi, waiiiiii mie siju! Mods unganisheni basi hizi habari za huyo marehemu
 
Mashali alikuwa underground boss, if you know what I mean.

Alikuwa na vikundi vya wezi/vibaka waliokuwa wakiiba wanampelekea, na pia alikuwa anacontrol makusanyo yasiyo rasmi kwenye vituo vya daladala (hawa wanajiita Tembo).

Hawa Matembo wanagawana maeneo, na ili umiliki eneo lazima uwe mbabe na uthibitishe kwamba wewe ni mkali.
Inamaana Majangili yamemuuwa Tembo?
 
Utavuna ulichopanda, kama ni kwa ugomvi au ulevi, ama ni kwa kuiba au kunyang'anya. The world is not fair
 
Kuna kitu sijakielewa hapa. Yaani wamekaa Bar, akiwa na rafiki zake wakinywa, anatokea mtu wanapishana maneno, kawaida katika kupishana maneno hapo kumbuka lazima watakua wali buy attention za watu. Halafu huyo wanayepishana naye maneno anaamua kpiga kelele za mwizi, ghafla wanatokea watu wakiwa na mapanga na marungu na kuingia sehemu hiyo ya biashara na kuanza kumshambulia mteja, hapo bar hakuna wahudumu? hakuna ulinzi? wale rafiki zake walikwenda wapi?
Mwandishi makini hawezi ku report vitu vya aina hii, kama angejiuliza haya maswali niliyojiuliza mimi basi angeendelea kuutafuta ukweli au ange report kifo badala ya kutoa details zilizopoteza radha kwa wingi wa ukakasi.
Kuna dalili za uhalifu kwenye hiki kipigo.
"marafiki zake" wakae kimya jamaa akila kipondo? tena kwa kuitiwa "mwizi"

Wasitutanie hawa!!!!
 
Muungwana blog wanaripoti kua kifo chake kimetokana na kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
 
Rip,masupastaa mfundishike..!,kwa kuwa ni bondia / kila pahala unataka uonyeshe ubabe..../
 
Kuna kitu sijakielewa hapa. Yaani wamekaa Bar, akiwa na rafiki zake wakinywa, anatokea mtu wanapishana maneno, kawaida katika kupishana maneno hapo kumbuka lazima watakua wali buy attention za watu. Halafu huyo wanayepishana naye maneno anaamua kpiga kelele za mwizi, ghafla wanatokea watu wakiwa na mapanga na marungu na kuingia sehemu hiyo ya biashara na kuanza kumshambulia mteja, hapo bar hakuna wahudumu? hakuna ulinzi? wale rafiki zake walikwenda wapi?
Mwandishi makini hawezi ku report vitu vya aina hii, kama angejiuliza haya maswali niliyojiuliza mimi basi angeendelea kuutafuta ukweli au ange report kifo badala ya kutoa details zilizopoteza radha kwa wingi wa ukakasi.
Nguvu ya uma ni zaidi ya bomu la nyukilia, usiombe ikakukuta hata siku moja, hautosalimika vile raia huwa hawa angalii
 
Ndo ifahamike kuwa wananchi wakiamua kuiondoa ccm wanaweza hata iweje?
Pole familia,lazima wametofautiana tu
 
Back
Top Bottom